Mtazamo wangu kuhusu Simba day hasa dakika 90 za mchezo

Bwana Bima

JF-Expert Member
Jul 29, 2014
418
886
Timu zote mbili zimecheza vizuri sana.

1)Ukuta wa Chemalone+Inonga mmh ni balaa. Uyo Malone ana jicho haswa

2)Kwenye kiungo naona nafasi ya Ngoma dhidi ya Mzamiru

3)Mganga wa Baleke anafanya kazi nzuri kumweka benchi Moses Phiri.

3)Chama kwa uwepo wa Onana na kuongezeka kwa Ngoma mmmh sijui kama jamaa ataendelea kupata nafasi. Leo Onana pembeni alikua anaonekana katikati yani yuko vzuri na uchezaji wake ni kama Chama.

4)Micson fitness yake bado iko chini. Inabd kazi kubwa ifanyike ili kiwango chake kirudi. All in All bado naona Yanga akiwa na machaguo mengi ya ziada yan substitution ambazo zinashabihiana kwa viwango wakitofautiana vitu vichache kuliko ilivyo kwa simba kwenye baadhi ya maeneo kama Beki za pembeni, kiungo wa ukabaji,kipa na beki za kati
 
Back
Top Bottom