Naomba kufahamu eneo la sqm 165 total cost kuweka pavings!

dongbei

Senior Member
Jan 18, 2013
151
140
Salaam wakuu,

Kama heading inavyojieleza. Niende kwenye mada moja kwa moja.

Ninahitaji kuweka pavings kwenye eneo lenye ukubwa wa square meter 165.

Landscape generally ni flat.

Wataalamu na hata wazoefu wa haya mambo naomba nisaidiwe kujua total cost average inaweza kuwa kiasi gani. Ikiwezekana na mchanganuo wa mahitaji.

Location ni Arusha mjini!

Thanks in advance!

Dongbei.
 
Asante sana boss. Vipi material mengine yanayotakiwa ni nini na kiasi gani.
Ipo hivi...

Square mita inarange kuanzia 15,000 hadi 25,000 inategemea na eneo, huko Arusha mnapigwa bei kubwa. Ukinunua kiwandani bei inaweza kuwa 20,000.

Ushauri wangu tafuta fundi mwenye hizo mould, chagua aina ya paving uitakayo na maua yake akufyatulie. Gharama zake zinaweza kuwa chini tofauti na ukinunua kiwandani au huko nje.

Utahitaji vitu vifuatavyo:
Fundi anafyatua mfuko mmoja wa cement kwa sh 6,000.
Mfuko 1 unatoa pavement 100
Mfuko mmoja unafyatua pavement za kujaza sqm 2.2

Kwa sqm 165 unahitaji trip 3 za kifusi cha Moramu.
Unahitaji trip 2 za mchanga laini
Unahitaji cement mifuko 60.
Unahitaji ulipie fedha isiyozidi laki 1 kwa kusambaza kifusi ndani ya eneo lako.
Unahitaji mchanga mkubwa trip 1
Unahitaji ukodi mashine compactor ya kushindilia udongo bei yake haizidi laki 1
Unahitaji ununue rangi mifuko kama 10 hivi kila mfuko elfu 10.

Then ya mwisho unahitaji kumlipa fundi gharama za kupanga pavement...mara nyingi gharama ya kupanga paving sqm 1 ni elfu 3.
Utapata unachostahili.
 
Utapata unachosta9

Dah kaka ubarikiwe sana. Mambo yako yanyooke vile unavyopenda yawe kwa uweza wa Mungu. I cannot thank you enough! Umenipa mwanga mzuri sana. Na copy paste maelekezo yako kwa MS word yatakuwa muongozo mzuri sana. Nitamtafuta fundi afyatulie home naona kwa mazingira yangu its much better and cheap. Please usinichoke nikihitaji muongozo next time PM.
 
Sawa karibu sana, ubarikiwe na wewe pia.

Kuna nyongeza moja, mafundi wengine ili pavement ziwe imara wanahitaji kuchanganya na lile vumbi la mawe, kwahiyo unaweza kuambiwa linahitajika vumbi trip moja huwa linapatikana kwenye wanaposaga kokoto.

umefanya uchaguzi sahihi kufyatua mwenyewe, All the best
 
Sawa karibu sana, ubarikiwe na wewe pia.
Kuna nyongeza moja, mafundi wengine ili pavement ziwe imara wanahitaji kuchanganya na lile vumbi la mawe....kwahiyo unaweza kuambiwa linahitajika vumbi trip moja huwa linapatikana kwenye wanaposaga kokoto.

umefanya uchaguzi sahihi kufyatua mwenyewe, All the best
Shukrani sana kaka, nitazingatia hilo pia.
 
Ipo hivi...

Square mita inarange kuanzia 15,000 hadi 25,000 inategemea na eneo, huko Arusha mnapigwa bei kubwa. Ukinunua kiwandani bei inaweza kuwa 20,000.

Ushauri wangu tafuta fundi mwenye hizo mould, chagua aina ya paving uitakayo na maua yake akufyatulie. Gharama zake zinaweza kuwa chini tofauti na ukinunua kiwandani au huko nje.

Utahitaji vitu vifuatavyo:
Fundi anafyatua mfuko mmoja wa cement kwa sh 6,000.
Mfuko 1 unatoa pavement 100
Mfuko mmoja unafyatua pavement za kujaza sqm 2.2

Kwa sqm 165 unahitaji trip 3 za kifusi cha Moramu.
Unahitaji trip 2 za mchanga laini
Unahitaji cement mifuko 60.
Unahitaji ulipie fedha isiyozidi laki 1 kwa kusambaza kifusi ndani ya eneo lako.
Unahitaji mchanga mkubwa trip 1
Unahitaji ukodi mashine compactor ya kushindilia udongo bei yake haizidi laki 1
Unahitaji ununue rangi mifuko kama 10 hivi kila mfuko elfu 10.

Then ya mwisho unahitaji kumlipa fundi gharama za kupanga pavement...mara nyingi gharama ya kupanga paving sqm 1 ni elfu 3.
Utapata unachostahili.

Asante kaka, umetusaidia na sisi wengine tuliokuwa na shida kama hiyo, maelezo yamenyooka bila chenga.
 
Ipo hivi...

Square mita inarange kuanzia 15,000 hadi 25,000 inategemea na eneo, huko Arusha mnapigwa bei kubwa. Ukinunua kiwandani bei inaweza kuwa 20,000.

Ushauri wangu tafuta fundi mwenye hizo mould, chagua aina ya paving uitakayo na maua yake akufyatulie. Gharama zake zinaweza kuwa chini tofauti na ukinunua kiwandani au huko nje.

Utahitaji vitu vifuatavyo:
Fundi anafyatua mfuko mmoja wa cement kwa sh 6,000.
Mfuko 1 unatoa pavement 100
Mfuko mmoja unafyatua pavement za kujaza sqm 2.2

Kwa sqm 165 unahitaji trip 3 za kifusi cha Moramu.
Unahitaji trip 2 za mchanga laini
Unahitaji cement mifuko 60.
Unahitaji ulipie fedha isiyozidi laki 1 kwa kusambaza kifusi ndani ya eneo lako.
Unahitaji mchanga mkubwa trip 1
Unahitaji ukodi mashine compactor ya kushindilia udongo bei yake haizidi laki 1
Unahitaji ununue rangi mifuko kama 10 hivi kila mfuko elfu 10.

Then ya mwisho unahitaji kumlipa fundi gharama za kupanga pavement...mara nyingi gharama ya kupanga paving sqm 1 ni elfu 3.
Utapata unachostahili.
Wewe mwamba ntakutafuta

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Wastani wa bei ya kuweka paving blocks kwa meta moja ya mraba (square metre) ni shilingi 20,000 za kitanzania (Plus or minus kulingana na mahali ulipo, aina ya ardhi, designs utakayochagua, ...n.k.).
Piga hesabu kiasi cha eneo ulilonalo x 20,000/= utapata rough estimates za kuanzia hiyo kazi.
 
Wastani wa bei ya kuweka paving blocks kwa meta moja ya mraba (square metre) ni shilingi 20,000 za kitanzania (Plus or minus kulingana na mahali ulipo, aina ya ardhi,designs utakayochagua, ...n.k.).
Piga hesabu kiasi cha eneo ulilonalo x 20,000/= utapata rough estimates za kuanzia hiyo kazi.
Sawa kabisa, nimeamua kutengeza mwenyewe kama alivyopendekeza mdau huko juu. Asante sana kwa mawazo mazuri pia!
 
Ipo hivi...

Square mita inarange kuanzia 15,000 hadi 25,000 inategemea na eneo, huko Arusha mnapigwa bei kubwa. Ukinunua kiwandani bei inaweza kuwa 20,000.

Ushauri wangu tafuta fundi mwenye hizo mould, chagua aina ya paving uitakayo na maua yake akufyatulie. Gharama zake zinaweza kuwa chini tofauti na ukinunua kiwandani au huko nje.

Utahitaji vitu vifuatavyo:
Fundi anafyatua mfuko mmoja wa cement kwa sh 6,000.
Mfuko 1 unatoa pavement 100
Mfuko mmoja unafyatua pavement za kujaza sqm 2.2

Kwa sqm 165 unahitaji trip 3 za kifusi cha Moramu.
Unahitaji trip 2 za mchanga laini
Unahitaji cement mifuko 60.
Unahitaji ulipie fedha isiyozidi laki 1 kwa kusambaza kifusi ndani ya eneo lako.
Unahitaji mchanga mkubwa trip 1
Unahitaji ukodi mashine compactor ya kushindilia udongo bei yake haizidi laki 1
Unahitaji ununue rangi mifuko kama 10 hivi kila mfuko elfu 10.

Then ya mwisho unahitaji kumlipa fundi gharama za kupanga pavement...mara nyingi gharama ya kupanga paving sqm 1 ni elfu 3.
Utapata unachostahili.
Well
 
Wastani wa bei ya kuweka paving blocks kwa meta moja ya mraba (square metre) ni shilingi 20,000 za kitanzania (Plus or minus kulingana na mahali ulipo, aina ya ardhi, designs utakayochagua, ...n.k.).
Piga hesabu kiasi cha eneo ulilonalo x 20,000/= utapata rough estimates za kuanzia hiyo kazi.
Unajua kuweka mambo katika namna rahisi na kueleweka. Hongera mkuu.
 
Back
Top Bottom