kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kufanya mazoezi barabarani hapa Tanzania ni a suicide move.

    Tukumbushane wakuu, kufanya mazoezi ya jogging barabarani hapa Tanzania ni kujitoa mhanga na kusema uko tayari kufa. Watu kila siku wanakufa kwa kugongwa na magari kwa kufanya mazoezi barabarani lakini watu hawasikii. Mwanza watu 6 wamefariki kwa kugongwa na gari barabarani wakifanya mazoezi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

    Habari wana Jf nipo na ID nyingine niliifungua karibu siku 26 zilizopita. Twende kwenye mada. Mimi nina umri wa miaka 35 kwa sasa nina watoto 3. Nimeoa na nina mke nimezaanae watoto 2. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na dada mmoja chuoni. Mama yake sikumuoa nilioa mwanamke mwingine ila mtoto...
  3. JamiiForums Tanzania Simba kufanya sajili tatu saa 10:30, 1:00 na saa 2:00

    Unadhani katika hao watatu ni wachezaji gani ambao unawapa karata ya kutia saini? Najua katika hizo sajili lazima lihusishe eneo la goal keeping. Kwangu nampa asilimia kubwa Luis Miquisson kutua. Na huyu lazima awe wa mwisho kutambulishwa. ************** Update 16:30 Simba imekamikisha...
  4. JamiiForums Tanzania Ungeweza kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungetamani kufanya kazi gani?

    Wakuu kwema? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua kazi yoyote hapa duniani ungependa kufanya kazi gani? Haijalishi ina hela au lah, lakini kazi hiyo inakupa amani ya moyo na furaha na unaona ungekuwa unafanya hiyo yaani utakuwa na furaha maisha yako yote, ungependa kufanya nini? Mi napenda sana...
  5. L

    JamiiForums Tanzania “Kuondoa hatari” katika mchakato wa maendeleo ndilo jambo ambalo dunia inapaswa kufanya

    Mkutano wa 14 wa Baraza la Uchumi la Majira ya Joto uliofanyika hivi karibuni mjini Tianjin, China, umerejea katika mtindo wa nje ya mtandao baada ya kusitishwa kwa miaka mitatu kutokana na janga la COVID-19, na hivyo kuzusha matarajio mazuri kutoka pande mbalimbali. Tofauti na Mkutano wa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Huawei yatumia teknolojia yake kusaidia nchi za Afrika katika kuhifadhi matumbawe na wanyamapori

    Uhifadhi wa mazingira ya baharini na nchi kavu ni jukumu ambalo binadamu wanapaswa kulitia maanani sana. Tunafahamu kuwa bila kuwa na mazingira mazuri wanyama na binadamu wote watakuwa hatarini. Katika kutimiza wito huo, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, Huawei, imekuwa katika harakati na...
  7. JamiiForums Tanzania Kununua shati Kariakoo kidogo nigeuzwe mwizi

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!. Wiki iliyoisha nilikuwa na mtoko wa kuelekea mahali fulani,nikasema siwezi kwenda huko bila kutupia mitupio ya Ki-Jentromeni,nikaona isiwe tabu nielekee Kariakoo ambako ningepata mavazi mazuri kwa bei nzuri iliyoendana na bajeti yangu. Sasa nilipofika...
  8. JamiiForums Tanzania Changamoto za kufanya kazi na Mtu anayekaribia kustaafu kwa heshima

    Nawasalimu, Twende kwenye mada. Kuna mzee wangu tumefanya kazi poa sana Three years back. Amebakisha 1 year, 3 Months kustaafu rasmi utumishi. Imekuwa changamoto sana kufanya nae kazi kipindi hiki, anaonekana mtu mwenye mawazo sana, na kugeuka kuwa mkosoaji wa kila kitu tunachofanya...
  9. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  10. JamiiForums Tanzania Ulivyokuwa mdogo ulikuwa na ndoto ya kuja kufanya kazi gani?

    Leo nimekumbuka kipindi nipo mdogo nilikua na ndoto ya kuja kua Miss Tanzania. Akili yangu yote ilikua inajua Miss Tanzania ni kazi kama daktari, mwanasheria, mwalimu au kazi zingine. Nilivyofika form 1 ndo nikajua kumbe sio kama nilivyodhani, hapo nikapata mawazo ya kua mwanauchumi mpaka sasa...
  11. JamiiForums Tanzania Nimehamia kwangu

    Nawasalimu.... - Nimeanza ujenzi, kaa hapa tujenge pamoja Samahani Sana huo Uzi hapo juu Kwa muda Sasa sijarudi na wengi najua mlikua na hamu ya kujua nimefika wapi. Leo sitaweka details za pesa ilotumika ila Kwa ufupi Sana mwezi wa 10/2022 nilihamia kwangu nikiwa nimekamilisha Kila kitu...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naona Yanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya YANGA DAY 22 /7 /2023

    Naona Tanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya TANGA DAY 22 /7 /2023 Tanga mnatumika Dr slaa na viongozi wengine msibadili tarehe naona chama cha CCM kimeamua kiwatumie yanga kuzima.
  13. JamiiForums Tanzania Tuisheni ya Kitabibu.Madaktari wa Serikali Tanzania Wameruhisiwa kufanya kazi binafsi ndani ya Hospitali za Serikali?

    Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu; Nakuelewa sana as person and as a woman na unajitahidi sana kufanya kazi ila kwa hili ambalo wanasema Umeruhusu Sasa Madaktari wafanye "Tuition ya Kitabibu" Kwa kweli hiki ni Kituko PRO MAX. Hata kama lengo ni kututoa kwenye Mjada wa DP world Basii SISI tunahisi...
  14. JamiiForums Tanzania Mwarabu mwingine apewa mkataba wa kufanya utafiti, kazi ambayo ingefanywa na wataalamu wetu

    Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na kampuni ya TAQA ya nchini Misri wamefikia makubaliano ya kushirikiana katika kufanya utafiti na kuangalia masoko ya gesi asilia katika Mkoa wa Dar es Salaam. Akizungumza katika hafla hiyo Mkurugenzi wa Idara ya Biashara ya Mafuta na Gesi kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania Bi. Khadija MKE wa Mtume Muhammad ndio Sampuli ya Mke Bora ambaye unaweza kufanya naye Maisha

    Bi. KHADIJA MKE WA MTUME MUHAMMAD NDIO SAMPULI YA MKE BORA AMBAYE UNAWEZA KUFANYA NAYE MAISHA. Anaandika, Robert Heriel Kuhani. Ukisikia msemo usemao Nyuma ya kila mwanaume mwenye Mafanikio kuna Mwanamke, elewa kuwa Mwanamke anayetajwa hapo sio Mwanamke Kupe Nyonyaji, mbinafsi na goigoi au...
  16. JamiiForums Tanzania Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

    WAKILI BONIFACE MWABUKUSI;KAMA HAMTATUSIKILIZA,TUTAZUNGUMZA LUGHA MTAKAYOTUSIKILIZA,HATUTARUHUSU MZANZIBARI KUFANYA MAMBO YA HOVYO KWENYE MALI ZA TANGANYIKA. "Wazee wangu wa Mbeya nipo hapa kuwahakikishia Tanganyika hailiwi tena,tutafuatilia hatua kwa hatua kwenye mikataba ya Mali zote za...
  17. JamiiForums Tanzania Wazee wa Kinyakyusa kufanya kikao cha dharura

    Inadaiwa kuwa Wazee wa kinyakyusa mkoani Mbeya watakutana katika kikao cha dharura kule Busokelo baada ya kusikia kijana wao anatishwa kuuawa. Wakili Boniface Mwabukusi a.k.a Mayweather ni miongoni mwa watu wanaotishwa maisha kuhusu sakata la bandari. Wazee wanasema wao watadili na mwenye mbwa...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika zinazoongoza kufanya mapenzi

    Top 10 sexually active African countries 1)- Burkina Faso🇧🇫 2)- Cameroon 🇨🇲 3)- Uganda 🇺🇬 4)- Gabon 🇬🇦 5)- Zambia 🇿🇲 6)- Senegal 🇸🇳 7)-Nigeria 🇳🇬 8)-Sao Tome Principe 🇸🇹 9)-Republic of Congo 🇨🇬 10)-Tanzania 🇹🇿 Source: Top 10 sexually active African countries
  19. JamiiForums Tanzania Hotel ipi dar nzuri iliyoko mbezi beach kwa kufanya tafrija ndogo

    Ni hotel ipi dar nzuri ambayo unaweza fanya tafrija ya watu kama 30 hivi ambayo ipo maeneo ya mbezi beach
  20. JamiiForums Tanzania Siri ya utajiri: Hizi ndio siri nne zitakazo kufanya uwe tajiri

    Siri kubwa ya mafanikio katika maisha ni: 1. Kuwa na nidhamu na pesa, 2. Kuwa na marafiki wa kukujenga, 3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii, 4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo. Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…