Wakati wenzetu wakiendelea na uvumbuzi wa AI, sisi tunakomaa kufundisha panya pale SUA

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,997
7,551
Wakati wenzetu wakiendelea kuvumbua teknolojia mbalimbali ikiwemo akili ya bandia (Artificial Intelligence), wasomi wetu wa SUA wanakimbizana na panya eti kuwafundisha panya kubaini magonjwa na kugundua sehemu ambazo mabumu ya ardhini yametegwa.

Kwa maoni yangu huu ni mtindio wa ubongo kwani kwa teknolojia ya sasa, hakuna haja ya kutumia panya kwenye hayo mambo madogo, mwisho mtatuletea magonjwa bure. Hebu kuweni serious au badilisheni hicho chuo kuwa mabanda ya kuku ili taifa linufaike kwa kuuza mayai na nyama lakini sio huo upuuzi.

Sahivi wenzenu wanatengeneza robots zinazofanya hayo mambo bila kukosea nyie mnatuibia tu hapo.

Muwe serious basi, ikibidi kaeni kimya ili msituaibishe p u.m bav u zenu.
 
Umebugi step. Hata nchi zilizoendelea zinafanya reserch nyingi za kuwatumia mbwa, panya nk kugundua magonjwa na mambo mengine. AI na panya ni matawi mawili tofauti.
 
Kutoka kwa mtafiti wa kujitegemea

Ndiyo hatua ya kwanza ya utafiti.

Dawa nyingi huanzia kwenye panya.

Onaa, kwa mtafiti, mwalimu, mwanafunzi mwenye science project anayehitaji panya wa majaribio kwa Nyanda za juu kusini tuwasiliane 0734189022. Kwa sasa M 20230928_161711.jpg beya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom