MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA KUFANYA ZIARA KWENYE MAONYESHO YA SABASABA LEO- ASUBUHI HII.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka Leo Jumatano Julai 06, 2022 kuanzia Majira ya Saa 4 asubuhi hii atatembelea maonyesho ya Kibiashara ya Sabasaba Jijini Dar es...
Kumuuliza mpenzi wako kuhusu historia yake ya ngono inaweza kuwa kama kutazama filamu ya kutisha, unataka kujua kinachoendelea lakini pia hutaki kujua.
Wataalamu wa mahusiano wanaeleza kuwa kufanya hivi kunaweza kuwa na faida lakini pia hasara kwa upande mwingine.
Hizi ni faida na hasara za...
Askari wa Kituo cha Polisi Misigiri katika Wilaya ya Iramba Mkoani Singida wanadaiwa kukataa kufanya uchunguzi wa tukio la Stella Jingu (38) aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha miaka miwili iliyopita wakitaka kwanza wapewe fedha na ndugu wa mwanamke huyo.
Inadaiwa askari hao (majina...
Style ambayo tuliumbiwa kufanya mapenzi ni missionary position tu. a.k.a kifo cha mende. Hii ndo ukiangalia maumbile yetu ndo yalitengenezwa kwa ajili ya style hiyo.
We angalia tu....imagine mwenyewe. Na wanawake wengi wanafurahia hii kuliko nyingine yoyote. Uliza wakuambie.
Hizo za doggie...
Ilikuwa ni jumamosi iliopota tukiwa tunajianda watu takribani 200 tukiwa tunajianda kuingia kwenye usaili wa ajira wakati tukiwa katika ukaguzi wa kuingia katika chumba cha mtihani tufanye written paper
Ghafla tulijikuta watu takribani 50 tulizuuliwa kuingia kwenye pepa ya written Kwa makosa...
Wakubwa m ni mwanafunzi wa chuo mwaka kwanza.NAWAOMBENI mnishauri nipigi field kipi ambacho kinasoko la ajira au naweza jiajiri binafsi
1. Software developer
2. Database administator
3.Network engineering
4.security analyst
5. Programing
Yeyote yule anaweza nisaidia ushauri
Kawaida Jukwaa hilo la mitandao ya kijamii huwa na kikomo cha machapisho hadi herufi 280 na kusema hatua hiyo ni kuboresha huduma kwa wateja wao.
Majaribio hayo yanatarajiwa kuchukua muda wa miezi miwili na kuhusisha kikundi kidogo cha waandishi nchini Canada, Ghana, Uingereza na Marekani...
Wenzetu Marekani huwa wananchi wanatembelea Ikuluya White House kama sehemu ya utalii wa ndani.
Hupiga picha, huonyeshwa mambo mbalimbali japo yale classified huwa yanabaki kuwa siri kama inavyotakikana.
Kwanini sisi hatuna kitu kama hiki?
Kongole Mh.Samia Kwa Uwekezaji mkubwa katika Elimu Yetu
Ila Usiruhusu Wizara Ya Elimu Kufanya Hili
Kassim Mpingi Rufiji- Pwani
Ni ukweli usiofichika Kwamba Mh. Rais Samia Amefanya Uwekezaji Mkubwa Kwenye Elimu Yetu Kuanzie Ile Ya Awali Mpaka Elimu Ya Juu.
Wakati Mwalimu Nyerere Anaamua...
Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la ujenzi wa shule ya sekondari kila kata limekuwa na msaada mkubwa kwenye jamii tofauti na huko nyuma...
NAANDIKA KWA NIABA YA DADA YANGU MMOJA MUHANGA ANAYEPITIA HILI,NIMEONA NISHEE ILI KUPATA USHAURI WA PAMOJA JINSI YA KUMSAIDIA.
Tulikutana Facebook na ni Mwaka wa nne sasa tangu tufahamiane,alikua akisoma chuo Songea ila kwao ni Dar. Tukaanza urafiki na kuwa wapenzi, akamaliza chuo wakati huo...
Leo ni siku ninayokumbuka ndugu zetu na majirani zetu Wa Rwanda na Burundi walipopata jinamizi la mauaji ya kimbali, na wale waliobahatika kukimbilia Tanzania kwa idadi kubwa.
Tuliwapokea na wengine tukawapa hifadhi kabla ya wote kuhamishiwa makambini, wale tuliowapokea walimuua Mama yangu...
KUFANYA BIASHARA SIO JAMBO RAHISI, MTAJI PEKEE SIO LOLOTE
Anaandika, Robert Heriel
Watu wengi wanapenda kufanya biashara, kuna wengine huwalaumu Ndugu zao au Wazazi wao au waume zao Kwa kushindwa kuwapa mitaji, Jambo Moja la uhakika ni kuwa, hakuna ambaye atakupa mtaji ilhali akijua utapoteza...
Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa.
Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii wakaogopa Kuja Tanzania.Serikalini kuweni makini sana nawahusia.
Tumetumia gharama kufanya Filamu...
Habari Zenu Wakuu.
Mimi ni Kijana wa Kiume Mwenye uzoefu wa miaka mitano(5) kwenye kupika na Ninaeamini Kwenye kufanya kazi kwa bidii na Pia kutekeleza Jukumu unalopewa kwa wakati Sahihi.
Hivyo Kama Unaitaji Mpishi wa kupika kwenye Shughuli yako Yoyote mfano HARUSI, KITCHEN PARTY...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Kwenye Siasa kuna vitu vitatu ambavyo wnasiasa huwa wanakuwa navyo kichwani na vinaenda kwa pamoja kama ifuatavyo :-
1. Lazima kucheza michezo mchafu ,hapa ndio kuna matukio kama ya kina Mbowe -kesi, Lissu, Sabaya yanatengenezwa kwa Faida ya mtu mwingine (si ajabu kusikia Lissu alipigwa na...