kufanya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Narudia tena akili ya mbantu haiwezi kufanya biashara. Graphic designer kadengua kazi ya zaidi ya laki 5 then baadae anaitaka tena

    Sista angu alikuwa na project yake anatakiwa kuisubmit mahali. Hiyo project ilikuwa na picha kama mia na ushee hivi ambazo yeye aliona zinafaa kufanyiwa graphics zote. Bajeti ya sista kwa picha ni sh. Elfu 5 kwa kila picha. Mimi huyo nikaenda mpaka kwa ofisi ya brother mmoja anafanyaga...
  2. JamiiForums Tanzania Hauhitaji kuwa mkamilifu bali Unahitaji kufanya

    Watu wengi miongoni mwetu tunahitaji kuwa wa baba bora/ wa mama bora lakini hatujaamua kuwa wazazi,,wengine wanahitaji kuwa wanamuziki wazuri lakini hawajaanza kuimba bado, wengine wanahitaji kuwa wafanyabiashara wakubwa lakini hawajaanza biashara bado. Tunachohitaji ni kufanya kwanza kisha...
  3. JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani inavyoshirikiana na Israel kufanya unyama Palestina, wasiingie nchi yoyote duniani kuamrisha ujinga ujinga wao

    Silaha zinazotumika kuua Gaza tangu mwanzo mpaka mwisho karibu zote zimetengenezwa Marekani na hata kuingia Rafah white house imetetea kuwa hakuna kibaya kilichofanyika . Ubaya wa uvamivi wa Gaza na uporaji wa ardhi unaofanywa maeneo mengine ya Palestina tena kupingana na amri za mahakama na...
  4. JamiiForums Tanzania Umoja wa wanawake CCM wasikitishwa na udhalilishaji wa Makonda, watoa tamko

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Marry Chatanda ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alichokiita unyanyasaji na udhalilishaji wa watendaji wanawake kwenye maeneo yao ya kazi. Chatanda ameyasema hayo leo Jumamosi, Mei 25, 2024 jijini Dodoma...
  5. JamiiForums Tanzania WanaJF tupeane mawazo kwa mtu anayetaka kufanya biashara Kariakoo kwa mtaji wa milioni 50

    Kwema wakuu, Kuna mtu kanifata anahitaji ushauri, anataka kujilipua kwenda kariakoo kufanya biashara.... Kwanini Kariakoo? Anaamini Kariakoo ndo hub ya biashara hapa Tanzania.... Mzunguko wa kariakoo si rahisi kuupata mahali pengine popote hata kama unapata faida ndogo Amekua akifanya...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Je unaweza kufanya madiliko kwenye application ya kazi baada ya deadline

    Naomba kuuliza eti nimefanya application ya police ajira sasa Kwa bahati mbaya siku ya Leo tar 27 nimecancel application then mfumo ukaniambia ni deadline je Ina madhara yoyote?
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta watu au kampuni ya kufanya Partnership ya Social Network mfano sawa na Facebook & Twitter

    Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Rwanda hakujawai kuwa na uhuru wa hivi kama Kenya? Erick omondi amkosoa rais Ruto

    Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata akiuza hako kanchi! Lakin Kenya mambo ni yofauti. Ukipangilia nchi kwa uhuru wa kujieleza na kutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Mshangao: Imekuwaje Rais Ruto awe Rais wa kwanza kutoka Afrika kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Marekani?

    Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita. Swali ni je Hawa Marais wengine kutoka afrika ambao kwa mamia walioitembelea marekani kwenye hicho...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Huku Arumeru kuna jamaa wanavamia mabweni ya Wasichana (Shule ya Sekondari ya Nshupu) na kufanya uhalifu

    Shule ya Sekondari ya Nshupu iliyopo Kijiji cha Nshupu, Wilaya ya Arumeru, Kata ya Nkoaranga Mkoani Arusha haina milango na katika baadhi ya majengo ikiwemo yale ambayo wanaishi Wanafunzi wa kike wa shule hiyo. Kutokana na hali hiyo kumekuwa na matukio ya wahalifu kuvamia na kufanya uhalifu...
  11. JamiiForums Tanzania Kwani kuna ulazima wa mwanaume kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake?

    Hii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata shamba la kumwagia mbegu zangu hapa mtaani, maake kila niliyemuhitaji alinipiga chenga. Mimi na huyu...
  12. JamiiForums Tanzania Yanga kesho kufanya balaa kukabidhiwa kombe lao la 3 la NBCPL

    Klabu ya Yanga sc kesho ya mei 25 2024 watakabidhiwa kombe lao la Ligi kuu ya NBCPL ikiwa ni mara ya 3 mfululizo na timu pekee ambayo imelibeba kombe hilo tangu bank ya NBC kuwa wa dhamini wa Ligi kuu ya Tanzania. Kombe hilo linatalajiwa kushuka na helikopta kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 Nini Wananchi wa Tanzania Wanaweza Kufanya Kuchangia Maendeleo Endelevu?

    Utangulizi. Maendeleo endelevu ya taifa hayategemei juhudi za serikali na viongozi pekee, bali pia yanahitaji ushiriki hai wa wananchi wote. Wananchi wana wajibu wa kuchukua hatua katika nyanja mbalimbali ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii zao na taifa kwa ujumla. Nakala hii inafafanua...
  14. O

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunaitaka Tanzania ya watanzania shupavu, hodari na imara wenye kufanya maamuzi sahihi na kwa haraka

    UTANGULIZI Dunia iliumbwa kwa misingi ambayo ni sawia kabisa. Nikiwa na maana ya kwamba kila pande ya dunia kuna namna ilipewa rasimali ambazo zitawasaidia wakazi wa eneo hilo, kuweza kuendesha maisha na kuyafanya yawe rahisi. Wenzetu wa bara la ulaya wana ufinyu wa rasilimali na hali ya hewa...
  15. JamiiForums Tanzania Mapinduzi yaliyoshindwa ya DRC. Ni kwamba jamaa walienda kufanya mapinduzi au walikuwa wachekeshaji?

    Nimesoma story na kutazama video ya jamaa walio jaribu kupindua serikali ya DRC nikaona hawa jamaa wala hata hawakuwa serious. Walikuwa ni kikundi cha comedian wameenda kufanya video kwa ajili ya Tiktok ili wapate viewers na likes . Anaejua account yao ya Tiktok aiandike chini hapo tuwa follow
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ipi njia nzuri ya kuweka akiba?

    Salaam wana JF, k Kifupi mimi niko nje ya nch napiga box lakin mipango yangu baada ya miaka 4 hiv nirudi nyumbani, hizi kaz za viwanda kusimama 8hrs naona nikikomaa life iwe huku nitaumia coz life huku iko juu bora nikusanye nikipata hta M140 najua nitaishi nyumbani bila kuhenyeka sana, ni njia...
  17. JamiiForums Tanzania Usione nakubembeleza sana ukahisi sina kazi za kufanya, ni mapenzi tu kuna siku nitachoka kuyakumbatia madhaifu yako

    Hii ndio kauli niliyoambiwa na wife wangu kipindi hiko nipo moto balaa michepuko kama yote sieliwi nawaza misabwanda tu. Hii kauli ilibadili maisha yangu sana. Nikawa mpolee na familia.. Wewe uliambiwa kauli gani na mwenza wako ukabadili maisha yako ya mahusiana?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Msaada Kwa waliowahi kufanya interview utimishi wa uma Kwa upande wa clinical officers

    Nisaidieni Kwa anaefahamu kwenye ritten wanauliza maswali yapi je ni essay au short answers na oral je wanauliza maswali yapi mwenye uzoefu nisaidieni
  19. JamiiForums Tanzania SoC04 Kwanini turuhusu Waarabu kufanya umachinga?

    Kwa miaka ya hivi karibuni, tumeshuhudia wimbi kubwa sana la wageni wa kiarabu, kutokea nchini Misri wakizungusha Vyombo/bidhaa zao, kwenye Ofisi,shule,hospital na hata majumbani, wakiuza na kukopesha kama Wamachinga. Hivi ni kweli kuwa Sera zetu za uwekezaji zinaruhusu hili? Maana...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa sasa sipo tayari kuolewa, nahitaji kufanya mambo yangu

    Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume anatakiwa kusimama kiuchumi kwanza ndipo awe tayari kwa kuoa. Kwa mwanamke atapofika umri wa kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…