Usijisumbue kijana mwenzangu kwa dunia hii hakuna mbinu yoyote utakayofanya mwanamke akakuelewa bila kutumia hela, mavumba, fedhwa, kibunda,umateumate, ankara ,money nk
Bila hela hutoboi..
Mwisho wa uchambuzi.
Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine.
Hao wanaotushauri...
Majeshi majeshi!
VAENI SILAHA ZOTE ZA IMANI KUPIGANA NA YULE MUOVU!
Elewa neno SILAHA ZOTE (MASHINE mpya yesu na analogi za maombi ya sadaka na karamu za zamani katika agano la kale hatuwezi kuzipuuza)
Kama mulivyoona ibada iliyopita wana wa anaki bado wapo na sisi kutufuata fuata!
Muda wa...
Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
ccm
chama
haramu
katiba
katiba ya chama
katiba ya nchi
kubadili
kubadili katiba
kufanya
mabadiliko
mabadiliko ya
mabadiliko ya katiba
mgombea
nchi
njia
wameshindwa
Wameitisha online conference meeting, lengo wabadilishe baadhi ya vipengele vya katiba yao kuelekea uchaguzi mkuu 2025 huku wakigomea mabadiliko ya sheria za uchaguzi mkuu ziweze ku suit vyama vyote kwa usawa
Habari Tanzania !
Naomba kuweka mawazo mseto kwa maendeleo ya nchi yetu. Naomba paanzishwe " Vijana Village Funds" huu uwe mfuko wa ukopeshwaji kwa vijana kwenda kuishi Vijijini na kuhakikisha wanaanzisha maendeleo na kuwa wazalishaji bora wa bidhaa mbalimbali kutokana na asilia ya eneo...
Utakuta Mtu Ameajiriwa Tayari Serikalini Lakini Bado Anafanya Maombi ya Ajira: Hawa Nao Wanasababisha Upungufu wa Ajira Nchini
Kuna watu ambao tayari wamepata ajira serikalini, wamepangiwa vituo vya kazi, na wanaendelea kupokea mishahara kila mwezi. Lakini jambo la kushangaza na la kusikitisha...
1. Kuwa na TIN kutoka TRA
Moja ya vigezo vya msingi kabisa ni kuwa na Hati ya Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN) kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). TIN ni ushahidi rasmi kwamba biashara yako imetambuliwa kisheria kama inayopaswa kulipa kodi. Bila TIN, huwezi kusajili biashara yako...
Wakuu mamboz!
Mimi ni kijana wa kiume sijui kitu chochote namna ya kufanya tendo , nifundisheni kuanzia mwanzo mpaka mwisho na jinsi ya kumcare demu, n.b ikiwezekana nifundisheni na style
Mtihani mzito wa Kulivusha Taifa baada ya tukio la kipekee kutokea nchini ya kifo cha Rais aliopo madarakani inatufanya tuwe na imani isiyo na shaka kwamba Rais Samia anao uwezo pasipo shaka kuisimamia nchi kwa awamu nyingine tena.
Ikumbukwe kuwa hakuna Rais yoyote nchini aliwahi kupokea kijiti...
GT
Wale wahuni waliopeleka kesi ya mali wanasema kupitia mawakili wao Baadhi ya viongozi wa Chadema wanakosea kutafasiri amri ya mahakama.
Mawakili hao wanasema kupitia jambo TV hakuna hata kiongozi mmoja wa chadema anapaswa kufanya siasa kuanzia ngazi ya kitongiji aha ha 😄 🤣 😂 😆
Dunia simama...
Kesi ya Tundu Lissu inaendeshwa kihuni, bila kuzingatia principles of fair trial. Badala ya mahakama kuwa independent interpreter of the law, imejigeuza political tool. Mawakili wa Jamhuri wanatumia vifungu kama s.89 & 384 Penal Code ambavyo havihusiani na hoja ya msingi.
Huu ni ukiukwaji wa...
Nawezaje kuepuka ugali. Nawezaje kuepuka wali. Maisha ya kigeto kigeto. Ugali una wanga ambao ni hatari.
Wali una sukari ambayo ni hatari Sasa ntafanyaje mana migahawani hakuna diet wenzangu mnawezaje?
Wengi wetu, walio na wasio wanachama au mashabiki wa CCM, tumeiona barua ya kujiuzulu ya Polepole, na sababu za yeye kujiuzulu. Kuna waliompongeza na kumwona shujaa wa Tanzania, na kuna waliomlaani na kumwona msaliti na mnafiki kwa CCM na Tanzania.
Na ni wazi kwamba CCM watakuwa wamemfikia kwa...
Makamu wa Rais Muheshimiwa Philip Mpango alidai kuwa ametosha kuwa Makamu wa Rais na hakutaka kuendelea kuwa Makamu kwa muhula wa Urais ujao ambao Rais Samia bado anautetea. Mpango ametaka kustaafu kwa hiari cheo icho ambacho amedumu nacho kwa Muhula mmoja wa Urais.
Hatujakaa sawa Waziri Mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.