Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 5,343
- 11,791
Ushawahi kusikia kauli kama hii kutoka kwa mwanamke? Ukweli ni kwamba ambae anakua tayari kwa kuoa ni mwanaume ambae ataenda kubeba jukumu la kutoa security katika familia, kwa maana iyo mwanaume anatakiwa kusimama kiuchumi kwanza ndipo awe tayari kwa kuoa.
Kwa mwanamke atapofika umri wa kuwa mtu mzima(miaka 18) na sio mwanafunzi basi yupo tayari kwa kuolewa.
Ukisikia kauli kutoka kwa mwanamke "kwa sasa sipo tayari kuolewa nahitaji kufanya mambo yangu" tafsiri yake ni kwamba bado anahitaji muda wa kuendelea kufanya anasa na umalaya bila bugudha.
Hiki ndicho kipindi ambacho mwanamke anakua kwenye peak yake ya uzuri hiki ndicho kipindi mwanamke anawachomolea au kuwasubirisha kwanza nice guyz na husband materials wakati huo bad boyz ndio wanapewa mzigo
Baada ya miaka mingi sana mwanamke huyu akishaingia kwenye declining stage ya uzuri wake(30+), akishachezewa na bad boyz, akishaalibu kizazi kwa abortions na P-2, kwa kifupi akishakua na background mbaya kwa yoyote mwanaume makini ndipo atakapotulia na kusubiri ajitokeze nice guy mmoja fala fala wa kumuoa.
Hiki ndicho kipindi mwanamke anaanza kuwakumbuka wale nice guyz na husband materialz waliokua wanambabaikia sana kipindi cha nyuma. Mwanaume usije ukaingia kwenye huu mtego wa kuoa makapi.