kuhusu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ni Oktoba sasa anaeijua kinachoendelea kuhusu DP world atujuze

    Karibuni wanajamvi tupeane updates Kulingana na IGA hawa waarabu WA DP si walipaswa kuanza Oktoba?😁😁😁
  2. JamiiForums Tanzania Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa watumishi hawa wa umma, umma usahau kuhusu maendeleo

    Ni chaguzi kuu 6 sasa zimefanyika hapa nchini tangu tupate Uhuru. Ahadi kutoka vyama vyote kwenda kwa wananchi ni zilezile maji, barabara, elimu, na afya. Kwa watumishi hawa ninaowafahamu Mimi kwa miaka 8 sasa wananchi hawatakuja kupata utoshelevu wa mahitaji ya elimu, maji, umeme, miundombinu...
  4. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu dini

    Utata wa udini unatokea sana kwa sababu ya baadhi ya binadamu wanaoujua ukweli kujaribu kuwapotosha wengine kwaajili ya kulinda maslahi yao binafsi bila kuzingatia athari kwa watu wengine. Tangu enzi na enzi Mungu amekuwa na utaratibu wa kuwatumia mitume wake ili kuwapatia mafunzo watu wake...
  5. JamiiForums Tanzania Je, Machinjio ya Vingunguti yalikamilika?

    Ukitaka salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya!. Leo nimekaa nikaikumbuka ile Machinjio ya Kisasa iliyokuwa inajengwa Vingunguti tangu kipindi cha Mwenda Mlama!. Bila shaka itakuwa haikukamilika maana ingekuwa imekamilika ni lazima ningeona kwenye luninga mbwembwe za...
  6. L

    JamiiForums Tanzania China yaendelea kupaza sauti kuhusu vikundi vya nchi kukwamisha maendeleo ya nchi nyingine

    Kwenye mkutano wa baraza kuu la 78 la umoja wa mataifa uliofanyika hivi karibuni mjini New York, Makamu wa Rais wa China Bw. Han Zheng, alirudia tena mwito ambao China imekuwa inautoa kwa muda mrefu, kwamba hatua za upande mmoja ni changamoto kubwa kwa maendeleo ya nchi nyingine duniani, na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuhusu mkutano wa Dr. Slaa, Mwanza tarehe 4 Oktober 2023

    Sasa hivi ni very late kuzungumza kuhusu maswala haya. Ukiandika saa hizi zinatokea spelling errors nyingi. We will discuss it the morning. Lakini wale wanasema watafanya mkutano bila ruhusa ya Polisi; hii sasa itakuwa mwanzo mwingine tena wa duru ya sarakasi. Kwa nini Sauti ya Watanzania...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tunaomba ufafanuzi kuhusu tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one

    Jana limetumwa tangazo la agizo la kufanyika kwa pre-form one, English course kutoka kwa makatibu tawala wa mikoa lililotoka OR-TAMISEMI. Agizo hili limeelekezwa kwa walimu wa shule za sekondari za serikali. Hivi ndani ya OR-TAMISEMI au wizara ya elimu, viongozi hawajui utofauti wa formal na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa elimu hii ya Tanzania tusahau kuhusu uvumbuzi

    Binafsi darasa la kwanza nilianza nikiwa na miaka 13. Hii ni kwasababu ya kimasingira na kimwamko. University nimemaliza nikiwa na miaka 30 na ushehe kidogo, kwakuwa nilipomaliza six nikahangahikia ajira kwanza, uamuzi ambao mpaka kesho naufurahia. Turudi kwenye mada. Tanzania tunasoma kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Uelewa wa wananchi kuhusu haki, uhuru na demokrasia umeongezeka pakubwa nchini

    Je kuongezeka, kuimarika na kushamiri kwa hali hii ya uelewa mpana wa mambo kwa wananchi, kumechochewa zaidi na nini, ili kusudi pia kichocheo hicho kitumike kuchochea Elimu na uelewa wa katiba iliyopo na inayokusudiwa?
  11. JamiiForums Tanzania Fikra potofu kuhusu watu weusi (Afrika) ambazo sisi wenyewe tunaziamini bila kutafakari kwa kina

    Habari wadau wote wa JF Hakuna kitu kibaya kama kumwacha mtu akufafanue au kukuelezea kama vile ww mwenyew hujijui. Don't let anyone define you and don't let anyone define your beliefs. Kuna baadhi ya mambo waafrika tunakua tunajiaminisha na kujilaumu bila kutafakari kama "je haya mambo...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna taarifa gani kuhusu JKT kwa kujitolea?

    Nimepata fununu kua mwaka huu JKT raia walioomba ni wengi wanaangaika kuwapunguza. Ndugu zangu, nyinyi mna taarifa gani?
  13. JamiiForums Tanzania Nataka kumfungulia mchepuko wangu duka la bidhaa za kike (urembo) na watoto. Nipeni ushauri kuhusu bajeti na mahala sahihi hapa dar

    Habari wakuu Niliwahi kuleta uzi humu kuhusu mke wangu niliempa mtaji akafanye biashara ya duka la kuuza urembo wa kike pamoja na saloon lakini akauwa ile biashara. Yule alikua anafanya biashara kisa wenzake wanafanya lakini nina mchepuko wangu huwa ananipoza nikiwa dar, yeye kiukweli anajua...
  14. JamiiForums Tanzania Ukiwa una dharau kundi lolote katika jamii yako, sahau kabisa kuhusu Mafanikio Makubwa

    Ili upate pesa zinazohesabika Unabidi kuheshimu kila MTU katika Jamii yako. Maana mfanyabiashara anahitaji pesa ya kila MTU uwe, masikini, uwe tajiri, uwe mlevi, Uwe shekh, uwe mchungaji nk. Hii kanuni inatumiwa na watu wenye Mafanikio kila hatua unayopiga huwa anasogeza Ukaribu zaidi na jamii...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kuwa Rooney ni mdogo kuliko Ronaldo? Hapa kuna somo kuhusu umri na uzee

    Uzee ni nini? Na unasababishwa na nini?
  16. L

    JamiiForums Tanzania China yatoa waraka kuhusu jamii ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja

    Ofisi ya Habari ya Baraza la Serikali la China imetoa waraka unaoitwa “Jamii ya Binadamu Yenye Mustakabali wa Pamoja: Mapendekezo na Hatua za China.” Kwa mujibu wa waraka huo, miaka kumi iliyopita, Rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la kujenga jamii ya binadamu yenye mustakabali wa...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu akiondoka na siasa za upinzani zinapoa, hii inaashiria nini kuhusu afya ya upinzani nchini?

    Wananzengo, siasa za upinzani nchini huwa zinaendeshwa na matukio zaidi, lakini kwa sasa hali ni mbaya zaidi. Ni kama vile upinzani wote uko mikononi mwa Tundu Lissu. Mh. Lissu amechukua likizo kidogo basi kila kitu kimepoa, operations za CDM kimyaa, na hata mikutano ya hadhara na ile ya ndani...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Kutangaza nafasi za ajira kwa watu "Wa ndani ya NSSF" ni Ubaguzi, Rais Samia ingilia kati, unachonganishwa na wananchi!

    Haiingii akilini NSSF wamepata wapi huu ujeuri wa kuamua kuwatenga na kuwabagua watanzania wengine wote ili kuajiri wateule wao tu waliopewa nafasi kinyemela ya mikataba na kwa gia ya "kujitolea". Lazima nyuma yake kuna vigogo vinasukuma hii agenda nyuma ya pazia! Haishangazi yalishaanza...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kwa teuzi za kichawa na tenguzi za majungu kama hizi, tusahau kuhusu maendeleo

    Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu. Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara. Ndiyo kusema mwanamama huyu alipoteza sifa ya kuwa DC mpk kufikia hatua ya kutenguliwa 02/06/2023 lkn siku 90...
  20. JamiiForums Tanzania Huku jf uzi kuhusu januari hazifunguki.

    Hapo ndio ujue januari mambo yake ni ya kisanii na fix nyingi. Leo ukienda huku jf habari kuhusu yeye na bodi na management aliyoweka tanesco kutumbuliwa kwa kushindwa kuwapatia wananchi umeme hazifunguki😂🤣😂. Yote ni mtu wa dili maneno matupu na tamaa ya uongozi huku matokeo ni sifuri. Hatujui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…