kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    GE2025 ANC waisagia CCM, wasema walifika Tanzania lakini hawakuweza kufanya uangalizi wa Uchaguzi

    Soma barua yao:
  2. M

    Sisi vijana wa Nyerere tunafahamu maana ya Kufanya regime change kila baada ya miaka 10

    Iwe ndani ya CCM, au kwa Tanzania yote miaka 10 lazima Oil chafu imwage, hata kwa mbinu za Kivita. Wana CCM anzeni sasa kutoka, kukiokoa chama chenu kutoka mikomononi mwa wana mtandao ¡Hasta la victoria siempre!
  3. ELI COHEN

    Kuna watu humu wali wadhihaki vijana kwamba hawana la kufanya on 29th. Mko wapi sasa?

    😁😁 mna hali gani huko?
  4. Cute Wife

    PostGE2025 Kituo kinachofuata ni TCRA - mtandao ni haki yetu, hawapaswi kutuzimia na kutuacha gizani

    Wakuu, Kinachofanyika sasa hivi ni kuhakikisha mawasiliano yanakata, wanafanya kila njia ili tusipate taarifa, tuwe disorganized kukataa udhalimu wa serikali hii. Tunatakiwa kufika TCRA ili tuendelee kupata mtandao, waambiwe kabisa tunachotaka ni mtandao na si kitu kingine, hawawezi...
  5. DuaZaMama

    Mdau ukipewa nafasi ya kuwa rais wa JMT kwa masaa 24 ungetamani kufanya nini?

    Watangazaji waandamazi wa Clouds Redio wakijibu swali linalouliza Je, ukipata nafasi ya kuwa rais kwa saa 24 ungetamani kufanya nini au ungebadilisha kitu gani? binafsi nimependa REFORMS na katiba mpya.
  6. S

    Enyi JWTZ Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo

    Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo. Fungeni mikanda ya maamuzi. Kwa mkijua, nchi inauzwa. Ngorongoro imeuzwa. Bandandari imeuzwa. Pori la Loliondo limeuzwa. Madini yameuzwa. Ni kipi kimebaki kwa ajili ya wanetu? Ndugu zetu wanatekwa, wanauawa, na wanafungwa bila sababu. Yote...
  7. Scared

    Siwezi kuandamana kufanya kazi iliyotakiwa kufanywa na JWTZ

    Jana imetoka taarifa ikidai Kuna wananjeshi 500 wa Uganda wameingia kupitia ziwa Victoria kinyemela Ili kuja kuzuia waandamanaji na hata kuwaua kabisa sababu nchi hii mwananchi Hana thamani Sasa najiuliza JWTZ huwa wanalinda mipaka gani mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanaingia, halafu eti...
  8. Keynez

    Hivi haiwezekani kufanya msako wa nyumba kwa nyumba, chaka kwa chaka kuwatafuta waliopotea?

    Embu tusaidiane kidogo katika hili wazo. Kutokana na idadi ya wanaopotea kuongezeka, na wenye mamlaka kuonekana kama suala hili lipo nje ya uwezo wao kulitatua na kulikabili, kwa nini jamii isiamue yenyewe kuchukua uamuzi wa kuanza kuwatafuta wote waliopotea? Zoezi hili liende nchi nzima...
  9. secretarybird

    Hawa Flashscore kudadeki zao, kama wameshindwa kufanya kazi zao waache.

    Angalia hawa nyumbu Flashscore, eti wanaonesha Simba amefungwa wakati gemu bado ni zero-zero. Moderators wao sijui amekunywa chang'aa, au anavamiwa nyuma kwa pupa.
  10. ndege JOHN

    Chagua nchi Moja ya kufanya kazi kati ya Misri, Israel,South Africa, Brazil au Indonesia

    Assume umepewa nafasi ya kazi Moja na mshahara mmoja ila katika nchi hizi tano(5) umeambiwa uchague Nchi Moja utachagua ipi kati ya Misri,SA, Indonesia,au Brazil, au Israel utachagua ipi?
  11. youngkato

    Hatua za Kupata Leseni na kufanya Biashara ya Kuuza Nafaka (Mazao)

    Ngazi za Biashara ya Mazao Ngazi ya Kaya Hapa ndipo wakulima wadogowadogo huzalisha kwa ajili ya familia na ziada kidogo kuuza sokoni. Ngazi ya Wakulima Wakubwa na Makampuni Wao hulima kwa wingi kwa ajili ya biashara, kuuza ndani na hata nje ya nchi. Ngazi ya Usindikaji na Uuzaji Baadhi...
  12. Genius Man

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu

    Marekani kuzuia watanzania kuingia nchini humo mpaka dhamana litakuwa limesababishwa na wale CCM walienda kufanya uhalifu. Kuna vijana wapumbavu wapumbavu walienda kutekeleza uhalifu juzi hapa dhidi ya watanzania waishio huko wasio muunga mkono mama Abdul. Kutokana na misimamo mikali ya...
  13. Lord Denning

    Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

    Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome. Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja. Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili...
  14. Common Folk

    Swali kwa JWTZ: Vyombo vya usalama kufanya gwaride mitaani kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi siyo siasa?

    Mbona kozi zingine za majeshi huwa hamfanyii mitaani, huwa mnaenda kwenye maeneo maalumu yaliyojificha mnafanya kozi zenu huko kimya kimya bila kuleta bughudha kwa raia wa kawaida? Kwa nini kipindi hiki cha uchaguzi mkuu mnafanya magwaride mtaani, tena mmeungana majeshi yote, na hiyo yote baada...
  15. mwanamwana

    GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  16. B

    Gavana aipongeza CRDB Bank kwa kuthubutu kufanya mageuzi chanya ya kimataifa ktk huduma

    02 October 2025 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma...
  17. Kishoka1

    Napitia wakati mgumu mno kufanya maamuzi ya ujenzi

    Ndugu wana Jf mimi ni kijana hizi nyumba za kupqnga zimenichosha, kutwa kelele za kugombezwa na mama mwenye nyumba mbele ya wanangu wawili ni fedheha. Nimejipigapiga nimeuza maeneo ya urithi ili angalau nijistili na familia yangu Sasa changamoto mimi ni mgeni wa masuala ya ujenzi..nimeleta uzi...
  18. baz kaiza

    Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule Mkandamizaji atakua amepata Nguvu kwa 100% kufanya atakalo bila wasi wasi

    Maandamano yasipofanikiwa basi ujue yule adui uliekua unamtisha na maandamano Utakua umempa nguvu kwa 100% ya kuwafanya atakavyo maana atajua nyie ni debe tupu.Na atazizoea kelele zenu mpaka 2030 atafanya atakavyo yeye.
  19. Fbn

    Ni Hatari kufanya Utani kwenye Mambo ya Mungu "Toka lini shetani Kufukuza jini?"

    Kuna mda tunapoelekea sijui kama tuna jenga nchi embu pata huyu ndio kawa waziri
  20. L

    Kwenye kufanya mapenzi, wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume

    Kwenye kufanya mapenzi mara nyingi wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume. Wakisuguliwa ni utamu wa hali ya juu, wakikojolewa yaani hadi mashetani yatapanda, wakikojoa wenyewe yaani hadi neno ambalo hukuwahi kulisikia utalisikia.
Back
Top Bottom