kufahamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu maeneo kwa Dar es Salaam wanapofundisha mafunzo ya karate!

    Habarini wanaJamiiForums! Kwa Dar es Salaam, ni maeneo yapi yanatoa huduma za kulipia za mafunzo ya karate kwa ajili ya kujihami? Kijana wangu ana miaka 10 na ningependa apate japo abc's za kujilinda mwenyewe. Nitashukuru sana. Regards Amadi!
  2. FK21

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu sifa za wanawake wa Kipare

    Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE Japo binadamu Wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare Ili ajue anaishi nae kwa namna gani
  3. FK21

    JamiiForums Tanzania Naombeni kufahamu sifa za wanawake wa Kipare

    Kuna ndugu yangu anataka kuoa mpare anaimba kufahamu sifa za wanawake wa KIPARE. Japo binadamu wana tofautiana ila Kuna vi tabia na damaduni vyao naomba kuwasilisha kwa wanao wafahamu wapare ili ajue anaishi nae kwa namna gani.
  4. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Zuchu unatakiwa kufahamu, ukiingia kwenye mahusiano na Diamond umeingia kwenye vita

    Sina tabia ya kujadili ishu za mahusiano hapa jukwaani lakini nimeona niongee kidogo na Zuchu. Zuchu unatakiwa kufahamu ukiingia kwenye mahusiano na Diamond tayari upo vitani. Najua sasa hivi hauelewani na ndugu wa Diamond kasoro yule mpwa wa Diamond. Umegombana na wadada wa mjini na...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
  7. Ancient Resident

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye kufahamu vilipo viwanja vya basketball Iringa

    Wakuu mimi ni Mgeni katika mkoa huu wa IRINGA, lakini pia ni mchezaji wa basketball, Ningependa kama kuna mwenyeji au yeyote anayefahamu viwanja vya basket iringa vinapatikana wapi. Naomba unitajie viwanja vyote unavyovijua na sehemu vilipo Mi nipo IRINGA MJINI. Ahsante sana kwa atakaeshiriki...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Naweza kupata pesa zangu kutoka mfuko wa jamii baada ya kutoka taasisi binafsi na kuhamia Serikalini?

    Habari zenu, Naomba kufahamu kwa mtu alekuwa akifanya kazi shirika zisizo za Kiserikali kisha akahamia taasisi za umma, akiwa shirika binafsi alikuwa akichangia kwenye mfuko wa jamii la NSSSF. Je, akihamia Serikalini huyu mtu ataweza kutoa mafao yake NSSSF?
  9. T

    JamiiForums Tanzania Karibuni Wabunifu na Watengenezaji wa Multimedia - Tunapenda Kufahamu na Kutambua Kazi Zenu

    Habari za siku, wabunifu na watengenezaji wa multimedia! Huu uzi ni maalumu kwa kuwakaribisha nyote wenye ujuzi na ubunifu katika usanifu na utengenezaji wa michoro ya kidijitali (digital graphics), video fupi, na sauti (audio) kwa ajili ya utambulisho (branding) na utangazaji wa biashara...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nataka kusearch mtandaoni ile midoli inayovalishwa nguo katika maduka ya nguo

    Habari zenu Nataka kusearch mtandaoni ile midoli inayovalishwa nguo katika maduka ya nguo Naomba kuuliza je kwa kiingereza inaitwaje? ili niweze kuisaka huko Alibaba Ahsanten
  11. W

    JamiiForums Tanzania Una Mpango wa kwenda Dubai hivi karibuni? Haya ndo masharti unatakiwa kufahamu ili uweze kufurahia safari iliyo salama

    Fahamu mambo ambayo huruhusiwi kuyafanya unapotembelea Dubai 1. Ingawa Dubai ni kitovu cha mitindo, hauruhusiwi kuvaa Nguo fupi, zinazobana sana, au zenye kufichua Mwili kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya Umma. Hakikisha unavaa Mavazi yanayofunika Mabega na Magoti unapokuwa hadharani 2. Pia...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya magodoro

    Nataka kuwa wakala wa kuuza magodoro ya TANFOAM ARUSHA, naweza kupata mawazo jengefu zaidi kuihusu hii biashara. Nataka niuze mattress, mataulo, mashuka nk. Mbeleni niongezee vitanda pia. Hii biashara changamoto zake ni zipi na faida yake imekaaje kwa wenye ujuzi nayo tafadhali. Ahsanteni.
  13. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Je, unawezaje kumfahamu mwendesha bodaboda mhalifu? Soma tips kumfahamu

    Wadau najua wengi tunatumia sana Bodaboda,swali je unafahamuje kuwa boda boda niliyemchukua ni mharifu? Basi ungana na mimi kujua ni jinsi gani walivyo na endapo ukiona yupo hivi jua huyo ni muharifu usipande bodaboda wake. Kwanza chombo chake lazima kiwe kikukuu! Bodaboda yake lazima iwe ni...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mbinu mbalimbali zilizokuwa zinatumika na zinazoendelea kutumika ili kufahamu kama mtu ni mchawi

    SURA YA AROBAINI NA SITA DESTURI YA KUTAFUTA WACHAWI, NA JINSI YA KUWAADHIBU Hapo zamani mtu akifariki, akiwa mwanamume au mwanamke, wenye ndugu baada ya kumaliza kilio tu huenda sehemu mbali mbali kutafuta ni kisa gani kimemwua yule ndugu yao. Basi safari hiyo hufungwa kwa kuambatana kwa...
  15. kaligopelelo

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu chimbo la vifaa vya seremala kariakoo

    Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya . Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli. Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa vinavotumiwa zaidi na mafundi seremala Kama vile tapes,misumari,msasa,gundi ya mbao aina zote,vanishi nk...
  16. Kermion

    JamiiForums Tanzania Naomba Kufahamu Mifano Ya Nyimbo Zinazoweza Semwa Zina Asili Ya Bongo-Flava

    -
  17. Komando kipen

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu au kusoma Chuo cha Cavendish cha Uganda

    Musaada kwa mwenye ufahamu au kasoma chuo Cha Cavendish university Uganda. Nataka kuanza masomo hapo jan2025
  18. hmaloh

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu kisheria hii imekaaje?

    Habarini ndugu zangu wapendwa wanajamvi, Naomba kufahamu ikiwa inawezekana kama mzazi kuwajibishwa kwa kosa alilofanya mtoto wangu. Hali iko hivi: hapa mtaani kuna mzee fulani anasema anataka kunipeleka kwenye vyombo vya sheria kwa sababu binti yangu alivunja kioo cha gari yake. Walikuwa...
  19. I

    JamiiForums Tanzania KWELI ARV's zinatumiwa na baadhi ya wafugaji kunenepesha mifugo

    Nahitaji kufahamu taarifa inayosambaa kwamba dawa za ARV zinatumika kunenepesha mifugo.
  20. blogger

    JamiiForums Tanzania Wangapi tunahitaji kufahamu ukweli juu ya huyu binti?

    Yuko nchi gani!? Uraia wake!? Anafanya Nini!? Anaongea lugha gani? Ni kweli Ni mkulima? Karibuni. JF hakipoi kitu. Najua Kuna watu Wana taarifa sahihi.
Back
Top Bottom