kufundisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Nafasi za kazi: Walimu wa English kufundisha "twisheni" watoto wa shule za kayumba

    Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama...
  2. K

    Majirani zetu na kufundisha kiswahili mashuleni

    Wana JF, Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao. Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto...
  3. C

    SoC03 Umenifundisha kufundisha

    UMENIFUNDISHA KUFUNDISHA Jumatatu moja tulivu, wanafunzi wa darasa la tano waliingia darasani baada ya kutoka Paredi. Mwalimu mgeni machoni mwao akaingia darasani. Wanafunzi wote wakasimama na kusalimia kama ada yao. Mwalimu akaitikia na kuwaruhusu wakae. Akaenda ubaoni na kuandika jina lake...
  4. comte

    Mwanzilishi wa Alibaba Jack Ma arudi darasani kufundisha

    Jack Ma ameonyesha uwezekano wa kuwa msomi na tajiri pia kinyume cha tunavyoamini hapa kwa wasomi hawezi kuwa matajiri --- Jack Ma, the billionaire co-founder of Alibaba who disappeared from public life in 2020, has taken up a teaching role in Japan Alibaba co-founder Jack Ma has joined Tokyo...
  5. TUKANA UONE

    Si kila Mchungaji, Nabii au Mtume anayetumia Biblia kufundisha ni Mkristo, wengine ni matapeli

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaojiita Mitume, Manabii au Wachungaji ambao wamekuwa wakiwakonfyuzi watu hasa wale ambao si waumini wa Dini ya Kikristo. Kitu kibaya zaidi hao Viongozi wa madhehebu hayo wamekuwa wakitumia Biblia kama njia ya kufanya huo utapeli wao ukaonekana ni ukweli...
  6. peno hasegawa

    Tetesi: Moshi: Afisa Elimu wa Manispaa kumuweka LOCKUP mwalimu, walimu kuanza mgomo baridi tar 11.4.2023 kutokufundisha hadi Ngonyani ahamishwe

    Shule Za msingi Tanzania zinafunguliwa Kesho Tar 11.4.2023 kwa kilio baada ya walimu wasio pungua 760 Moshi Manispaa kutangaza mgomo baridi wa kutokufundisha . Hii ni KUTOKANA na mwezao kuwekwa Lockup na manyanyaso walimu wanayoyapata kutoka kwa afisaelimu (Ngonyani) hadi hapo atakapohamishwa...
  7. K

    Ushauri: Anzisheni utaratibu wa wahitimu wa elimu za juu kufundisha kwa mwaka mmoja

    Tanzania kuna watoto wengi sana wanaingia shule kwa kasi kuliko uwezo wa serikali kuajiri walimu wa kutosha. Huu ni wakati mzuri wa kufikiria programu ya wahitimu wa elimu za juu ambao wengi nao ni vijana kufundisha kwenye shule mbalimbali kwa mwaka. Serikali iweke utaratibu mzuri hili...
  8. JanguKamaJangu

    Moshi: Mwalimu mbaroni akituhumiwa kusababisha kifo cha mwanafunzi kwa kumpiga mateke

    Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’. Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
  9. Kollebundle

    Ni kosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili

    Nikosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili, soma 1timotheo2:12 (Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume). Je, waislamu maandiko yenu yanasemaje kuhusu hili? Wanawake wa sasa hawalitii hili agizo la Mungu wanalazimisha wawe sawa na wanaume na ni kitu...
  10. C

    Mwalimu wa kujitolea kufundisha mathematics

    Habari za leo? Kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi. Akihitaji kulipwa hiyo posho kwa wiki ni sawa pia(250,000/4). Utapata kifungua kinywa, chakula cha mchana...
  11. ASIWAJU

    Kwanini lugha ya Kiswahili haitumiki kufundisha kwa ngazi zote za kielimu?

    Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums: Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022. 1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili katika kufundisha na kuondoa matumizi ya lugha ya kiingereza katika ngazi zote za kielimu hapa nchini...
  12. BARD AI

    Serikali yaanza uchunguzi wanafunzi kufundishwa ulawiti

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti katika shule mkoani humo. Uamuzi wa Serikali unatokana na gazeti moja nchini kuripoti uwepo wa shule inayofundisha masuala hayo mkoani humo kitendo...
  13. Andrew Timotheo3105

    Natafuta kazi ya kufundisha fani ya uhazili

    Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial. Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM Email...
  14. Martyr 360

    Kiswahili kuchaguliwa kama Lugha ya Taifa ilikuwa kosa?

    Yaani hapa bongo bhana tuna vipaji vingi sana tena watu wa maana umewahi kufikiria kwanini hatuvumi sana kimataifa na dunia kiujumla. Hii ni kwasababu ya lungha tunayotumia kama Lungha ya taifa umewahi kufikiria labda ENGLISH ingekuwa ndo lugha yetu ya taifa yaani Kwanza tungekuwa na lafuzi...
  15. Boss la DP World

    Wakati wenzetu wakiendelea na uvumbuzi wa AI, sisi tunakomaa kufundisha panya pale SUA

    Wakati wenzetu wakiendelea kuvumbua teknolojia mbalimbali ikiwemo akili ya bandia (Artificial Intelligence), wasomi wetu wa SUA wanakimbizana na panya eti kuwafundisha panya kubaini magonjwa na kugundua sehemu ambazo mabumu ya ardhini yametegwa. Kwa maoni yangu huu ni mtindio wa ubongo kwani...
  16. Championship

    Makocha kumi bora kuwahi kufundisha mpira wa miguu Tanzania 1990-2022

    Hawa ndio makocha bora zaidi katika soka letu katika kipindi tajwa hapo juu. Kigezo kikuu ni idadi ya vikombe ila pia tumeangalia ubora wa mpira na uwezo wa kuboresha vipaji vya wachezaji. 1. James Siang'a 2. Abdallah Kibaden 3. Patrick Phiri 4. Jack Chamangwana 5. Patrick Aussems 6...
  17. Hassan Enzi

    Nahitaji Shule ya kufundisha kwa kujitolea

    Natafuta shule ya KUJITOLEA nafundisha masomo yote ya shule za msingi. Pawepo na angalau ya maji. Mana kitaa kinachosha
  18. N

    Mimi ni mwalimu wa science natafuta shule ya kufundisha

    Habari! Naitwa Nazaely Shani natafuta shule ya kufundisha profession ni mwalimu wa Chemistry na Biology olevo hadi advance. Check me 0743303233 au 0673803233
  19. kavulata

    Juma Mgunda afungiwe kufundisha mpira ligi kuu Tanzania

    Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na: 1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja. 2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
Back
Top Bottom