mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,664
- 18,039
Marekani imeshaanza kuonesha hofu ya vifaru vyake kutekwa au kuchomwa moto na Majeshi ya urusi kama ambavyo vifaru vya ujerumani (Leopords) vinavyochomwa moto na kutekwa huko ukraine!! Marekani inasema kuwa itavyofoa sehemu muhimu kwenye vifaru hivyo ikiogopa teknologia yake kuangukia mikononi mwa urusi!!
Lakini hii ni uongo!! Marekani inajua kuwa vifaru vyake ni lazima vitateketezwa tu huko ukraine. Inajihami ili vitakapounguzwa iseme kuwa ni kwa kuwa nilivipunguzia makali!! Ije iseme kuwa nisingenyofoa sehemu zake muhimu urusi isingeweza kuviunguza!! Ninaamini kabisa hakuna sehemu ya vifaru hivyo itakayonyofolewa!! Sababu yake ni kwamba marekani ingependa kujua je vifaru vyake kama vilivyo vina uwezo kiasi gani kupambana na silaha za urusi? je waboreshe kipi? Hilo ni moja ya lengo lao.
Hadi sasa Marekani imeshajiridhisha kuwa magari yake ya vita (Badley fighting vehicles) si lolote si chochote mbele ya zana za kivita za Urusi. Inataka kuona pia vipi kwa vifaru vyake!!
The 16 US Bradley infantry fighting vehicles either destroyed or damaged and abandoned in recent days represent almost 15% of the 109 that Washington has given Kyiv, according to Jakub Janovsky of the Dutch open-source intelligence website Oryx, which has been collecting visual evidence of military equipment losses in Ukraine since Russia’s invasion began on February 24, 2022.