Kwa wanaotaka kuanza kufanya biashara na Hamjui muanzaje

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,989
Binafsi ni mfanyabiashara wa kawaida kabisa lakini sikuwahi waza hata siku 1 nitakuja kuwa mfanyabiashara

Ninachojua mimi ndoto zangu ni kuwa Pilot au Hacker (IT MZURI KABISA) ila ktk ndoto zote mbili ya Pilot

Ndio ilifia pale form four, Hii nyingine nayo iliendelea vyema kbsa hadi ilipokuja kufa na kusambaratika

Baada ya kuonja kidogo sana hela za biashara na uhuru wa maisha binafsi nikaona kwenye I.T ntakuja

lea watoto wa watu maana ile kazi haina tofauti na Wanajeshi,Nikamuachia Mungu vyeti na ajira aliyonbariki nayo

Sikuwahi kuwaza fanya biashara kabisa kabisa na ni kitu ambacho sikuwa hata nimekitamani kabisa kusema ukweli.

Lakini niseme jambo 1 kwa mtu unaetaka kuanza kufanya biashara,Kwamba ANZA ki ukweli sina neno naweza elezea kwa urefu au kusimulia kwa undani zaidi ya kusisitiza na kukwambia Tii hiyo sauti iliyo ndani yako na u ANZE.

Mafanikio ya kwanza kwa mtu yeyte anaefanya biashara hata yule muuza kahawa wa mtaji wa 5000 au muuza karanga wa mtaji wa 10,000 au mwingine yeyote unaemjua wewe,Fanikio la kwanza ni

"KUANZISHA BIASHARA"

Kuanzisha biashara ni 1 ya mafanikio ya 1 kabisa kwa mfanyabiashara yeyote yule,achana na Faida pesa,wateja,kujulikana,nk ila moja ya mafanikio makubwa sana kwenye biashara ni kuweza kuianza.

Hatu ukifa leo tayari upo ktk kundi la wafanyabiashara,mfanyabiashara ni mtu yeyote anaefanya biashara maana yake wewe kuweza kuianza tayari umeshafanikiwa kuwa ktk kundi la wafanyabiashara.

Watu wengi ambao hawajaanza biashara hupenda sana kusema wanahitaji vitu viwili wakiamini kwa kuwa navyo hivyo tayari umetoboa kibiashara (wanajidanganya sana).

Mtu anakwambia sianzi biashara kwanza natafuta MTAJI, mwingine mtaji anao anakwambia siwezi anza biashara kwasababu bado sijapata LOCATION nzuri.

"MTAJI na LOCATION ni vitu viwili muhimu sana kwa Mfanyabiashara na sio Muanza Biashara", naomba nirudie

"MTAJI na LOCATION ni vitu viwili muhimu sana kwa Mfanyabiashara na sio Muanza Biashara

MTAJI

Ni bidhaaa unazoweka katika biashara zako ili kuzizungusha upate pesa,sasa kwa mtu unaetaka kuanza biashara leo wewe ni mpya bado hujui nini wateja wanahitaji na nini hawahitaji. Ndio maana tunasema biashara ni kamari.

Kufungua duka kwa kusema unatupia milioni 10+ sijui 2+ sijui 1+ ndio kwanza umefungua leo,hiyo ni akili mbaya sana ya kupoteza. Kwanini unapoteza,kwasababu umenunua na kuanza na mzigo mkubwa wa wateja usiojua mahitaji yao.

LOCATION

Ni eneo zuri ambalo wateja "wako" huweza kukufikia kwa urahisi, nimewekea neno "wako" funga na fungua semi,Maana yake ni nini? unapotafuta location nzuri ni lazima tayari uwe na wateja na sio tu wateja ila uwe na wateja "wako"

Huku mabarabarani kila mtu ni mteja wa mtu flani,usitegemee kufungua biashara yako pale njia panda wanapovunjia nazi wachawi kila mtu anapita kitakua kigezo cha wewe kuuza sana,"unajidanganya"

Location nzuri hutafutwa baada ya kujua una wateja wengi wa aina gani na wanaotokea sehemu gani ndipo tunaposema nataka location ya aina flani.Huwezi tu kukurupuka kufungua duka la kuuza biblia pembeni ya kanisa ukiamini ndio utauza sana biblia,unajidanganya!

Nani anaendaga kanisani hana biblia,au ni nani kashamaliza ibada akumbuke kuna kununua biblia? sio kila location ni sahihi kwa biashara unayotaka ifungua. Hivyo basi swala la location

Ni kwa ajili ya wale ambao wanataka rahisisha huduma kwa wateja walionao tayari waliofanikiwa watengeneza.

Leo hii kuna mtu anafanya biashara ya ONLINE ametulia ndani kwake anapost bidha zake mtandaoni, "Huyu tayari anafanya biashara ila hajui location ya wapi afungue biashara yake.

Kila akipost kitu anapokea mteja wa Dar SEHEMU AMBAZO WATEJA WAKE WALIOPO DAR hutokea kwa wingi ni

1.Magomeni mapipa wateja 3
2.Kariakoo wateja 7
3.Manzese wateja 20
4.Tip top wateja 30
5.Urafiki wateja 16
6.Mbezi mwisho 1
7.Makumbusho 1
8.Ubungo 2

Huyu mtu unahisi akitaka fungua duka biashara yake atafute frem ya wapi yani mtaa upi? ni rahisi hata wewe kumchagulia wapi ni sahihi kwa biashara yake.

Lakini tumejua wapi ni sahihi kwa biashara yake kwasababu "anafanya biashara" ameshaanza biashara,tofauti na wewe ambae hujaianza biashara.

Ok fine assume huyu muuza vitu online ndio wewe sasa unataka kufungua biashara hiyo hyo anayofanya huyu mwenzako.

Una mtaji wako mzuri kabisa
Una hela za frem safi kabisa

Mnadanganyana na mpenzi wako/marafiki,madalali Frem kali sana imepatkana mbezi mwisho Stand pale Watu wanapita kuingia na kutoka 24hrs

umefika umeikagua kweli iko sehemu nzuri,barabarani (kama wengi mlivyokaririshana barabarani ndio kwenye biashara),nk Ukaona Fresh ngoja nilipe,kwahasira umelipa kodi 12month,Tia Mzigo 10+ ndaniiii...

Halafu kila siku wateja wako wanakuja kama nilivyoandika hapo juuu Mbezi mwisho mteja m 1,unakaa wiki,mwezi,miezi siku ukiuza sanajumapili wateja wa 3 au wa 4...

Unalalamika biashara mbaya wakati ulisema LOCATION ni nzuri,biashara mbaya vipi sasa wakati upo location nzuri?

Sasa unapata picha kuwa kumbe ili uweze kufanikiwa katika biashara wewe ambae huja anza kabisa biashara ni lazima Uanze kufanya hiyo biashara unayoiwaza na kuifikiria.

Kama huja anza hiyo biashara ondoa wazo la MTAJI na LOCATION hivyo vitu sio kwa ajili yako ni kwa ajili wa wafanyabiashara.

Watu wengi hupokea ushauri wanaopewa wafanyabiashara wakati wao hawafanyi biashara,do not apply formula wanazotumia Wafanyabiashara wakati unaanza biashara,Utapoteza.

Nina mengi ya kuandika kwenu ambao hamjakata shauri kuanza biashara,nina Mengi sana ila namalizia kwa kuwambia Anzeni biashara mawazo yanayopita kichwani na moyoni mwako ni sahihi kabisa Yatiii na kisha uanze.

Shukrani sana mkuu,nimekupata vyema.
 
Dah
Nimejifunza sanaaa 🫡
 
The more you know the more you release you know nothing

Niliwahi kufanya kama unavyosema apo juu tulikua na wateja wengi sana kutoka Kijiji fulan ambao walikua wanatembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo nikaamua kufungua bishara hiyo (cafe) jirani yao Mambo yalikua vzr first 3 months baada ya hapo zilfunguliwa biashra 2 kama yangu copy copy kwa kila kitu si kuchua round nikaangukia pua kwa uhaba wa wateja.
 
Low creativity lead's you fail
 
Naomba kuuliza, katika ile hali umesimliwa biashara flani na watu au mtu, mda huo huo ukawa na shauku ya kutaka kuifanya hiyo biashara, na kikawa ni kitu kinasumbua sana akili kwa kutamani kufanya, je hapo unapaswa ufanye maamzi ya kufanya hiyo biashara uliyosimliwa kwasababu tiari umekua na shauku ya kufanya? Au unatakiwa uwaze kingine unachoweza kuona ni sahihi kwako, samahani kwa hilo
 
Back
Top Bottom