Kero ya Ada Chuo cha Maji (Water Institute): Unyanyasaji wa kuzuia wanafunzi kufanya Test 1 na 2 kisa salio dogo la ada unakiuka maagizo ya Serikali

Mercenary Army

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
296
Reaction score
687
WanaJF salamu,
Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma ya elimu na malezi kwa vijana wa Kitanzania.
Chuo kimejenga utaratibu wa kikandamizaji wa kuwazuia wanafunzi kufanya mitihani ya majaribio ya darasani (Test 1 na Test 2) kwa sababu tu hawajamaliza kiasi chote cha ada ya mwaka.
Uhalisia wa Hali Ilivyo:
Gharama za ada kwa mwaka ni takribani Tsh 1,520,000. Kuna wanafunzi wengi ambao hawana mikopo ya Bodi (HESLB) na wanapambana kujilipia wenyewe au wazazi wao wanatafuta kwa tabu. Inasikitisha kuona mwanafunzi amelipa Tsh 1,400,000 (kabakiwa na deni kidogo tu la laki moja na ushee), lakini anazuiliwa kabisa kuingia kwenye chumba cha mtihani wa Test! Huu ni ukatili wa kitaaluma.
Athari za Kiakademia:
Utaratibu huu unawaumiza kisaikolojia na kitaaluma wanafunzi wanaopambana. Matokeo yake, wanafunzi wengi wanalazimika kusubiri kufanya mitihani ya marudio (Special Tests) ambayo mara nyingi inarundikana, inaleta msongamano wa masomo, na mwishowe inachangia kufeli au kushuka kwa ufaulu wa jumla (GPA).
Kukiukwa kwa Maagizo ya Serikali:
Hivi karibuni, Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba, alitoa maagizo mazito na ya wazi kwa vyuo vyote nchini: Wanafunzi wasizuiliwe kufanya mitihani kwa sababu ya upungufu wa ada, kwani elimu ni huduma na wanafunzi hao hawawezi kukimbia chuo bila kukamilisha malipo hayo ifikapo mitihani ya mwisho ya muhula (University Examinations - UE).
Ni kwanini Chuo cha Maji kinaonyesha kibri hiki cha kutosikiliza au kupuuza miongozo na maagizo ya viongozi wakuu wa Serikali? Je, chuo hiki kiko juu ya sheria au kina taratibu zake binafsi zisizojali utu?
Wito Wangu:
Uongozi wa Chuo cha Maji: Acheni unyanyasaji huu. Ruhusuni wanafunzi wafanye Test 1 na 2 ili wapate haki yao ya msingi ya kitaaluma, kisha mkae nao sawa kwenye mitihani ya mwisho (UE). Chuo sio soko la biashara, ni taasisi ya umma ya kulea wataalamu.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia: Tunaomba muingilie kati suala hili. Fuatilieni kile kinachoendelea Chuo cha Maji ili kuokoa mustakabali wa wanafunzi wanaonyanyaswa kisaikolojia kwa sababu ya salio dogo la ada.
Nawasilisha, naomba kuwasilisha maoni yenu wana-bodi. Mfumo huu wa vyuo vyetu unajenga au unabomoa Taifa?
 
Jifunzeni kutii utaratibu wa chuo, kwani TRA ukilipia kodi ya gari 11m ukilipia 10m na laki tisa hiyo gari i anaruhusiwa kutoka yard ya TRA? Kwanini likija suala la elimu mnapenda kulalalamika ili muonewe huruma?
 
mkuu,hatujakataa kulipa,pia elewa mada tafadhali,hiyo control number ya ada yenyewe Ina expire mwezi wa 10 mwaka huu,we unadhani kwanini hiyo control number walipeleka hadi mwezi wa 10 iwe expired?
 
Mmezuiliwa kufanya tests za masomo gani mkuu? Ni level ya Digrii au diploma?
 
WanaJF salamu,
Ninaleta mada hii mbele yenu nikiwa na majonzi na masikitiko makubwa kutokana na hali halisi inayojiri katika Chuo cha Maji (Water Institute) kwenye Muhula huu wa Pili (Semester II). Kumekuwa na mfumo wa uendeshaji unaoonekana kulenga faida au biashara zaidi badala ya kutoa huduma ya elimu na malezi kwa vijana wa Kitanzania.
Chuo kimejenga utaratibu wa kikandamizaji wa kuwazuia wanafunzi kufanya mitihani ya majaribio ya darasani (Test 1 na Test 2) kwa sababu tu hawajamaliza kiasi chote cha ada ya mwaka.
Uhalisia wa Hali Ilivyo:
Gharama za ada kwa mwaka ni takribani Tsh 1,520,000. Kuna wanafunzi wengi ambao hawana mikopo ya Bodi (HESLB) na wanapambana kujilipia wenyewe au wazazi wao wanatafuta kwa tabu. Inasikitisha kuona mwanafunzi amelipa Tsh 1,400,000 (kabakiwa na deni kidogo tu la laki moja na ushee), lakini anazuiliwa kabisa kuingia kwenye chumba cha mtihani wa Test! Huu ni ukatili wa kitaaluma.
Athari za Kiakademia:
Utaratibu huu unawaumiza kisaikolojia na kitaaluma wanafunzi wanaopambana. Matokeo yake, wanafunzi wengi wanalazimika kusubiri kufanya mitihani ya marudio (Special Tests) ambayo mara nyingi inarundikana, inaleta msongamano wa masomo, na mwishowe inachangia kufeli au kushuka kwa ufaulu wa jumla (GPA).
Kukiukwa kwa Maagizo ya Serikali:
Hivi karibuni, Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Mwigulu Nchemba, alitoa maagizo mazito na ya wazi kwa vyuo vyote nchini: Wanafunzi wasizuiliwe kufanya mitihani kwa sababu ya upungufu wa ada, kwani elimu ni huduma na wanafunzi hao hawawezi kukimbia chuo bila kukamilisha malipo hayo ifikapo mitihani ya mwisho ya muhula (University Examinations - UE).
Ni kwanini Chuo cha Maji kinaonyesha kibri hiki cha kutosikiliza au kupuuza miongozo na maagizo ya viongozi wakuu wa Serikali? Je, chuo hiki kiko juu ya sheria au kina taratibu zake binafsi zisizojali utu?
Wito Wangu:
Uongozi wa Chuo cha Maji: Acheni unyanyasaji huu. Ruhusuni wanafunzi wafanye Test 1 na 2 ili wapate haki yao ya msingi ya kitaaluma, kisha mkae nao sawa kwenye mitihani ya mwisho (UE). Chuo sio soko la biashara, ni taasisi ya umma ya kulea wataalamu.
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia: Tunaomba muingilie kati suala hili. Fuatilieni kile kinachoendelea Chuo cha Maji ili kuokoa mustakabali wa wanafunzi wanaonyanyaswa kisaikolojia kwa sababu ya salio dogo la ada.
Nawasilisha, naomba kuwasilisha maoni yenu wana-bodi. Mfumo huu wa vyuo vyetu unajenga au unabomoa Taifa?
Lipa Ada Acha kulialia
 
Kwanini wasifanye lipa kwanza ndio uanze masomo au lipa kidogo mpaka mwisho wa mwaka umalize, kama hujamaliza balance matokeo hupati na huwezi kuendelea next year mpaka deni liishe
 
hiyo huduma hawana mkuu,ko wanafunzi wengi wanaojilipia ada ndo wanateseka mno
 
Mmezuiliwa kufanya tests za masomo gani mkuu? Ni level ya Digrii au diploma?
Mkuu,diploma na degree wote ambao hatujakamilisha ada tulizuiliwa kufanya masomo yote yanayotuhusu,ni huzuni mno😥
 
Back
Top Bottom