kufahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kazi za Ubalozi wa Marekani hukuchua muda gani kuitwa?

    Wakuu samahani, Naomba kufahamu usahili wa kazi kwenye Ubalozi wa Marekani huwa inachukuwa muda gani mpaka kuitwa huko
  2. L

    JamiiForums Tanzania Watoto wajifanya kuwa "madaktari wadogo" wakati wa mapumziko ya majira ya joto ili kufahamu utamaduni wa dawa za jadi za Kichina

    Agosti 9, huko Hohhot Mkoani Mongolia ya Ndani, watoto walitazama utengenezaji wa dawa za jadi za Kichina. Watoto walitumia fursa ya mapumziko ya majira ya joto kujifunza, kuelewa ujuzi wa dawa za Kichina, na kuelewa utamaduni wa dawa za jadi za Kichina.
  3. data

    JamiiForums Tanzania Posho ya kujikimu kwa watumishi wa Umma yaongezwa, Ndugu Wanasemina mnaoendelea na semina mnapaswa kufahamu haki na stahiki zenu

    Ahh nawasalimu, Tuendelee kupambana na bei za mafuta na wafanyakazi tuendelee kusaga meno kwani yalishawahi semwa ' tutasagia meno na tutaishi kama mashetani'. Hicho ni kibwagizo tu ila sio nia yangu. Nia ya uzi huu ni kushea maoni au mawazo yangu kwa zoezi la kitaifa linaloendelea nchi nzima...
  4. dongbei

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu eneo la sqm 165 total cost kuweka pavings!

    Salaam wakuu, Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja. Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165. Landscape generally ni flat. Wataalamu na hata wazoefu wa haya mambo naomba nisaidiwe kujua total cost average inaweza kuwa kiasi gani...
  5. Nguku Wakabange

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu udongo wa mbuga nyeusi Kondoa (Kambi ya Moto)

    Ndugu wanajamii forum habari za hapa wapambanaji wenzagu: Nawaombeni msaada kama kuna wadau wana fahamu maeneo ya udongo wa mbuga nyeusi yenye kufaa kilimo cha dengu maeneo ya Kondoa maana kuna rafiki yangu kanidokeza kuna eneo linaitwa Kambi ya Moto lakini yeye pia haijui vizuri ni ameambiwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania OBD kwa old car like Premio 2004 or IST

    Ningependa kujua hii device hapa TZ naweza pata wapi? Asante.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maana ya Custom duty fee na Import fee

    Naomba msaada nimeona soundcard nzuri Ebay bei yake ni nzuri ukiacha na shiping cost kuna icho nakisikiaga custom fee na Import fee zikoje kwa bidhaa ka hiyo ninayotaka?
  8. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana kufahamu kwamba nchi ya Israel ina mabomu ya nyuklia 90

    Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia? Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu. Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran...
  9. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kufahamu Uwekezaji Wa Ardhi/Majengo Ambayo Ni Hatarishi Mwaka 2022

    Sio kila kiwanja kinaweza kukutengezea fedha. Sio kila nyumba ya kupangisha inaweza kukutengezea kipato kikubwa na kipato endelevu kwa kila mwaka. Kwa sababu hii, unahitaji kufanya tathmini kabla ya kufanya uwekezaji kwenye ardhi/nyumba. Kwenye somo hili nimekuandalia mambo ya msingi sana ya...
  10. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kuhusu uchaguzi Bunge la Afrika Mashariki

    Wakuu heshima kwenu. Naomba kufahamu kuhusiana na uchaguzi bunge la Afrika Mashariki, mwaka wa uchaguzi ni lini? Je, kuna utaratibu gani kuchukua fomu mpaka kugombea? Natanguliza shukrani.
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nilikuwa sipo mjini hivyo naomba kufahamu Kama banda la kujifukiza Bado lipo?

    Wakuu lile banda pale Muhimbili Bado lipo la kujifukiza naomba kujua maana naskia mzee wa Chapa ilale mara ya mwisho aliingizwa kwenye banda na ndo ikawa Mwisho wake. Nipo huku nje ya mji nipeni Update wakuu.
  12. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu jinsi ya kuagiza bidhaa Amazon

    Msaada ndugu zangu naomba mnipe procedure za kuagiza bidhaa kwa kutumia Amazon. Wana free delivery au?
  13. brave Mwafrika

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara?

    Naomba kufahamu faida za kujenga nyumba kando mwa barabara???
  14. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mlio single mnaishi vipi?

    Tuwe serious na hili tokea 2019 mpaka sasa kuna mtu hajaolewa na kuna mtu hajaoa mpaka sasa leo hii mtuelezee matatizo mnayokumbana nayo ili muweze kutoa dukuduku zenu. Halafu kingine ninaomba kujua kama mpo single mnaishije? Tuambizane. Changamoto mnazokutana nazo. Nipo serious
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya M- Kwenye Auto - Manual Cars. Wengi wanashindwa kufahamu watumie nini na wakati gani?

    Kwenye hizi gari ndogo za Mjapan ambazo nmefanikiwa kumiliki nimekuwa nikipenda kuwa na Gari ambazo ni Auto Manual- Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Gari Manual. Ingawa kwa hizi ndogo ni nadra sana kuzipata Manual. kwa hizi ndogo nimekuwa na Toyota Harrier, Toyota Crown, Toyota Rumion na Toyota...
  16. OLS

    JamiiForums Tanzania Jua namna ya kufahamu kiasi cha MB ulichotumia kwenye kifaa chako

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu kiasi cha data ambacho watu hununua na kutumika wengi wakisema wametumia data kwa muda mchache na hivyo kulalama wanapoona data imeisha kwa ghafla. Katika uzi huu naomba kuwajuza namna ya kujua matumizi yako ya data ili unapopokea sms ya bundle lako kuisha uwe...
  17. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Ninaomba tafsiri ya ndoto hii kwa mwenye kufahamu

    Wakuu, nimeshtuka kutoka usingizini takribani zaidi ya nusu saa iliyopita nikitafakari juu ya ndoto hii niliyoiota. Nimeota nipo mazingira yangu ya kazi ( inaniunganisha mimi na wateja) kuna kitu mteja alijieleza lakini Meneja wangu hakumuelewa ila mimi nilikua nimemuelewa nikaamuru ahudumiwe...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tusiopenda kusoma makala ndefu na tunapenda kujifunza na kufahamu zaidi tukutane hapa

    Habari hizi ni za kutoka kwenye mtandao wa kijamii FAHAMU ZAIDI.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu utaratibu wa kutuma maombi ya ualimu (Nacte)

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  20. DR.MBWEMBWE

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kuingia Ngorongoro National Park (kiingilio, malazi, Chakula)

    Habari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
Back
Top Bottom