Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 1,353
- 2,351
Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote
Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za kuweka mtandao huo hewani pamoja na kuufikisha kwa watumiaji
Yafuatayo ni baadhi ya manufaa atakayopata mwekezaji
Bill zote kwa mwezi pamoja na App kuwa hewani ni 800,000/= kila mwezi huku 5,000,000/= ikilipwa kwa mwaka endapo tutachagua Yearly, mwekezaji atanufaika kwa kuwa Admin pia atashirikishwa kwenye mapato yote yatakayopatikana, njia zote za mapato zitajadiliwa na kuwekwa wazi pamoja na kiasi cha mgawo kwa kila mwekezaji, pia jina lake litachapishwa katika articles zote ikiwemo Wikipedia etc
Mengi zaidi tutajadili kwa upana pale tutakapokaa mezani, chini hapa nimeambatanisha screenshot ya mwonekano wa ndani kwa mtumiaji