Mwalimu wa kujitolea kufundisha mathematics

Vintage1q

Member
Jan 7, 2021
41
257
Habari za leo? Kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi. Akihitaji kulipwa hiyo posho kwa wiki ni sawa pia(250,000/4). Utapata kifungua kinywa, chakula cha mchana na hata jioni kama utakuwepo mazingira ya shule hadi jioni. Shule ipo Dar es salaam. Karibuni.
 
Hbari za leo? kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi. Akihitaji kulipwa hiyo posho kwa wiki ni sawa pia(250,000/7). Utapata kifungua kinywa, chakula cha mchana na hata jioni kama utakuwepo mazingira ya shule hadi jioni. Shule ipo Dar es salaam. Karibuni.
Nipe hiyo nafasi,nifundishe o level, maana ni mwaka sasa nimekaa nje ya Field baada ya kupata ajali, inawezekana kufanya kazi for six months then niondoke?
I'm experienced graduate with bachelor degree,.
Expecting to be in Dar next month
0773324524. Tuyajenge nipate nauli hii
 
Mods, nimeteleza hapo. Naomba isomeke MATHEMATICS badala ya MATHEMATICA.
Ongeza ongeza hiyo posho basi, walau ifikie laki 3 kwa mwezi, ili Mods wakurekebishie kwa urahisi kabisa.
Kwa Jiji kama la Dar, kwa posho ya laki 2.5, bado uko chini Mkurugenzi.
 
Ongeza ongeza hiyo posho basi, walau ifikie laki 3 kwa mwezi, ili Mods wakurekebishie kwa urahisi kabisa.
Kwa Jiji kama la Dar, kwa posho ya laki 2.5, bado uko chini Mkurugenzi.
Kwa huu msoto acha tuishi na hiyo posho sio mbaya kwa kuanzia
 
Hizo hesabu kwenye mabano unamaanisha utamlipa mwalimu 62,500 tu.
Kama sijui hesabu nisahihishe
 
Hbari za leo? kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi. Akihitaji kulipwa hiyo posho kwa wiki ni sawa pia(250,000/4). Utapata kifungua kinywa, chakula cha mchana na hata jioni kama utakuwepo mazingira ya shule hadi jioni. Shule ipo Dar es salaam. Karibuni.
MATHEMATICS ni program ya kompyuta kwa ajili ya ku-solve mathematical problems
 
Back
Top Bottom