kuepusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania TRA wekeni mfumo wa wazi au App ya kuangalia taarifa za usajili na ulimiki wa Vyombo vya Moto ili kuepusha hizi kadi feki

    Napendekeza TRA waweke mfumo wa wazi ili watu waweze kutizama Taarifa za usajili wa gari, piki piki au bajaj ili kujia mmiliki halali ni nani Mnaficha kitu gani kuweka mfumo huo kuwa huru? Mbona ni jambo ambalo linawezekana na ni jepesi tu Hili litasaidia sana kuzuia watu kutengeneza kadi feki...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Iwe sharti wanaume kuhamisha mali kwa watoto wa mwanzo kabla ya kuoa mke mwingine ili kuepusha dhuluma kwenye urithi baada ya kufariki

    Ishu kuu ni hawa mama wa kambo kuchota kila kitu huku, watoto wa mwanzo wanaambulia patupu...Je ni haki hawa mama wa kambo kuzoa kila kitu? Binafsi nimeona kabla mwanaume hajaoa mwanamke mwengine (hasa hawa wazee wanao oa mabinti) , ingependeza haya mambo ya urithi yawe wazi ili kuepusha shari...
  3. May Day

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi yawe ni ya muda maalumu tu ili kuepusha mateso ya kihisia ya muda mrefu

    Ushahidi unaonesha kuwa hata mapenzi yaanze kwa nguvu kubwa kiasi gani lakini bado kamwe hayatodumu na kubaki na nguvu hiyo hiyo kwa muda wote. Inapotokea Wawili wamependana basi waingie makubaliano rasmi, kwa mfano wakubaliane kwamba wanahitaji uhusiano wao huo udumu kwa muda gani na iwapo...
  4. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ukraine haikuomba kuwa sehemu ya USA ili kuepusha huu ujinga unaoendelea sasa?

    Habari zenu wana JF wenzangu.. Ndugu zangu kinachoendelea leo huko Ukraine kinatokana na ujinga wa viongozi wa nchi hiyo kushindwa kujiongeza mapema huko nyuma ili kuepuka uvamizi huu unaofanywa na Urusi katika ardhi yake. Ikumbukwe na ifahamike kwamba USA ni Super Power ktk dunia hii, na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wizara za Serikali zinapaswa kuwa kwenye Katiba kuepusha usumbufu

    Kila Rais (sio Chama wala Serikali wala wananchi) amekuwa na maamuzi yake mwenyewe ya kuhusu idadi ya Wizara, Mawaziri, Manaibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu. Hii imekuwa na usumbufu sana sana kwa watendaji na pia imekuwa ikiathiri Bajeti na hata Mipango ya nchi. Kwa mfano...
  6. The Wolf

    JamiiForums Tanzania Kuepusha dhuluma kwenye mishahara na ukwepaji kodi, TRA itoe Final Salary Slip kwa wafanyakazi

    Wafanyakazi wananyonywa sana, makato ni mengi, lakini taasisi ziwe za serikali ama binafsi kupeleka michango hiyo sehemu husika imekuwa ni issue sana. Inafikia mfanyakazi anastaafu, ameumia kazini ama ameacha ajira anakosa stahiki yake kwa sababu hamna michango ambayo imepelekwa sehemu husika...
Back
Top Bottom