Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?
Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga...
Nawasalimu salaam !
Leo niwasanue sababu kubwa ya mnashangaa kwa nini wakenbya wako walivo halafu sisi tumezubaa .
utajiuliza inakuwaje watekaji wawili wanaenda stendi kisa wamekuja na gari la STJ wanamchukua baba eneo la wazi kama stendi katikati ya wanaume si chini ya 100 na wanaondoka...
Habari zenu wa JF.
Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha.
Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito
Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye...
ITHIBATI NI NINI NA ITAKIWAJE KUFANYA KAZI?
Kumekuwa na mazungumzo mengi mtandaoni kuhusiana na bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, kwenye Kikao cha dharura cha @speshokabwanga Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile anaelezea ithibati ni nini na inafanyaje kazi.
Full...
Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe.
In short don't trust politicians hasa ukiwa smart .
Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu
Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania.
Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi.
Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili.
Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
Joseph Gwajima
Luhanga Mpina
Hersi Said
Arafat Haji
Byabato
Mpango
Majaliwa
Polepole
Lissu
Heche
Butiku
Warioba
Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why?
Huyu mama anawataka wakina Babu Tale na Msukuma!
Sasa namwambia atadondoka nao mwaka huu Kama hakuna reform...
Kumekua na malalamiko na mijadala juu ya uwepo wa utitiri wa raia wa kigeni, hususan Wachina, katika baadhi ya biashara, especially zile ndogondogo hadi zile za kati hasa katika maeneo ya Dar Es Salaam, na hata masokoni ya mikoani. Wengi wamehoji namna wageni hawa wanavyoingia sokoni kwa nguvu...
Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk
Bila hela hutoboi..
Mwisho wa uchambuzi.
Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine.
Hao wanaotushauri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.