kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kwa mujibu wa Humphrey Polepole, muda wa kufanya Reform bado upo na Tundu Lissu aachiewe

    Ktk Hotuba za Humphrey Polepole alitekuwa Balozi Nchini Cuba, aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chama cha CCM Taifa na Mbunge wa Kuteuliwa amesisitiza umuhimu wa kufanya reform za mabadiliko ya Sheria za Uchaguzi na kanuni zake. Pia amesema Muda bado upo na hata ukisogezwa mbele hakuna shida kama...
  2. ELI COHEN

    JAMII CHAT: Uchawi ni sayansi ya kuunda miujiza au ni technique ya kufanya akili kuamini matokeo yametokana na miujiza?

    Karibuni:
  3. kiss ov love

    Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

    Husika na mada hapo juu, swali kwenu enyi wanaume, mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini? Hivi huwa mnajisikiaje kutudanganya na kutuharibia maisha, unakuta mwanaume anafanya juhudi zote kukutongoza unamkubali, una fall in love, anakwambia maneno mazuri, mna panga...
  4. The only

    Sababu kuu ya watanzania kuwa MAMBUMBUMBU sio werevu kama wakenya ,na nini cha kufanya

    Nawasalimu salaam ! Leo niwasanue sababu kubwa ya mnashangaa kwa nini wakenbya wako walivo halafu sisi tumezubaa . utajiuliza inakuwaje watekaji wawili wanaenda stendi kisa wamekuja na gari la STJ wanamchukua baba eneo la wazi kama stendi katikati ya wanaume si chini ya 100 na wanaondoka...
  5. O

    Gharama za kufanya sherehe zinazidi kuchangamka

    Barua hii inajieleza yenyewe.
  6. Nyanda Banka

    Tujue hule ulienda kufanya nini?

    HAYA KOKOTO ZINAITWAJE KWA KINGEREZA? TUJUE KWELI WAZAZI HAWAKUPOTEZA ADA KWAKO
  7. U

    Mliowahi kufanya biashara minadani naombeni uzoefu

    Habari zenu wa JF. Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha. Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
  8. Hyrax

    Siri ya utajiri ni kufanya yasiyofanywa au kufanya yaliyoshindikana

    Elewa Code halafu tembea nayo.
  9. Mwachiluwi

    Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

    Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye...
  10. Ojuolegbha

    Ithibati ni nini na itakiwaje kufanya kazi?

    ITHIBATI NI NINI NA ITAKIWAJE KUFANYA KAZI? Kumekuwa na mazungumzo mengi mtandaoni kuhusiana na bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, kwenye Kikao cha dharura cha @speshokabwanga Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile anaelezea ithibati ni nini na inafanyaje kazi. Full...
  11. Now and then

    Mulamula alitolewa Marekani akaja akapewa ubunge na uwaziri ila leo anakatwa juu kwa juu , wasomi muwe makini ni ngumu sana kufanya kazi na akil ndogo

    Sikutegemea msomi, mwanadiplomasia Kama Mulamula kuishia kukatwa na wajumbe. In short don't trust politicians hasa ukiwa smart . Kwakuwa watu wenye akili Sana hawapendwi Tanazania.
  12. T

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane

    Kijana aliyemaliza degree ya sheria anayetafuta kazi, wakati anaendelea kutafuta kazi ambaye anaweza kupewa kikazi kidogo cha kufanya, tuwasiliane
  13. Desierto

    Utaweza kufanya kazi kwenye sehemu kama hii.

  14. O

    Vijana tumejiandaa vipi na fursa zinazotokana na wafanyabiashara wa kigeni waliozuiwa kufanya biashara nchini?

    Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu
  15. Mmawia

    Wafanyabiashara ndogondogo wa Kenya wacharuka baada ya Tanzania kuzuia wageni kufanya biashara ndogondogo

    Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania. Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
  16. Mganguzi

    GE2025 Samia Suluhu, tumia tu TV kunadi sera zako kuliko kutumia mabilioni kufanya kampeni. CCM haina mpinzani yeyote! Mpinzani yuko jela!

    Tayari mpaka Sasa tundu lissu akiwa jela na chadema ikiwa off kwa kubanwa mbavu Kila Kona na mahakama hakuna Tena matumaini ya chadema kuingia uchaguzini mwaka huu!!! Kwa maana hiyo ccm itaingia kupambana na hashimu rungwe pamoja na yule dada wa act, mpaka hapo ccm imemaliza uchaguzi...
  17. MamaSamia2025

    Kwa maoni yangu naona hili tangazo la shughuli wasizotakiwa wageni kufanya halijakaa sawa kidiplomasia

    Ukiingia mtandaoni utaona pages nyingi za nchi jirani zilizoko SADC na EAC haziongelei kwa uzuri hili tangazo la Jafo. Kwa majirani zetu ni ngumu kujua kama walengwa wakuu ni wachina. Watu wengi wameona kama limekaa kibaguzi. Mimi ninashauri badala ya kuleta matangazo haya yaliyokaa kisiasa ni...
  18. Zanzibar-ASP

    Je, kiuhalisia Tanzania ni taifa la kibaguzi dhidi ya wageni wanaokuja nchini kufanya kazi na biashara?

    Unaweza usielewe vyema hii dhana ikiwa utaitazama kwa mlengo wa kishabiki, lakini ukielewa mantiki unaweza kukubaliana na hili. Tembea dunia nzima (kuanzia Kenya, Uganda, DRC, Rwanda, Namibia, South Afrika, Misri, USA, UK, Germany, Canada, China, Qatar, France nk), utakutana na utiriri wa...
  19. Griss

    GE2025 Kwanini Samia hataki kufanya kazi na watu wenye IQ kubwa?

    Joseph Gwajima Luhanga Mpina Hersi Said Arafat Haji Byabato Mpango Majaliwa Polepole Lissu Heche Butiku Warioba Na wengine kibao ambao wanampa challenge hataki kufanya nao kazi why? Huyu mama anawataka wakina Babu Tale na Msukuma! Sasa namwambia atadondoka nao mwaka huu Kama hakuna reform...
  20. Abdul Said Naumanga

    Jafo awazuia Raia wa kigeni kufanya baadhi ya Biashara Nchini

    Kumekua na malalamiko na mijadala juu ya uwepo wa utitiri wa raia wa kigeni, hususan Wachina, katika baadhi ya biashara, especially zile ndogondogo hadi zile za kati hasa katika maeneo ya Dar Es Salaam, na hata masokoni ya mikoani. Wengi wamehoji namna wageni hawa wanavyoingia sokoni kwa nguvu...
Back
Top Bottom