Nilimkosakosa kwa picha ila nikaipata hapa.
Basi bana wakati mheshimiwa rais anamchapa mwenzake kuhusu cheo ambacho hata yeye alipewa na wananchi asilimia 97% basi bwana...
Waziri mkuu kutaka kuonyesha kaipenda engo hiyo akapeleka mikono kupiga makofi.
Gafla akajishtukia anapiga mwenyewe...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho.
Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha...
CHADEMA kufanya Uchambuzi wa Ripoti ya Jaji Chande Siku ya Jumanne Mei 5, 2026, Taarifa hiyo imetolewa leo Mei 5, 2026 na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, alipokuwa akifanya Mkutano na Waandishi wa habari kuhusu maazimio ya Kamati Kuu uliofanyika Aprili 28...
MODE
Naomba tuanzishe jukwaa la Spiritual,tumwage humu mambo ya nguvu za kiroho, spiritual powers,ili wana jf wawe na uwezo wa kutumia nguvu zao za kiroho,kunyoosha mambo yao,ikiwemo kuwa ma milionea,mabilionea, ma trillionea na ma multi milionea, multi bilioneo na multi trillionea kwa kutumia...
Serikali ya China ilijitahidi kuwezesha viwanda vidogo vidogo, baadae wakaanza kupata viwanda vya kati na vikubwa
Serikali za Africa hazina hata mpango
Sasahivi China imefanikiwa, wameamua kutufuata nyumbani kwetu.
Wachina wanakuja kujenga viwanda vyao hukuhuku Tanzania
Africans tutabaki kuwa...
Siasa ni kama biashara ,ni ngumu sana kama haujajipanga vema kukabiliana na mazingira ya ushindani na mshindani wako ukitambua ni Chama chenye nguvu.
Nasema haya kwa sababu siku za karibuni siioni CHADEMA Ile ya kina Dkt. Slaa ambayo ilikuwa msingi wa kujenga Chama imara, siioni Ile CHADEMA...
Tafuteni wataalamu ndani na nje wafanye SWOAT ANALYSIS ya ripoti ya mchongo ya Chande et al.
Msiache ikapita bila kuonesha STRENGTHS( kama zipo anyway),BUT za kuwasaidia ku impeach serikali zipo; WEAKNESS ( hapa ndipo pa kuichimbia), OPPORTUNITY seize this opportunity to expose the brutality of...
Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale:
Ingia ukumbini
Cheza kidogo
Kata keki
Tambulisha ndugu
Toa zawadi
Nenda kwenye msosi
Muziki
Tuwaage maharusi wetu wakapumzike (wakaichape)
Kweli miezi 3-4 watu wazima wanakaa vikao kwa ajili ya ujinga kama...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa
kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
Bei ya kupangisha nyumba iko juu kama dola 1200 .Ukiwa huko bila kazi ya maana mtaishi watu wawili au watatu ili mlipe kodi.Waafrika wengi wanalala nje.ukitaka kwenda huko hakikisha uko na kazi nzuri
Wadau hivi kipimo Cha CT-Scan kama nimekosea jina mtanisamehe kinaweza kumulika mwili mzima na kutoa matokeo sahihi ya magonjwa yote yanayonisumbua?vipi side effect ya kupima na kipomo hicho kama zipo nyingi naombeni mniambie.
Hakika kwa nilikofikia nahitaji kufanya checkup ya mwili mzima labda...
Uume Imara (Afya Ya Uume):
Ili kufanya uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa), unahitaji kuzingatia afya ya mwili, akili, na mtindo wa maisha.
Zifuatazo ni baadhi ya njia muhimu na salama kabisa zinazosaidia uume uwe imara (kuwa na nguvu wakati wa tendo la ndoa);
1) Lishe Bora...
Bologonja ni mpaka au geti linalounganisha hifadhi ya taifa ya Serengeti na Maasai Mara Kenya. Geti hili linawezesha mgeni kutoka Kenya Maasai Mara kuingia Serengeti kufanya game drive na kurudi Kenya kupitia mpaka huu.
Mwalimu Nyerere kwa kutumia akili kubwa na busara ya kizalendo kwa maslahi...
Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake...
Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana
Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani
Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja
chafya ngumu
min -me
Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili.
Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa
Now, huwezi kulaumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.