kufundisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Natafuta kazi ya kufundisha majumbani

    Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
  2. mzalendo namba moja

    Fursa ya kwenda kufundisha Marekani (kwa walimu tu)

    Maombi sasa yamefunguliwa kwa walimu wa Kitanzania kutuma maombi ya kushiriki katika mpango maarufu wa Fulbright Teacher Exchange wa mwaka 2026! Hii ni fursa ya kipekee ya kushirikiana na waelimishaji wa Marekani, kubadilishana mawazo bunifu, na kushirikiana mbinu bora za ufundishaji. Usikose...
  3. S

    Nimesoma IT, natafuta kazi

    Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
  4. J

    Prof. Kabudi ataka Elimu ya Biblia itolewe shuleni kuanzia Chekechea hadi Sekondari na Biblia zigawiwe Bure ili kulinda Maadili

    Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka Kabudi amesema hayo kwenye...
  5. C

    Kazi ya kufundisha

    Natafuta kazi ya kufundisha Mathematics na ICT,dar es salaam Shukran 0621594478 napatikana kiwalani.
  6. Natafuta pesa

    Ninatafuta kazi ya kufundisha Kiswahili na Historia

    Habari za muda huu. Mimi ni kijana wa kitanzania. Nina umri wa miaka 25, natafuta kazi ya kufundisha kwenye taasisi ya elimu kwa ngazi ya kidato cha kwanza hadi kidato cha sita. Nina uzoefu wa kufundisha shule ya sekondari kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja na nusu, somo la Kiswahili na...
  7. Decruise

    Mashujaa wetu wa zamani bado wanathaminiwa katika kufundisha kizazi kilichopo mashuleni?

    Nataka Kujua mashujaa wa kipindi cha nyuma kama kina chifu mkwawa bado wana somwa kweli mtaala wa elimu wa sasa?
  8. Nehemia Kilave

    Walimu waheshimiwe sana; si kila mtu anaweza kuelekeza na kufundisha

    Nilichojifunza hapa kuna muda ni shida sana kumuelekeza mtu na ku control hasira. Waalimu wapewe maua yao.
  9. G

    Kufundisha vyuo vikuu binafsi

    Hello family? Naomba kupata uzoefu wa mtu aliyewahi au anayefundisha vyuo vikuu binafsi nchini. Hali ya malipo ikoje? amenities kama zinakuwa provided timely, job security, na treatment ikoje? Nikipata mwenye uzoefu na vyuo kama SAUT, TUMAINI na St. John itakuwa bora zaidi. Ahsante.
  10. MOSHI UFUNDI

    Naomba kazi ya kufundisha Physics nina Bachelor of science in physics

    Habari wanajukwaa? Nina Bachelor of science in physics (Sio ualimu). Kutokana na ugumu wa ajira na ugumu wa maisha kiujumla, nimekuja mbele zenu kutafuta kazi. Ninauzoefu wa kufundisha kwa miaka miwili sasa( Theory na practicle) kwa O level na A level. Nipo tayari hata kwa Interview, sambamba...
  11. robbyr

    Chuo cha Bagamoyo kimekufa? Wasanii hawakustahili kwenda Korea bali tulihitaji uwezeshaji hapa nchini

    Picha: Mtandaoni Kwa heshima kubwa nampongeza rais na baraza la sanaa kwa kuona kuna kitu tunaweza kujifunza kutoka kwa jamii ya watu wa Korea Kusini Ila niseme kuwa wizara ya sanaa imeshindwa kutafsiri maono ya rais juu ya sanaa yetu. Ila wasani hawaendi kujifunza utamaduni wa Korea ili waje...
  12. R

    Mwalimu wa physics & chemistry (bachelor) natafuta kazi ya kufundisha

    Habari wanajamvi, shule zinaenda kufunguliwa kesho hivyo kwa mwenye connection ya kazi ya kufundisha anisaidie, chuo nmehitimu UDSM
  13. sinza pazuri

    Uchebe kasaini kufundisha Singida black stars

    Habari za uhakika ni kwamba kocha wa zamani wa Simba maarufu Uchebe amechukuliwa kuinoa Singida Black Stars. Singida safari hii wanawekeza sana.
  14. N

    SoC04 Elimu ya chuo wabadilishe system ya kufundisha

    Ninaguswa sana na jinsi ya elimu yetu Tanzania, vitu tunavyofundishwa darasani sio vitu unavyokutana navyo kazini. Kuna umuhimu wa kuboresha ufundishaji wa elimu ya chuo kikuu. Ninaamini elimu tunayopewa chuo inatupa maarifa lakini tukiangalia baadhi ya vitu nadhani kuna haja ya kubadilisha...
  15. uhurumoja

    Kwahiyo Bakari Shime ndiye kocha pekee anajua kufundisha mpira wa wasichana Tanzania!?

    Naangalia hapa mashindano ya mashule kwa mpira wa miguu ngazi ya Afrika, Haya mashindano bila shaka yamefana sana lakini nimeona kasoro kwenye team ya Tanzania wasichana ambapo kocha ni Bakari Shime. Kwa ninavyo faham hizi team huwa shule zinashindanishwa ambapo shule mshindi inaenda na...
  16. E

    Ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani?

    1: wana JF naomba kuuliza kuhusu hizi ajira za ualimu zilizotangazwa kutoka kwa mwajiri ambaye ni MDAs na LGAs, je unaenda kufundisha wapi na level gani? Pia 2: je kuna faida yeyote kwa mwalimu aliye chini ya Tamisemi kuomba kuhamia MDAs na LGAs 3: nini tofauti ya kufanya kazi Tamisemi au...
  17. Kyambamasimbi

    TIE Maboresho ya mtaala wa Elimu. Hivi kuna haja ya kuendelea kufundisha kuandika barua ya kirafiki mashuleni?

    Habari wajf Leo nimeshangaa kuona eti Bado watoto wanafundishwa kuandika barua ya kirafiki mashuleni zama hizi za sayansi na Teknolojia? Kwa maono yangu wafundishwe kutumia simu nanna ya kutuma sms. Leo hii wadau wewe ulimwandikia lini ndugu au rafiki barua ya kirafiki?
  18. Logikos

    The Great Monkey Trial - Kesi ya Mwalimu Kufundisha Evolution

    Hii ni Scopes Trail (July 10–21, 1925, Dayton, Tennessee, U.S.); Ambapo Mwalimu wa Shule John T. Scopes alikuwa charged kwa ku-violate Sheria ya State ya kufundisha Evolution.... Case yenyewe inaweza kupatikana hapa:- https://en.wikipedia.org/wiki/Scopes_trial; Lakini ingawa huyu mwalimu...
  19. Kaka yake shetani

    Kama umeona kina faida kwa nini unatumia nguvu kubwa ya kutaka kufundisha au kuelekeza kwa malipo.

    Kuna mambo hapa tanzania hususani hii biashara ya Forex imekuwa na majigambo mengi yani mtu ana kuonesha kapiga usd 5000 kwenye news kama CPI,NFP na n.k bado hapo hapo anaweka group au darasa la malipo watu walipie. Au watu wa mikeka aka bettting Kuna mashaka sana na hawa watu wa forex na betting
  20. emmarki

    Nahitaji anayeweza kufundisha ujasiriamali

    Niko wilaya ya Mafia, nalea vikundi vya wamama na vijana. Wanachama walio ndani ya hivi vikundi shughuli kubwa niliyoona wanafanya sana ni wanakopeshana sabuni za unga. Wananunua carton ya sabuni ya unga mfano doffi wanakopeshana, baada ya wiki aliyekopeshwa anarejesha 2000 kwa kila pakiti ya...
Back
Top Bottom