Tueleweshane kuhusu PREP na PEP

Tanzaman

Senior Member
Apr 17, 2023
139
164
Kumekuwa na hizi dawa za kupunguza wezekano wa kuambukizwa virusi vya HIV, ambazo ni PREP na PEP, je zinafanya kazi kwa asilimia ngapi?

Na mbona kwenye vituo vya afya wanatoa hizi PEP lakni ni dawa hizo hizo za ARVS, je ni sahihi kwa kufanya hivyo? Na je, kama umekutana na mtu mwenye maambukizi na aka kuambukiza ukatumia kwa mwizi mmoja hizo dawa.

Je, kuna uwezekano wa Virusi kuonekana kwnye vipimo wakati unatumia hizo dawa au kwavile uko kwnye dawa kwa mwenzi mmoja, 30 days havita onekana?
 
Acha ubahili ukitaka vya bure utapewa ARV Ukihonga utapata PREP
Una maana gani , ukisema PREP, hiyo si ile unakunywa kabla? , je hii ya kunywa baada ya kufanya tendo na ukahisi hauko salama ambayo ni PEP je hiyo ni sahihi uki pewa ARVs?
 
Kumekuwa na hizi dawa za kupunguza wezekano wa kuambukizwa virusi vya HIV, ambazo ni PREP na PEP, je zinafanya kazi kwa asilimia ngapi?

Na mbona kwenye vituo vya afya wanatoa hizi PEP lakni ni dawa hizo hizo za ARVS, je ni sahihi kwa kufanya hivyo? Na je, kama umekutana na mtu mwenye maambukizi na aka kuambukiza ukatumia kwa mwizi mmoja hizo dawa.

Je, kuna uwezekano wa Virusi kuonekana kwnye vipimo wakati unatumia hizo dawa au kwavile uko kwnye dawa kwa mwenzi mmoja, 30 days havita onekana?
Pole sana mkuu...😔
Sa sijui utafanyaje sasa....😓
 
Pole sana mkuu...😔
Sa sijui utafanyaje....😓
Nauliza tuu ,je PEP ni ARV ,nadhani huja nielewa, sio kwamba wamepima wame kuta HIV na ndio waka amua kutoa ARV, suala ni kwamba ukiomba PEP dawa ambayo husaidia kupunguza kuambukizwa HIV unapo patwa na dharura , wao kituo cha Afa wanakupa ARV na kusema hizo ndio PEP sasa hapo ndio najiuliza ni sahihi kunywa ARV kama PEP au kuna PEPila zina baniwa? hilo ndio swali langu .
 
Mkuu, ebu mtieni moyo kijana pengine ili aanze kula vizuri, afanye mazoezi na apumzishe mwili wake...🤨
Hakuna haja ya mtu kunitia Moyo , hakuna nilsilo lijua kuhusu HIV, ninachotaka tuu kujau hizi dawa zina tofauti au ni hizo hizo
 
Mkuu kupata majibu humu inakuwa shida. Nenda kituo cha tia cha karibu yako uliza kila swali. Kwakuwa ukisema ARV ni broad word kwa sababu dawa zote zinazotumika kwa ajili ya HIV ni ARV including na hizo Prep na Pep also na hizo a walio na maambukizi tayar, issue ni namna ya utendaji kazi wa kila dawa.
 
Back
Top Bottom