Je, ni taratibu gani mtu anatakiwa kufuata ili apate hati miliki ya kiwanja/nyumba?

Je, ni taratibu gani mtu anatakiwa kufuata ili apate hati miliki ya kiwanja/nyumba?

kimara Kimara

Senior Member
Joined
Jul 7, 2024
Posts
138
Reaction score
279
Habari za muda Huu wadau,
naomba kufahamu ili kupata hati ya kiwanja/ nyumba ni Hatua zipi zinatakiwa kufuatwa na inahtajika taarifa zipi, Gharama kiasi gani na inachukua muda gani kupata hati yako asante
 
Screenshot_20251110-151125.png
 
Ukiwa na ndugu mvaa majani hiyo ni kazi ndogo sana tofauti na hapo itabidi uzunguke mbuyu.
 
Back
Top Bottom