kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu wa kufanya kazi na wahindi jamani

    Jamani nataka nitoke kwa mswahili nikafanye kazi na mhindi. Naombeni ushauri, tahadhari na maonyo niweze kufanya hiyo kazi. Muongee uhalisia ili nisije nikatupa mbachao. Uzi umeisha
  3. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yatuma maafisa wake Poland na Hungary kunusuru Watanzania waliokwama Ukraine

    Waziri Mulamula amesema Serikali imepeleka maofisa wake katika nchi za Hungury na Poland ili kuratibu safari za wanafunzi waliokwisha vuka mpaka kutokea Ukraine. Kadhalika kuna wanafunzi ambao wameamua kwenda kuishi kwa ndugu na jamaa zao huko Denmark, Slovakia na Sweden. Wanafunzi 11 wako...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi kuwapokea Wanafunzi Watanzania waliopo Ukraine, wapewa maelekezo maalum ili warudishwe Tanzania

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Urusi umetoa taarifa juu ya njia ambazo wanafunzi Watanzania walipo katika Chuo cha Taifa cha Sumy Nchini Ukraine wanazotakiwa kutumia pamoja na namba za simu kwa ajili ya mawasiliano wakati watakapokuwa wanaelekea sehemu salama kupokelewa. Wanafunzi wanatakiwa...
  5. GokuOne

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupaka marashi (perfume): Siri 8 za kufanya harufu ya marashi idumu kwa muda mrefu

    Moja kwa mbili kwenye mada: 1. USIPULIZE KWENYE NGOZI NA KUISUGUA: Kwa nini? *Kwa kusugua kwenye ngozi baada ya kupaka kutayafanya marashi yako yapotee (evaporate) kwa haraka zaidi kabla hayajatulia kwenye ngozi na kujichanganya na mafuta asilia ya ngozi (skin oils). *Kuyatawanya kwa...
  6. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mtibwa Sugar wamechanganyiwa timu kufanya vibaya

    Nimemsikia Thobias Kifaru msemaji wa mtibwa sugar akidai deni lao kwa Yanga kuhusu abdalah Msheri kama mtu mwenye sonona na aliyekata tamaa. Wakati wanauziana mchezaji hawakuuzina kwenye vyombo vya habari lakini wakati wa kudai wanakwenda kwenye vyombo vya habari na kuviacha vyombo rasmi vya...
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Serikali kufanya maadhimisho ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani

    Taarifa iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, ndugu Gerson Msigwa inasema kuwa serikali kuadhimisha mwaka mmoja wa serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan toka alivyoingia madarakani 19/03/2021 kufuatia kifo cha Rais John Magufuli. Katika maadhimisho hayo kutakuwa na shughuli mbalimbali...
  8. S

    JamiiForums Tanzania China yapinga vikwazo vya US na EU dhidi ya Russia, yasema itaendelea kufanya biashara na Russia

    Wizara ya Mambo ya nje ya China imesema China yapinga vikwazo vilivyowekwa vya kujiamulia na Marekani na Jumuia ya nchi za Ulaya dhidi ya Russia. Msemaji wa Wizara hiyo amesema kuwa vikwazo hivyo havina msingi wowote ktk sheria za kimataifa. ======...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

    Pana swala gumu kidogo, Picha ilikuwa ya 1973 lakini google wameandika Putin alimaliza chuo 1975, huenda ni maisha ya kijasusi labda chuoni ilikuwa ni zuga tu huku anaendelea na majukumu mengine. Anyway, nanyi mnaweza kutoa maoni yenu.
  10. econonist

    JamiiForums Tanzania Je, baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lina uwezo wa kufanya maamuzi dhidi ya Russia?

    Ni vigumu Umoja wa Mataifa kuichukulia hatua Urusi. Changamoto za Umoja wa Mataifa kupitia baraza kuu la usalama kuichukulia hatua Urusi ni mbili. Kwanza, tatizo linakuja pale ambapo Urusi ni mmoja wa wanachama wakudumu wa baraza la usalama akiwa pamoja na China, UK, France na USA. Hivyo Ni...
  11. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Dc Lushoto kufanya msako nyumba kwa nyumba kuwasaka wanaotorosha watoto mashuleni

    Serikali wilayani Lushoto imeanzisha oparesheni kabambe ya nyumba kwa nyumba inayolenga kuwasaka baadhi ya watu wanaoshiriki vitendo vya kuwatorosha watoto hususani wanafunzi ili kwenda kufanya kazi za ndani nchini Kenya. Baadhi ya watoto hao ni wale walio katika shule za msingi na sekondari...
  12. The bump

    JamiiForums Tanzania Msaidizi wa Kufua/ kupika na Kufanya usafi Kwangu

    Mimi ni kijananinaeishi peke yangu, Chumba ki 1 kisicho na makorokoro mengi ndani,ni Mfanyabiashara au mjasiriamali ninaetoka nyumbani asubuhi sana na kurudi usiku sana. Kutokana na ratiba yangu kuwa ngumu nimejikuta sipiki nyumbani maana muda nakosa, kufua nakosa muda yani muda ninaopata...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaunti ya Nairobi yaandaa Muswada wa kufanya michezo ya kamari isichezwe nje ya hoteli za nyota tano na casino

    Kenya inaandaa muswada wa Sheria wa kufanya michezo ya kubeti na kamari ziwe zinachezwa kwenye hoteli zenye hadhi ya nyota tano na casino tu. Muda wa kucheza michezo hiyo ikiwa nis aa mbili usiku hadi saa 12 alfajiri Muswada umependekeza Kampuni za Mawasiliano kuondoa USSD codes ambazo...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Putin alimheshimu sana Trump, kwa sasa Biden ni kama Mdoli kama alivyokuwa Obama. Baada ya Urusi tutegemee naye China kutesti mitambo

    Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua. Kwa sasa Marekani inaongozwa na raisi mithiri ya mdori ambae media inatumia nguvu kubwa sana...
  15. 89N

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua namna ya kuhamia kufundisha vyuo vikuu, kutoka kuwa mwalimu wa sekondari

    Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari (halmashauri). Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
  16. Stroke

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema anarejesha mahusiano na nchi za Ulaya. Je, kukopa ndio njia bora ya kufanya hivyo?

    Rais Samia wakati akirejea toka France na Belgium wakati akitoa salamu zake na asante kwa mapokezi pale uwanja wa Mwalimu Nyerere alisema kwamba wakati wa awamu ya tano mahusiano yetu na nchi za Ulaya yalilega sana ila kwa sasa amejitahidi kuyarejesha. Observation yangu ndogo ya matendo...
  17. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Tusiwe tunawalaumu au kuwasifu viongozi kwa kila kitu, vinginevyo tunawachanganya hivyo kufanya lolote

    Ni muhimu kujitahidi kupunguza lawama, kulalamika na kunung'unikia kila kitu kwani hiyo huwachanganya viongozi na mwisho kuamua kufanya chochote ili iwe vyovyote vile. Yaani akisimama malalamiko, akikakaaa analaumiwa, akichuchumaa manung'uniko, akitembea lawama! Dah! Shida hii husababisa hata...
  18. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Connection za Kibiashara

    Habari za wakati huu; Ndugu zangu hapa jukwaani nimekuwa nikiona watu wengi wakihangaika juu ya kukosa wateja wa bidhaa au huduma zao na wengine wakilalamika juu ya kukosa connection. Connection au mtandao nini?Connection au mtandao ni orodha ya watu ambao wana uwezo wa "kukuwezesha".Iko hivi...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Lema: DW wametumiwa na CCM kufanya propaganda

    "...DW wametumika kufanya propaganda kwa kuchelewesha kwa makusudi kurusha hewani kipindi cha mahojiano ya mwandishi wao na Rais Samia na ajabu baada ya kikao cha Tundu na Rais Samia ambacho kilikuwa cha siri na eti wao pia wakaachia ile video clip." "...alianza Kikeke kutumika na sasa DW nao...
  20. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Faida na hasara za kufanya biashara kwa kutumia Cheki(Check,Cheque)

    Wajasiriamali wengi wadogo hufanya biashara kwa kutumia CASH.Akienda kununua mzigo kariakoo anaenda na cash,akaenda kulipa wafanyakazi anaenda na cash.Kila kitu wanatumia Cash.Swali la kujiuliza ni Je ku na faida gani mtu kutumia Check badala ya Cash? Nianze kwa kueleza kidgo check ni...
Back
Top Bottom