Uchumi na Biashara
kama tutatengeneza mifumo bora dhidi ya wafanya biashara wadogo (Machinga na mama ntilie) tunaweza kukuza uchumi wetu pamoja na biashara. Mfano Serikali inapo anzisha miji inapo tenga maeneo kwa ajili ya masoko, shule ,hospitali, vituo vya mabasi, nyumba za ibada nakazalika...