Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,180
85,339
Tunawakaribisha kwenye Press Conference Leo kama tangazo linavyoonyesha sisi Wamachinga tuliobomolewa vibanda vyetu, tunaomba mtuafuatilie tutakua online.

Pia tutampongeza Mheshimiwa Raisi kwa speed yake ya kutuwekea mazingira mazuri ya biashara.

Jiji limeanza kupendeza

FCFew7mUcAQ0_PT.jpeg


PIA, SOMA:
- Mabadiliko: Viongozi wa wamachinga kufanya Press Conference Ofisi za Wamachinga Kariakoo badala ya Serena Hotel
 
Mkuu kipenzi chetu JPM amepumzika 🙏

Ametuachia mama shupavu ,mzalendo na msikivu kama lilivyo jina lake.

Mkuu hii ni AWAMU ya 6....kila zama na kitabu chake.

Siempre SSH
NchiKwanza
Jibu hoja, kwanini mnachezea maisha ya Wamachinga ili kupata credibility ya kisiasa? Mnajua hawa watu wana familia? Kwanini mliwaruhusu?

Achana na habari za awamu, Kubali CCM mlikosea sana na mnatakiwa kuwaomba radhi kabla ya kuwafanyia huu udhalimu. We said it before mkatuona sio wazelendo
 
Mh.Mkuu wa mkoa ndg.Amos Makala kwa kuwathamini ndugu zetu Wamachinga amewaongezea siku 12....siku 12....siku 12 kujipanga vyema....

Kongole kwake mh.Makalla👍

#Siempre Serikali Sikivu Ya Awamu ya 6
IMG-20210909-WA0094.jpg
 
Wengi wa wamachinga ni wazalendo na wanaotambua kuwa serikali yao haina nia mbaya katika maelekezo waliyoyatoa.....

Mwanzo ni mgumu ila faida tele itakuja kuonekana huko mbele 👍

Siempre JMT
Nchi Kwanza
 
Wengi wa wamachinga ni wazalendo na wanaotambua kuwa serikali yao haina nia mbaya katika maelekezo waliyoyatoa.....

Mwanzo ni mgumu ila faida tele itakuja kuonekana huko mbele 👍

Siempre JMT
Nchi Kwanza
Nimekosa cha kukujibu!
 
Mkuu kipenzi chetu JPM amepumzika 🙏

Ametuachia mama shupavu ,mzalendo na msikivu kama lilivyo jina lake.....

Mkuu hii ni AWAMU ya 6....kila zama na kitabu chake.....

Siempre SSH
NchiKwanza
Yaani tangu awamu ya tatu makamanda uchwara bado tu wameganda na kamanda wa anga. Hawajui jamaa keshakuwa gaidi.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom