Habari wadau.
Wahindi wapo makini sana na biashara zao. Watoto wao wanasomeshwa kwa malengo yao tu.
Mtoto wa kaka yake na Mo dewji ambaye anaitwa Gullam Dewji alikuwa kichwa kweli kweli katika shule ya kishua ya IST.
Alipomaliza high school alifanya vizuri sana katika mtihani wake wa SAT na ACT ambayo scores zake ndizo kipimo kinatumika kuingia vyuo vikubwa marekani na vyuo vikuu vya nchi kubwa zilizoendelea kama oxfords etc. Maksi alizopata chuo kikuu namba 1 duniani kinachoitwa MIT kilimpa admission with full ride scholarship.. yaani kila kitu buree kazi yake kusomaa tu.
Cha kushangaza mtoto huyo alikataa hiyo offer ya MIT kwa sababu alipaswa aende kufundishwa jinsi ya kuendesha biashara za familia yao huko nchini india.
Tangu shule ya IST imeanzishwa hakujawai kutokea mwanafunzi wa ki Tanzania aliyekataa full ride scholarship ya chuo kikuu namba moja duniani zaidi ya huyo mtoto wa Gullam Dewji.
Najiuliza tu hivi kuna mzazi Tanzania ama Mtoto anaweza kataa mwanae asiende kusoma hata udsm tu sababu anapaswa kufundishwa biashara ya familia ?
ARWA GULLAM ABASS DEWJI alishangaza mpaka walimu wa IST kwa hiyo jeuri.