Muongozo Kamili wa kuanzisha na kuendesha Youtube Channel

Kainetics

Senior Member
Jun 20, 2022
131
264
Kainetics Youtube Channel.jpg

Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza pesa.

Kati ya wote ambao hupatwa na hili wazo, karibia asilimia 60% huendelea na kufungua channel husika ila ni wachache tu ambao huweza zipigisha hatua channel zao hadi kufikia malengo waliokuwa wamejiwekea kichwani either iwe ni kwa channel ya kawaida, au vlog. Labda ukianza kwa usahihi, na kuendesha channel yako kwa usahihi possibility ya kufikia kile unacholenga ni kubwa kuliko kuanza bila idea yoyote ile.

Hii ni kwa wote, either uwe unafanya kama hobby, kama biashara au kama namna ya kuingiza pesa kupitia Monetization ya Google Adsense.

Bila kupoteza muda, ntaongelea mambo yafuatayo;

🏷 Utangulizi: Kwanini Unataka Kuanzisha Channel

🏷 Mambo ya Msingi Unayopaswa Kufahamu Kabla

🏷 Kuanzisha Channel Kwenyewe

🏷 Kuendesha Channel Yako Kwa Akili

🏷 Namna Unavyoweza Jiingizia Pesa Kupitia Channel Husika

🏷 Itimisho

Utangulizi

Kabla hata hujajiridhisha unapaswa elewa pande zote mbili za sarafu. Upande wa kwanza ni kwa wewe mwenye Youtube Channel, kwanini unaianzisha? Upande wa pili ni kwako wewe pia kama mtumiaji wa kawaida wa Youtube; Huwa unatumia Youtube Kufanya Nini?

Hayo maswali mawili ndo yanadefine huu mtandao mkubwa unavyofanya kazi.

🎯 Upande wa Kwanza

Nikianza na kwanini watu huenda Youtube, priority kubwa ya kwanza huwa ni kutazama videos za nyimbo zetu pendwa. Hii ndo sababu kubwa inayoongoza maana hakuna app/tovuti nyingine ambayo imejikita kudistribute videos za nyimbo za wasanii.

Kwa wenzetu, sababu nyingine ambayo huendana na hio ya kwanza ni kupata Movie Teasers na Trailers. Hivi vinakua vijimatangazo vidogo vidogo vya filamu vinavyokufanya udecide kama utaenda kuitazama ikitoka au utaipuuza.

Sababu itakayofuata chini hapo ni kupata habari muda wowote ule bila kusubiria itangazwe kwenye Radio au TV. Ziwe ni za kisiasa, michezo, ma ceblrities, au breaking news za aina yeyote utazikuta Youtube.

Kwa wahindi na hata wanaigeria, baadhi ya makampuni chipukizi ya utengenzaji wa filamu huweka muvi zao zote complete Youtube, kurahisisha fans kuzitazama bure mwanzo mwishi bila kuzilipia ticket theater, kununua cd au kulipia streaming.

Sababu ni kibao, na zinaendelea. Unaweza tumia Youtube kutazama vichekesho, kuafuatilia lifestyles za influencers wako pendwa. Kuchukua maoni ya wataalamu kabla hujanunua bidhaa husika mfano simu au tablet. Na pia kujifunza karibia kila aina ya skill unayoweza fikiria. Hio ni kwanini tunatumia Youtube.

🎯 Upande Wa Pili

Tukienda upande wa pili ni kwanini makampuni, wanamuziki, wakufunzi na watu kama mimi na wewe hufungua accounts za Youtube. Sababu na moja kabisa huwa ni hela. Youtube ni mtandao ambao ukiutumia vizuri unaweza kukuingizia hela kama Blog yako au hata zaidi.

Sababu nyingine kubwa ni kuweza kuwafikia fans wanaipenda kazi zako za ubunifu, uwe unaimba, unaigiza, una dance, una chora, ni seremala, unapika, etc. Kwenye Youtube unao uwezo wa kuwafikia maelfu ambao watakuwa interested na kufuatilia kile unachokifanya.

Sababu nyingine itakayokufanya ukute kampuni kama Apple, Samsung, Coca Cola au Marvel wana accounts za Youtube, ni kubuild brand awareness. Makampuni huanzisha hizi channel kuweza kutangaza bidhaa na huduma zao kwa umma. Maana wengi huutumia kuliko wanavyosoma radio au kusikiliza taarifa ya habari redioni.

Asilimia nyingine huanzisha channels kuspread awereness kuhusu topic zenye mashiko kwenye jamii, kuelimisha na hata kupata exposure. Ni mhimu kujua kwenye stage za mwanzoni kabisa wakati unaanza, kuwa nbali na kuingiza pesa, unaanzisha channel yako kwa madhumuni gani?

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Hujaanza

✍ Nikukumbushe kuwa kuna maelfu ya Channels za Youtube kwa Tanzania peke na utakachokiweka kichwani ni kuwa ushindani ni wa kutosha. Bahati mbaya, Youtube sio kama Instagram au TikTok unakoweza kua discovered kwa Hashtags.

Algorithim yake ni tofauti kabisa, maana ina consider mambo kama video yako inatazamwa yote au kidogo na kurukwa. Inapata likes au dislikes nyingi, unaweza wa engage watu kwa muda gani mrefu na unawa engage vipi.

Ukiweza pass hizo mambo zote, ndipo video yako itaanza kuwa suggested kwenye dashboard za wengine. Au kuonekana chini ya video za wengine under Related Videos.

✍ Kitu kingine cha kuconsider ni utaongelea nini na style yako ya videos itakuweje. Zipo channel nyingi ambazo ni maarafu na watu hawajioneshi sura, mfano. The Story Book. Youtuber maarufu zaidi duniani anaonesha sura yake na kufanya mambo ya ajabu ajabu. Ila anaonekana.

Wapo wana channels zilizo kama video essays, wengine hu‐record screen za computer zao wakicheza games. Na wengine wana channels ambako hawaonekani wala kuongea kabisa. Na bado ni maarufu. Jiulize style yako itakuweje.

✍ Hapo hapo kwenye style, unakumbuka nimekukumbusha kuna maelfu ya channels kwa bongo peke ake? Well 85% ya hizo channels ni mbaya. Mbovu. Kuanzia kwenye video quality, audio quality na quality ya content zenyewe.

Pia kuna ujinga wa ClickBaits unatawala, ambapo title ya video na kile utakachokikuta ukiiplay haviendani kabisa . Kama unataka kuwa serious na kupata results nzuri kutoka kwenye channel yako, hakikisha audio quality iko poa. Video zako ziko fresh na zime editiwa vizuri. Pia jipe muda kuandika mambo utakayoongelea kwenye videos husika isionekane unafanya freestyling wakati wa kurecord.

Lastly, kwanini kitu ambacho ungekiongelea ndani ya dakika moja na kikaeleweka ukirefushe hadi dakika 15? Jiulize videos zote ambazo umezicancel kabla hata haijapita dakika moja , zilipokosea ndipo ukafix wewe.

Kwa Tanzania yetu hii kuna tatizo jingine la watu kujiita comedians. Unakuta jokes ni za kawaida mno, delivery iko poor, editing na sound quality pia mbovu.

Wanasahau kuwa kuna kitu inaitwa script, unakaa unazipangilia jokes na punchlines vizuri ndipo unaenda kuigiza. Unaweza ona channel kama Timamu Comedy, Oka Martin au Mark Angel Comedy wanaweka efforts kwenye kuandika skits zao ndo maana ziko tofauti kabisa ni hizi vitukimo tunazoona eti ni Comedy.

Kama unaweza andika hizo mambo na ukapata watu wa kuenact script yako. Potential iko kubwa hapo, pia.

✍ Mwishi ni basics, nimesema quality ya audio iwe nzuri hivyo jichange ununue hata vi mini-mcrophone vya elfu kumi na tano. Kama videos zako zinajumuisha kujionesha sura ukiwa ndani, hakikisha setup yako iko vizuri na kuna mwanga wa kutosha. Videos kuwa seamless jitafutie editor wa videos zako, au edit mwenyewe.

Hakikisha channel ina intro na Outro. Kila video ina Thumbanail ilotulia. Pia Channel nzima iwe na Channel Art. Tenga muda kuandika About iliyotulia. Na ukishatengeneza channel kunakitu inaitwa Channel Trailer. Kaandae vizuri ukaweke mtu ajue atakachokuwa anaenda pata kwenye channel yako straighton.

Kuna mambo sipaswi kukumbusha. Uwe na account ya Bank ya kupokelea hela, uwe na Sanduku la Posta kupokelea PIN , uwe na email , na namba ya simu. Uwe unafahamu channel itahusu nini. Uwe na jina la kuioa channel yako. Uwe na uelewa kuhusu mada husika.

Kwa kufanya hayo machache unakuwa already mbele ya channels hizo 85% zinazopuuza.

Kuanzisha Channel Yenyewe

Kuanzisha Channel ya Youtube Hakuna mambo mengi, maana unaweza ianzisha hata kwa simu moja kwa moja. Utakachofanya ni kuingia kwenye App ya Youtube, kugusa picha ya account yako na kugusa neno My Channel.

Screenshot_20220818-060051_YouTube.jpg

Kama huna itakwambia Create New Channel ambapo utaipea jina and you'll be good to go.

Screenshot_20220818-060117_YouTube.jpg

Humo humo kwenye Youtube App utaweza set mambo kama, picha ya Channel, kueka Channel Art na Channel Description + Important Links .

Kupata full creative control, nashauri kuyafanya mambo ya kumanage channel yako, kupitia pc. Maana settings nyingi utakazo kutana nazo hazipo kwenye App ya simu(Iwe ni Youtube Studio au Youtube App)

Kwa pc ni kuaccess link ya studio.youtube.com simple ivo.

Kama utakua ukitumia simu, hakikisha una basic applications kukufanya unauwezo wa kufanya chochote likija swaka zima la kuendesha channel yako.

Kainetics Essential Apps za Vlogging.jpgKuendesha Channel Yako Kwa Akili

Zipo mambo kadhaa ambazo unapaswa kuzipa kipaumbele ili channel yako iweze endelea kukua na kuonekana professional.

✍ Kuwa na siku maalumu za kupost ambazo Subscribers wako wanafahamu. Iwe ni Tuesday na Saturday. Wajulishe kupitia kwenye about Page yako.

✍ Inspire maswali. Hakikisha videos zako ziko engaging. Watu wawe wanauwezo wa kucomment mambo wanayotaka ugusie kwenye videos zijazo, au maswali kuhusu video husika.

✍ Kuwa na Community ya Channel Yako. Aidha liwe group la Facebook, WhatsApp au Telegram, ila hakikisha channel yako ina group ambako unaweza engage watu wako nje ya Youtube

✍ Kua na constant design. Thumbnails zako zifanane, Intro iwage ile ile. Hakikisha rangi zinaenda na flow ya videos iwe ile ile.

✍ Shorts. Namna rahisi ya kukuza Channel yako kabla hujaanza tengeneza content serious ni kwa kutumia Youtube Shorts. Hapa ni unatengeneza vertical videos fupi fupi na kuzipost zinaleta engagement na kuwafikia wengi haraka.

✍ Kuwa specific. Kama unafundisha Mapishi baki huko huko usije anza kutoa ushauri sijui na kuhusu vitambi, etc. Kama unaongelea Mpira wa Miguu usije anza ongelea NBA.

✍ Avoid ClickBaits. Hakikisha title za video zako zinaeleweka na zinaongelea kitu ambacho watakikuta kwenye video. Maana ukishamdqnganya mtu aka click viddo husika. Akikuta ulimdanganya harudi tena.

Namna Unazoweza Kuingiza Pesa Kupitia Channel Yako

📦 Zipo namna kadhaa realistic unazoweza tumia kuingiza pesa kupitia channel yako lakini wengi hufocus na Adsense peke ake. Maana hakuna kitu poa kama kulipwa na Google wenyewe.

Kwa kuwa Adsense nishaiongelea kwenye post ya Blogging sitoionglea hapa tena. Unachopaswa fahamu ni ili uwe monetized lazima uwe na Subscribers 1,000 na Watchtime ya walau Masaa 4,000.

📦 Namna ya pili unayoweza tumia kuingiza pesa ni kwa kupokea Tips, kwa wenzetu huwa ni derectly kupitia huduma kama BuyMeCoffee au Patreon. Ila kwa Tz unaweza weka namba ya simu au Lipa, na fans wako wa nguvu waka kusupport kwa namna hio.

📦 Namna ya tatu unayoweza kuingiza pesa kupitia channel yako ni kupitia Sponsored Contents. Kama una audience ya kutosha makampuni kwenye Ninche yako au nyingine unaweza yafuats yakakupea kiasi kuongelea bidhaa zao kwenye channel yako.

📦 Merch/Products. Kama una channel unakofundisha let's say Music Production, unaweza tengeneza Sample Pack na kuwauzia fans zako directly kupitia WhatsApp.

Itimisho

Mambo mengi huonekana mepesi in theory, hivyo hutoweza elewa kama idea yako ilikuwa poa au kiazi, kama hutoifanyia kazi.

Tumia muda mchache mno kuoanga mambo kwenye karatasi na instead, tumia muda mwingi kwenye kubuild hizo contents.

Pia kuna kitu nakutana nayo ya watu kutaka kununua channels au blogs zilizoungwa na Adsense tayari. Kisa imeungwa na Adsense haimaanishi ndo tiketi ya kuingiza pesa. Maana ingekua hivyi isingekua inauzwa.

Jaribu kuanza mwenyewe, ili audience yako ikupatie toka mwanzo na sio otherwise. Ukiwa na kitu cha kuongezea, maswali, sehemu ya kunikosoa feel free.

In the meantime, nawasilisha.
Kainetics
 
View attachment 2327013

Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza pesa.

Kati ya wote ambao hupatwa na hili wazo, karibia asilimia 60% huendelea na kufungua channel husika ila ni wachache tu ambao huweza zipigisha hatua channel zao hadi kufikia malengo waliokuwa wamejiwekea kichwani either iwe ni kwa channel ya kawaida, au vlog. Labda ukianza kwa usahihi, na kuendesha channel yako kwa usahihi possibility ya kufikia kile unacholenga ni kubwa kuliko kuanza bila idea yoyote ile.

Hii ni kwa wote, either uwe unafanya kama hobby, kama biashara au kama namna ya kuingiza pesa kupitia Monetization ya Google Adsense.

Bila kupoteza muda, ntaongelea mambo yafuatayo;

Utangulizi: Kwanini Unataka Kuanzisha Channel

Mambo ya Msingi Unayopaswa Kufahamu Kabla

Kuanzisha Channel Kwenyewe

Kuendesha Channel Yako Kwa Akili

Namna Unavyoweza Jiingizia Pesa Kupitia Channel Husika

Itimisho

Utangulizi

Kabla hata hujajiridhisha unapaswa elewa pande zote mbili za sarafu. Upande wa kwanza ni kwa wewe mwenye Youtube Channel, kwanini unaianzisha? Upande wa pili ni kwako wewe pia kama mtumiaji wa kawaida wa Youtube; Huwa unatumia Youtube Kufanya Nini?

Hayo maswali mawili bdo yanadefine huu mtandao mkubwa unavyofanya kazi.

Upande wa Kwanza

Nikianza na kwanini watu huenda Youtube, priority kubwa ya kwanza huwa ni kutazama videos za nyimbo zetu pendwa. Hii ndo sababu kubwa inayoongoza maana hakuna app/tovuti nyingine ambayo imejikita kudistribute videos za nyimbo za wasanii.

Kwa wenzetu, sababu nyingine ambayo huendana na hio ya kwanza ni kupata Movie Teasers na Trailers. Hivi vinakua vijimatangazo vidogo vidogo vya filamu vinavyokufanya udecide kama utaenda kuitazama ikitoka au utaipuuza.

Sababu itakayofuata chini hapo ni kupata habari muda wowote ule bila kusubiria itangazwe kwenye Radio au TV. Ziwe ni za kisiasa, michezo, ma ceblrities, au breaking news za aina yeyote utazikuta Youtube.

Kwa wahindi na hata wanaigeria, baadhi ya makampuni chipukizi ya utengenzaji wa filamu huweka muvi zao zote complete Youtube, kurahisisha fans kuzitazama bure mwanzo mwishi bila kuzilipia ticket theater, kununua cd au kulipia streaming.

Sababu ni kibao, na zinaendelea. Unaweza tumia Yoytube kutazama vichekesho, kuafuatilia lifestyles za influencers wako pendwa. Kuchukua maoni ya wataalamu kabla hujanunua bidhaa husika mfano simu au tablet. Na pia kujifunza karibia kila aina ya skill unayoweza fikiria. Hio ni kwanini tunatumia Youtube.

Upande Wa Pili

Tukienda upande wa pili ni kwanini makampuni, wanamuziki, wakufunzi na watu kama mimi na wewe hufungua accounts za Youtube. Sababu na moja kabisa huwa ni hela. Youtube ni mtandao ambao ukiutumia vizuri unaweza kukuingizia hela kama Blog yako au hata zaidi.

Sababu nyingine kubwa ni kuweza kuwafikia fans wanaipenda kazi zako za ubunifu, uwe unaimba, unaigiza, una dance, una chora, ni seremala, unapika, etc. Kwenye Youtube unao uwezo wa kuwafikia maelfu ambao watakuwa interested na kufuatilia kile unachokifanya.

Sababu nyingine itakayokufanya ukute kampuni kama Apple, Samsung, Coca Cola au Marvel wana accounts za Youtube, ni kubuild brand awareness. Makampuni huanzisha hizi channel kuweza kutangaza bidhaa na huduma zao kwa umma. Maana wengi huutumia kuliko wanavyosoma radio au kusikiliza taarifa ya habari redioni.

Asilimia nyingine huanzisha channels kuspread awereness kuhusu topic zenye mashiko kwenye jamii, kuelimisha na hata kupata exposure. Ni mhimu kujua kwenye stage za mwanzoni kabisa wakati unaanza, kuwa nbali na kuingiza pesa, unaanzisha channel yako kwa madhumuni gani?

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Hujaanza

Nikukumbushe kuwa kuna maelfu ya Channels za Youtube kwa Tanzania peke n utakachokiweka kichwani ni kuwa ushindani ni wa kutosha. Bahati mbaya, Youtube sio kama Instagram au TikTok unakoweza kua discovered kwa Hashtags.

Algorithim yake ni tofauti kabisa, maana ina consider mambo kama video yako inatazamwa yote au kidogo na kurukwa. Inapata likes au dislikes nyingi, unaweza wa engage watu kwa muda gani mrefu na unawa engage vipi.

Ukiweza pass hizo mambo zote, ndipi video yakonitaanza kuwa suggested kwenye dashboard za wengine. Au kuonekana chini ya video za wengine under Related Videos.

Kitu kingine cha kuconsider ni utaongelea nini na style yako ya videos itakuweje. Zipo channel nyingi ambazo ni maarafu na watu hawajioneshi sura, mfano. The Story Book. Youtuber maarufu zaidi duniani anaonesha sura yake na kufanya mambi ya ajabu ajabu. Ila anaonekana.

Wapo wana channels zilizo kama video essays, wengine hurecord screen za computer zao wakicheza games. Na wengine wana channels ambako hawaonekani wala kuongea kabisa. Na bado ni maarufu. Jiulizs style yako itakuweje.

Hapo hapo kwenye style, unakumbuka nimekukumbusha kuna maelf ya channels kwa bongo peke ake? Well 85% ya hizo channels ni mbaya. Mbovu. Kuanzia kwenye video quality, audio quality na quality ya content zenyewe.

Pia kuna ujinga wa ClickBaits unatawala, ambapo title ya video na kile utakachokikuta ukiiplay haviendani kabisa . Kama unataka kuwa serious na kupata results nzuri kutoka kwenye channel yako, hakikisha audio quality iko poa. Video zako ziko fresh na zime editiwa vizuri. Pia jipe muda kuandika mambo utakayoongelea kwenye videos husika isionekane unafanya freestyling wakati wa kurecord.

Lastly, kwanini oitu ambacho ungekiongelea nsani ya dakika moja na kikaeleweka ukirefushe hadi dakika 15? Jiulize videos zote ambazo umezicancel kabla hata haijapita dakika moja , zilipokosea ndipo ukafix wewe.

Kwa Tanzania yetu hii kuna tatizo jingine la watu kujiita comedians. Unakuta jokes ni za kawaida mno, delivery iko poor, editing na sound quality pia mbovu.

Wanasahau kuwa kuna kitu inaitwa script, unakaa unazipangilia jokes na punchlines vizuri ndipo unaenda kuigiza. Unaweza ona channel kama Timamu Comedy, Oka Martin au Mark Angel Comedy wanaweka efforts kwenye kuandika skits zao ndo maana ziko tofauti kabisa ni hizi vitukimo tunazoona eti ni Comedy.

Kama unaweza andika hizo mambo na ukapata watu wa kuenact script yako. Potential iko kubwa hapo, pia.

Mwishi ni basics, nimesema quality ya audio iwe nzuri hivyi jichange ununue hata vi mini-mcroohine vya elfu kumi na tano. Kama videos zako zinajumuisha kujionesha sura ukiwa ndani, hakikisha setuo yako iko vizuri na kuna mwanga wa kutosha. Videos kuwa seamless jitafutie editor wa videos zako, au edit mwenyewe.

Hakikisha channel ina intro na Outro. Kila video ina Thumbanail ilotulia. Pia Channel nzima iwe na Channel Art. Tenga muda kuandika About iliyotulia. Na ukishatengeneza channel kunakitu inaitwa Channel Trailer. Kaandae vizuri ukaweke mtu ajue atakachokuwa anaenda pata kwenye channel yako straighton.

Kuna manbo sipaswi kukumbusha. Uwe na account ya Bank ya kupokelea hela, uwe na Sanduku la Posta kupokelea PIN , uwe na email , na namba ya simu. Uwe unafahamu channel itahusu nini. Uwe na jina la kuioa channel yako. Uwe na uelewa kuhusu mada husika.

Kwa kufanya hayo machache unakuwa already mbele ya channels hizo 85% zinazopuuza.

Kuanzisha Channel Yenyewe

Kuanzisha Channel ya Youtube Hakuna mambo mengi, maana unaweza ianzisha hata kwa simu moja kwa moja. Utakachofanya ni kuingia kwenye App ya Youtube, kugusa picha ya account yako na kugusa neno My Channel.

View attachment 2327026

Kama huna itakwambia Create New Channel ambapo utaipea jina and you'll be good to go.

View attachment 2327027

Humo humo kwenye Youtube App utaweza set mambo kama, picha ya Channel, kueka Channel Art na Channel Description + Important Links .

Kupata full creative control, nashauri kuyafanya mambo ya kumanage channel yako, kupitia pc. Maana settings nyingi utakazo kutana nazo hazipo kwenye App ya simu(Iwe ni Youtube Studio au Youtube App)

Kwa pc ni kuaccess link ya studio.youtube.com simple ivo.

Kama utakua ukitumia simu, hakikisha una basic applications kukufanya unauwezo wa kufanya chochote likija swaka zima la kuendesha channel yako.

View attachment 2327029

Kuendesha Channel Yako Kwa Akili

Zipo mambo kadhaa ambazo unapaswa kuzipa kipaumbele ili channel yako iweze endelea kukua na kuonekana professional.

Kuwa na siku maalumu za kupost ambazo Subscribers wako wanafahamu. Iwe ni Tuesday na Saturday. Wajulishe kupitia kwenye about Page yako.

Inspire maswali. Hakikisha videos zako ziko engaging. Watu wawe wanauwezo wa kucomment mambo wanayotaka ugusie kwenye videos zijazo, au maswali kuhusu video husika.

Kuwa na Community ya Channel Yako. Aidha liwe group la Facebook, WhatsApp au Telegram, ila hakikisha channel yako ina group ambako unaweza engage watu wako nje ya Youtube

Kua na constant design. Thumbnails zako zifanane, Intro iwage ile ile. Hakikisha rangi zinaenda na flow ya videos iwe ile ile.

Shorts. Namna rahisi ya kukuza Channel yako kabla hujaanza tengeneza content serious ni kwa kutumia Youtube Shorts. Hapa ni unatengeneza vertical videos fupi fupi na kuzipost zinaleta engagement na kuwafikia wengi haraka.

Kuwa specific. Kama unafundisha Mapishi baki huko huko usije anza kutoa ushauri sijui na kuhusu vitambi, etc. Kama unaongelea Mpira wa Miguu usije anza ongelea NBA.

Avoid ClickBaits. Hakikisha title za video zako zinaeleweka na zinaongelea kitu ambacho watakikuta kwenye video. Maana ukishamdqnganya mtu aka click viddo husika. Akikuta ulimdanganya harudi tena.

Namna Unazoweza Kuingiza Pesa Kupitia Channel Yako

Zipo namna kadhaa realistic unazoweza tumia kuingiza pesa kupitia channel yako lakini wengi hufocus na Adsense peke ake. Maana hakuna kitu poa kama kulipwa na Google wenyewe.

Kwa kuwa Adsense nishaiongelea kwenye post ya Blogging sitoionglea hapa tena. Unachopaswa fahamu ni ili uwe monetized lazima uwe na Subscribers 1,000 na Watchtime ya walau Masaa 4,000.

Namna ya pili unayoweza tumia kuingiza pesa ni kwa kupokea Tips, kwa wenzetu huwa ni derectly kupitia huduma kama BuyMeCoffee au Patreon. Ila kwa Tz unaweza weka namba ya simu au Lipa, na fans wako wa nguvu waka kusupport kwa namna hio.

Namna ya tatu unayoweza kuingiza pesa kupitia channel yako ni kupitia Sponsored Contents. Kama una audience ya kutosha makampuni kwenye Ninche yako au nyingine unaweza yafuats yakakupea kiasi kuongelea bidhaa zao kwenye channel yako.

Merch/Products. Kama una channel unakofundisha let's say Music Production, unaweza tengeneza Sample Pack na kuwauzia fans zako directly kupitia WhatsApp.

Itimisho

Mambo mengi huonekana mepesi in theory, hivyo hutoweza elewa kama idea yako ilikuwa poa au kiazi, kama hutoifanyia kazi.

Tumia muda mchache mno kuoanga mambo kwenye karatasi na instead, tumia muda mwingi kwenye kubuild hizo contents.

Pia kuna kitu nakutana nayo ya watu kutaka kununua channels au blogs zilizoungwa na Adsense tayari. Kisa imeungwa na Adsense haimaanishi ndo tiketi ya kuingiza pesa. Maana ingekua hivyi isingekua inauzwa.

Jaribu kuanza mwenyewe, ili audience yako ikupatie toka mwanzo na sio otherwise. Ukiwa na kitu cha kuongezea, maswali, sehemu ya kunikosoa feel free.

In the meantime, nawasilisha.
Kainetics
Siti ya dereva kabisa hapa
 
Spelling errors zitakuwemo nyingi nyingi. 🤓
Nitapita baadae kuedit.
 
Hapa ndio nmepata mwanga nina account yangu ina video mbli ila sijajua jins ya kukopi link ili kuisambaza via WhatsApp etc
 
View attachment 2327013

Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza pesa.

Kati ya wote ambao hupatwa na hili wazo, karibia asilimia 60% huendelea na kufungua channel husika ila ni wachache tu ambao huweza zipigisha hatua channel zao hadi kufikia malengo waliokuwa wamejiwekea kichwani either iwe ni kwa channel ya kawaida, au vlog. Labda ukianza kwa usahihi, na kuendesha channel yako kwa usahihi possibility ya kufikia kile unacholenga ni kubwa kuliko kuanza bila idea yoyote ile.

Hii ni kwa wote, either uwe unafanya kama hobby, kama biashara au kama namna ya kuingiza pesa kupitia Monetization ya Google Adsense.

Bila kupoteza muda, ntaongelea mambo yafuatayo;

🏷 Utangulizi: Kwanini Unataka Kuanzisha Channel

🏷 Mambo ya Msingi Unayopaswa Kufahamu Kabla

🏷 Kuanzisha Channel Kwenyewe

🏷 Kuendesha Channel Yako Kwa Akili

🏷 Namna Unavyoweza Jiingizia Pesa Kupitia Channel Husika

🏷 Itimisho

Utangulizi

Kabla hata hujajiridhisha unapaswa elewa pande zote mbili za sarafu. Upande wa kwanza ni kwa wewe mwenye Youtube Channel, kwanini unaianzisha? Upande wa pili ni kwako wewe pia kama mtumiaji wa kawaida wa Youtube; Huwa unatumia Youtube Kufanya Nini?

Hayo maswali mawili ndo yanadefine huu mtandao mkubwa unavyofanya kazi.

🎯 Upande wa Kwanza

Nikianza na kwanini watu huenda Youtube, priority kubwa ya kwanza huwa ni kutazama videos za nyimbo zetu pendwa. Hii ndo sababu kubwa inayoongoza maana hakuna app/tovuti nyingine ambayo imejikita kudistribute videos za nyimbo za wasanii.

Kwa wenzetu, sababu nyingine ambayo huendana na hio ya kwanza ni kupata Movie Teasers na Trailers. Hivi vinakua vijimatangazo vidogo vidogo vya filamu vinavyokufanya udecide kama utaenda kuitazama ikitoka au utaipuuza.

Sababu itakayofuata chini hapo ni kupata habari muda wowote ule bila kusubiria itangazwe kwenye Radio au TV. Ziwe ni za kisiasa, michezo, ma ceblrities, au breaking news za aina yeyote utazikuta Youtube.

Kwa wahindi na hata wanaigeria, baadhi ya makampuni chipukizi ya utengenzaji wa filamu huweka muvi zao zote complete Youtube, kurahisisha fans kuzitazama bure mwanzo mwishi bila kuzilipia ticket theater, kununua cd au kulipia streaming.

Sababu ni kibao, na zinaendelea. Unaweza tumia Youtube kutazama vichekesho, kuafuatilia lifestyles za influencers wako pendwa. Kuchukua maoni ya wataalamu kabla hujanunua bidhaa husika mfano simu au tablet. Na pia kujifunza karibia kila aina ya skill unayoweza fikiria. Hio ni kwanini tunatumia Youtube.

🎯 Upande Wa Pili

Tukienda upande wa pili ni kwanini makampuni, wanamuziki, wakufunzi na watu kama mimi na wewe hufungua accounts za Youtube. Sababu na moja kabisa huwa ni hela. Youtube ni mtandao ambao ukiutumia vizuri unaweza kukuingizia hela kama Blog yako au hata zaidi.

Sababu nyingine kubwa ni kuweza kuwafikia fans wanaipenda kazi zako za ubunifu, uwe unaimba, unaigiza, una dance, una chora, ni seremala, unapika, etc. Kwenye Youtube unao uwezo wa kuwafikia maelfu ambao watakuwa interested na kufuatilia kile unachokifanya.

Sababu nyingine itakayokufanya ukute kampuni kama Apple, Samsung, Coca Cola au Marvel wana accounts za Youtube, ni kubuild brand awareness. Makampuni huanzisha hizi channel kuweza kutangaza bidhaa na huduma zao kwa umma. Maana wengi huutumia kuliko wanavyosoma radio au kusikiliza taarifa ya habari redioni.

Asilimia nyingine huanzisha channels kuspread awereness kuhusu topic zenye mashiko kwenye jamii, kuelimisha na hata kupata exposure. Ni mhimu kujua kwenye stage za mwanzoni kabisa wakati unaanza, kuwa nbali na kuingiza pesa, unaanzisha channel yako kwa madhumuni gani?

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Hujaanza

✍ Nikukumbushe kuwa kuna maelfu ya Channels za Youtube kwa Tanzania peke na utakachokiweka kichwani ni kuwa ushindani ni wa kutosha. Bahati mbaya, Youtube sio kama Instagram au TikTok unakoweza kua discovered kwa Hashtags.

Algorithim yake ni tofauti kabisa, maana ina consider mambo kama video yako inatazamwa yote au kidogo na kurukwa. Inapata likes au dislikes nyingi, unaweza wa engage watu kwa muda gani mrefu na unawa engage vipi.

Ukiweza pass hizo mambo zote, ndipo video yako itaanza kuwa suggested kwenye dashboard za wengine. Au kuonekana chini ya video za wengine under Related Videos.

✍ Kitu kingine cha kuconsider ni utaongelea nini na style yako ya videos itakuweje. Zipo channel nyingi ambazo ni maarafu na watu hawajioneshi sura, mfano. The Story Book. Youtuber maarufu zaidi duniani anaonesha sura yake na kufanya mambo ya ajabu ajabu. Ila anaonekana.

Wapo wana channels zilizo kama video essays, wengine hu‐record screen za computer zao wakicheza games. Na wengine wana channels ambako hawaonekani wala kuongea kabisa. Na bado ni maarufu. Jiulize style yako itakuweje.

✍ Hapo hapo kwenye style, unakumbuka nimekukumbusha kuna maelfu ya channels kwa bongo peke ake? Well 85% ya hizo channels ni mbaya. Mbovu. Kuanzia kwenye video quality, audio quality na quality ya content zenyewe.

Pia kuna ujinga wa ClickBaits unatawala, ambapo title ya video na kile utakachokikuta ukiiplay haviendani kabisa . Kama unataka kuwa serious na kupata results nzuri kutoka kwenye channel yako, hakikisha audio quality iko poa. Video zako ziko fresh na zime editiwa vizuri. Pia jipe muda kuandika mambo utakayoongelea kwenye videos husika isionekane unafanya freestyling wakati wa kurecord.

Lastly, kwanini kitu ambacho ungekiongelea ndani ya dakika moja na kikaeleweka ukirefushe hadi dakika 15? Jiulize videos zote ambazo umezicancel kabla hata haijapita dakika moja , zilipokosea ndipo ukafix wewe.

Kwa Tanzania yetu hii kuna tatizo jingine la watu kujiita comedians. Unakuta jokes ni za kawaida mno, delivery iko poor, editing na sound quality pia mbovu.

Wanasahau kuwa kuna kitu inaitwa script, unakaa unazipangilia jokes na punchlines vizuri ndipo unaenda kuigiza. Unaweza ona channel kama Timamu Comedy, Oka Martin au Mark Angel Comedy wanaweka efforts kwenye kuandika skits zao ndo maana ziko tofauti kabisa ni hizi vitukimo tunazoona eti ni Comedy.

Kama unaweza andika hizo mambo na ukapata watu wa kuenact script yako. Potential iko kubwa hapo, pia.

✍ Mwishi ni basics, nimesema quality ya audio iwe nzuri hivyo jichange ununue hata vi mini-mcrophone vya elfu kumi na tano. Kama videos zako zinajumuisha kujionesha sura ukiwa ndani, hakikisha setup yako iko vizuri na kuna mwanga wa kutosha. Videos kuwa seamless jitafutie editor wa videos zako, au edit mwenyewe.

Hakikisha channel ina intro na Outro. Kila video ina Thumbanail ilotulia. Pia Channel nzima iwe na Channel Art. Tenga muda kuandika About iliyotulia. Na ukishatengeneza channel kunakitu inaitwa Channel Trailer. Kaandae vizuri ukaweke mtu ajue atakachokuwa anaenda pata kwenye channel yako straighton.

Kuna mambo sipaswi kukumbusha. Uwe na account ya Bank ya kupokelea hela, uwe na Sanduku la Posta kupokelea PIN , uwe na email , na namba ya simu. Uwe unafahamu channel itahusu nini. Uwe na jina la kuioa channel yako. Uwe na uelewa kuhusu mada husika.

Kwa kufanya hayo machache unakuwa already mbele ya channels hizo 85% zinazopuuza.

Kuanzisha Channel Yenyewe

Kuanzisha Channel ya Youtube Hakuna mambo mengi, maana unaweza ianzisha hata kwa simu moja kwa moja. Utakachofanya ni kuingia kwenye App ya Youtube, kugusa picha ya account yako na kugusa neno My Channel.

View attachment 2327026

Kama huna itakwambia Create New Channel ambapo utaipea jina and you'll be good to go.

View attachment 2327027

Humo humo kwenye Youtube App utaweza set mambo kama, picha ya Channel, kueka Channel Art na Channel Description + Important Links .

Kupata full creative control, nashauri kuyafanya mambo ya kumanage channel yako, kupitia pc. Maana settings nyingi utakazo kutana nazo hazipo kwenye App ya simu(Iwe ni Youtube Studio au Youtube App)

Kwa pc ni kuaccess link ya studio.youtube.com simple ivo.

Kama utakua ukitumia simu, hakikisha una basic applications kukufanya unauwezo wa kufanya chochote likija swaka zima la kuendesha channel yako.

View attachment 2327029

Kuendesha Channel Yako Kwa Akili

Zipo mambo kadhaa ambazo unapaswa kuzipa kipaumbele ili channel yako iweze endelea kukua na kuonekana professional.

✍ Kuwa na siku maalumu za kupost ambazo Subscribers wako wanafahamu. Iwe ni Tuesday na Saturday. Wajulishe kupitia kwenye about Page yako.

✍ Inspire maswali. Hakikisha videos zako ziko engaging. Watu wawe wanauwezo wa kucomment mambo wanayotaka ugusie kwenye videos zijazo, au maswali kuhusu video husika.

✍ Kuwa na Community ya Channel Yako. Aidha liwe group la Facebook, WhatsApp au Telegram, ila hakikisha channel yako ina group ambako unaweza engage watu wako nje ya Youtube

✍ Kua na constant design. Thumbnails zako zifanane, Intro iwage ile ile. Hakikisha rangi zinaenda na flow ya videos iwe ile ile.

✍ Shorts. Namna rahisi ya kukuza Channel yako kabla hujaanza tengeneza content serious ni kwa kutumia Youtube Shorts. Hapa ni unatengeneza vertical videos fupi fupi na kuzipost zinaleta engagement na kuwafikia wengi haraka.

✍ Kuwa specific. Kama unafundisha Mapishi baki huko huko usije anza kutoa ushauri sijui na kuhusu vitambi, etc. Kama unaongelea Mpira wa Miguu usije anza ongelea NBA.

✍ Avoid ClickBaits. Hakikisha title za video zako zinaeleweka na zinaongelea kitu ambacho watakikuta kwenye video. Maana ukishamdqnganya mtu aka click viddo husika. Akikuta ulimdanganya harudi tena.

Namna Unazoweza Kuingiza Pesa Kupitia Channel Yako

📦 Zipo namna kadhaa realistic unazoweza tumia kuingiza pesa kupitia channel yako lakini wengi hufocus na Adsense peke ake. Maana hakuna kitu poa kama kulipwa na Google wenyewe.

Kwa kuwa Adsense nishaiongelea kwenye post ya Blogging sitoionglea hapa tena. Unachopaswa fahamu ni ili uwe monetized lazima uwe na Subscribers 1,000 na Watchtime ya walau Masaa 4,000.

📦 Namna ya pili unayoweza tumia kuingiza pesa ni kwa kupokea Tips, kwa wenzetu huwa ni derectly kupitia huduma kama BuyMeCoffee au Patreon. Ila kwa Tz unaweza weka namba ya simu au Lipa, na fans wako wa nguvu waka kusupport kwa namna hio.

📦 Namna ya tatu unayoweza kuingiza pesa kupitia channel yako ni kupitia Sponsored Contents. Kama una audience ya kutosha makampuni kwenye Ninche yako au nyingine unaweza yafuats yakakupea kiasi kuongelea bidhaa zao kwenye channel yako.

📦 Merch/Products. Kama una channel unakofundisha let's say Music Production, unaweza tengeneza Sample Pack na kuwauzia fans zako directly kupitia WhatsApp.

Itimisho

Mambo mengi huonekana mepesi in theory, hivyo hutoweza elewa kama idea yako ilikuwa poa au kiazi, kama hutoifanyia kazi.

Tumia muda mchache mno kuoanga mambo kwenye karatasi na instead, tumia muda mwingi kwenye kubuild hizo contents.

Pia kuna kitu nakutana nayo ya watu kutaka kununua channels au blogs zilizoungwa na Adsense tayari. Kisa imeungwa na Adsense haimaanishi ndo tiketi ya kuingiza pesa. Maana ingekua hivyi isingekua inauzwa.

Jaribu kuanza mwenyewe, ili audience yako ikupatie toka mwanzo na sio otherwise. Ukiwa na kitu cha kuongezea, maswali, sehemu ya kunikosoa feel free.

In the meantime, nawasilisha.
Kainetics
Sawa Sawa
 
View attachment 2327013

Habari JamiiForums, natumai sote tu wazima. Wengi kwenye stage moja au nyingine washaingiwa na wazo la kuanzisha channel yao binafsi ya Youtube either kama hobbie au namna moja wapo ya kuingiza pesa.

Kati ya wote ambao hupatwa na hili wazo, karibia asilimia 60% huendelea na kufungua channel husika ila ni wachache tu ambao huweza zipigisha hatua channel zao hadi kufikia malengo waliokuwa wamejiwekea kichwani either iwe ni kwa channel ya kawaida, au vlog. Labda ukianza kwa usahihi, na kuendesha channel yako kwa usahihi possibility ya kufikia kile unacholenga ni kubwa kuliko kuanza bila idea yoyote ile.

Hii ni kwa wote, either uwe unafanya kama hobby, kama biashara au kama namna ya kuingiza pesa kupitia Monetization ya Google Adsense.

Bila kupoteza muda, ntaongelea mambo yafuatayo;

Utangulizi: Kwanini Unataka Kuanzisha Channel

Mambo ya Msingi Unayopaswa Kufahamu Kabla

Kuanzisha Channel Kwenyewe

Kuendesha Channel Yako Kwa Akili

Namna Unavyoweza Jiingizia Pesa Kupitia Channel Husika

Itimisho

Utangulizi

Kabla hata hujajiridhisha unapaswa elewa pande zote mbili za sarafu. Upande wa kwanza ni kwa wewe mwenye Youtube Channel, kwanini unaianzisha? Upande wa pili ni kwako wewe pia kama mtumiaji wa kawaida wa Youtube; Huwa unatumia Youtube Kufanya Nini?

Hayo maswali mawili ndo yanadefine huu mtandao mkubwa unavyofanya kazi.

Upande wa Kwanza

Nikianza na kwanini watu huenda Youtube, priority kubwa ya kwanza huwa ni kutazama videos za nyimbo zetu pendwa. Hii ndo sababu kubwa inayoongoza maana hakuna app/tovuti nyingine ambayo imejikita kudistribute videos za nyimbo za wasanii.

Kwa wenzetu, sababu nyingine ambayo huendana na hio ya kwanza ni kupata Movie Teasers na Trailers. Hivi vinakua vijimatangazo vidogo vidogo vya filamu vinavyokufanya udecide kama utaenda kuitazama ikitoka au utaipuuza.

Sababu itakayofuata chini hapo ni kupata habari muda wowote ule bila kusubiria itangazwe kwenye Radio au TV. Ziwe ni za kisiasa, michezo, ma ceblrities, au breaking news za aina yeyote utazikuta Youtube.

Kwa wahindi na hata wanaigeria, baadhi ya makampuni chipukizi ya utengenzaji wa filamu huweka muvi zao zote complete Youtube, kurahisisha fans kuzitazama bure mwanzo mwishi bila kuzilipia ticket theater, kununua cd au kulipia streaming.

Sababu ni kibao, na zinaendelea. Unaweza tumia Youtube kutazama vichekesho, kuafuatilia lifestyles za influencers wako pendwa. Kuchukua maoni ya wataalamu kabla hujanunua bidhaa husika mfano simu au tablet. Na pia kujifunza karibia kila aina ya skill unayoweza fikiria. Hio ni kwanini tunatumia Youtube.

Upande Wa Pili

Tukienda upande wa pili ni kwanini makampuni, wanamuziki, wakufunzi na watu kama mimi na wewe hufungua accounts za Youtube. Sababu na moja kabisa huwa ni hela. Youtube ni mtandao ambao ukiutumia vizuri unaweza kukuingizia hela kama Blog yako au hata zaidi.

Sababu nyingine kubwa ni kuweza kuwafikia fans wanaipenda kazi zako za ubunifu, uwe unaimba, unaigiza, una dance, una chora, ni seremala, unapika, etc. Kwenye Youtube unao uwezo wa kuwafikia maelfu ambao watakuwa interested na kufuatilia kile unachokifanya.

Sababu nyingine itakayokufanya ukute kampuni kama Apple, Samsung, Coca Cola au Marvel wana accounts za Youtube, ni kubuild brand awareness. Makampuni huanzisha hizi channel kuweza kutangaza bidhaa na huduma zao kwa umma. Maana wengi huutumia kuliko wanavyosoma radio au kusikiliza taarifa ya habari redioni.

Asilimia nyingine huanzisha channels kuspread awereness kuhusu topic zenye mashiko kwenye jamii, kuelimisha na hata kupata exposure. Ni mhimu kujua kwenye stage za mwanzoni kabisa wakati unaanza, kuwa nbali na kuingiza pesa, unaanzisha channel yako kwa madhumuni gani?

Mambo Ya Kuzingatia Kabla Hujaanza

Nikukumbushe kuwa kuna maelfu ya Channels za Youtube kwa Tanzania peke na utakachokiweka kichwani ni kuwa ushindani ni wa kutosha. Bahati mbaya, Youtube sio kama Instagram au TikTok unakoweza kua discovered kwa Hashtags.

Algorithim yake ni tofauti kabisa, maana ina consider mambo kama video yako inatazamwa yote au kidogo na kurukwa. Inapata likes au dislikes nyingi, unaweza wa engage watu kwa muda gani mrefu na unawa engage vipi.

Ukiweza pass hizo mambo zote, ndipo video yako itaanza kuwa suggested kwenye dashboard za wengine. Au kuonekana chini ya video za wengine under Related Videos.

Kitu kingine cha kuconsider ni utaongelea nini na style yako ya videos itakuweje. Zipo channel nyingi ambazo ni maarafu na watu hawajioneshi sura, mfano. The Story Book. Youtuber maarufu zaidi duniani anaonesha sura yake na kufanya mambo ya ajabu ajabu. Ila anaonekana.

Wapo wana channels zilizo kama video essays, wengine hu‐record screen za computer zao wakicheza games. Na wengine wana channels ambako hawaonekani wala kuongea kabisa. Na bado ni maarufu. Jiulize style yako itakuweje.

Hapo hapo kwenye style, unakumbuka nimekukumbusha kuna maelfu ya channels kwa bongo peke ake? Well 85% ya hizo channels ni mbaya. Mbovu. Kuanzia kwenye video quality, audio quality na quality ya content zenyewe.

Pia kuna ujinga wa ClickBaits unatawala, ambapo title ya video na kile utakachokikuta ukiiplay haviendani kabisa . Kama unataka kuwa serious na kupata results nzuri kutoka kwenye channel yako, hakikisha audio quality iko poa. Video zako ziko fresh na zime editiwa vizuri. Pia jipe muda kuandika mambo utakayoongelea kwenye videos husika isionekane unafanya freestyling wakati wa kurecord.

Lastly, kwanini kitu ambacho ungekiongelea ndani ya dakika moja na kikaeleweka ukirefushe hadi dakika 15? Jiulize videos zote ambazo umezicancel kabla hata haijapita dakika moja , zilipokosea ndipo ukafix wewe.

Kwa Tanzania yetu hii kuna tatizo jingine la watu kujiita comedians. Unakuta jokes ni za kawaida mno, delivery iko poor, editing na sound quality pia mbovu.

Wanasahau kuwa kuna kitu inaitwa script, unakaa unazipangilia jokes na punchlines vizuri ndipo unaenda kuigiza. Unaweza ona channel kama Timamu Comedy, Oka Martin au Mark Angel Comedy wanaweka efforts kwenye kuandika skits zao ndo maana ziko tofauti kabisa ni hizi vitukimo tunazoona eti ni Comedy.

Kama unaweza andika hizo mambo na ukapata watu wa kuenact script yako. Potential iko kubwa hapo, pia.

Mwishi ni basics, nimesema quality ya audio iwe nzuri hivyo jichange ununue hata vi mini-mcrophone vya elfu kumi na tano. Kama videos zako zinajumuisha kujionesha sura ukiwa ndani, hakikisha setup yako iko vizuri na kuna mwanga wa kutosha. Videos kuwa seamless jitafutie editor wa videos zako, au edit mwenyewe.

Hakikisha channel ina intro na Outro. Kila video ina Thumbanail ilotulia. Pia Channel nzima iwe na Channel Art. Tenga muda kuandika About iliyotulia. Na ukishatengeneza channel kunakitu inaitwa Channel Trailer. Kaandae vizuri ukaweke mtu ajue atakachokuwa anaenda pata kwenye channel yako straighton.

Kuna mambo sipaswi kukumbusha. Uwe na account ya Bank ya kupokelea hela, uwe na Sanduku la Posta kupokelea PIN , uwe na email , na namba ya simu. Uwe unafahamu channel itahusu nini. Uwe na jina la kuioa channel yako. Uwe na uelewa kuhusu mada husika.

Kwa kufanya hayo machache unakuwa already mbele ya channels hizo 85% zinazopuuza.

Kuanzisha Channel Yenyewe

Kuanzisha Channel ya Youtube Hakuna mambo mengi, maana unaweza ianzisha hata kwa simu moja kwa moja. Utakachofanya ni kuingia kwenye App ya Youtube, kugusa picha ya account yako na kugusa neno My Channel.

View attachment 2327026

Kama huna itakwambia Create New Channel ambapo utaipea jina and you'll be good to go.

View attachment 2327027

Humo humo kwenye Youtube App utaweza set mambo kama, picha ya Channel, kueka Channel Art na Channel Description + Important Links .

Kupata full creative control, nashauri kuyafanya mambo ya kumanage channel yako, kupitia pc. Maana settings nyingi utakazo kutana nazo hazipo kwenye App ya simu(Iwe ni Youtube Studio au Youtube App)

Kwa pc ni kuaccess link ya studio.youtube.com simple ivo.

Kama utakua ukitumia simu, hakikisha una basic applications kukufanya unauwezo wa kufanya chochote likija swaka zima la kuendesha channel yako.

View attachment 2327029

Kuendesha Channel Yako Kwa Akili

Zipo mambo kadhaa ambazo unapaswa kuzipa kipaumbele ili channel yako iweze endelea kukua na kuonekana professional.

Kuwa na siku maalumu za kupost ambazo Subscribers wako wanafahamu. Iwe ni Tuesday na Saturday. Wajulishe kupitia kwenye about Page yako.

Inspire maswali. Hakikisha videos zako ziko engaging. Watu wawe wanauwezo wa kucomment mambo wanayotaka ugusie kwenye videos zijazo, au maswali kuhusu video husika.

Kuwa na Community ya Channel Yako. Aidha liwe group la Facebook, WhatsApp au Telegram, ila hakikisha channel yako ina group ambako unaweza engage watu wako nje ya Youtube

Kua na constant design. Thumbnails zako zifanane, Intro iwage ile ile. Hakikisha rangi zinaenda na flow ya videos iwe ile ile.

Shorts. Namna rahisi ya kukuza Channel yako kabla hujaanza tengeneza content serious ni kwa kutumia Youtube Shorts. Hapa ni unatengeneza vertical videos fupi fupi na kuzipost zinaleta engagement na kuwafikia wengi haraka.

Kuwa specific. Kama unafundisha Mapishi baki huko huko usije anza kutoa ushauri sijui na kuhusu vitambi, etc. Kama unaongelea Mpira wa Miguu usije anza ongelea NBA.

Avoid ClickBaits. Hakikisha title za video zako zinaeleweka na zinaongelea kitu ambacho watakikuta kwenye video. Maana ukishamdqnganya mtu aka click viddo husika. Akikuta ulimdanganya harudi tena.

Namna Unazoweza Kuingiza Pesa Kupitia Channel Yako

Zipo namna kadhaa realistic unazoweza tumia kuingiza pesa kupitia channel yako lakini wengi hufocus na Adsense peke ake. Maana hakuna kitu poa kama kulipwa na Google wenyewe.

Kwa kuwa Adsense nishaiongelea kwenye post ya Blogging sitoionglea hapa tena. Unachopaswa fahamu ni ili uwe monetized lazima uwe na Subscribers 1,000 na Watchtime ya walau Masaa 4,000.

Namna ya pili unayoweza tumia kuingiza pesa ni kwa kupokea Tips, kwa wenzetu huwa ni derectly kupitia huduma kama BuyMeCoffee au Patreon. Ila kwa Tz unaweza weka namba ya simu au Lipa, na fans wako wa nguvu waka kusupport kwa namna hio.

Namna ya tatu unayoweza kuingiza pesa kupitia channel yako ni kupitia Sponsored Contents. Kama una audience ya kutosha makampuni kwenye Ninche yako au nyingine unaweza yafuats yakakupea kiasi kuongelea bidhaa zao kwenye channel yako.

Merch/Products. Kama una channel unakofundisha let's say Music Production, unaweza tengeneza Sample Pack na kuwauzia fans zako directly kupitia WhatsApp.

Itimisho

Mambo mengi huonekana mepesi in theory, hivyo hutoweza elewa kama idea yako ilikuwa poa au kiazi, kama hutoifanyia kazi.

Tumia muda mchache mno kuoanga mambo kwenye karatasi na instead, tumia muda mwingi kwenye kubuild hizo contents.

Pia kuna kitu nakutana nayo ya watu kutaka kununua channels au blogs zilizoungwa na Adsense tayari. Kisa imeungwa na Adsense haimaanishi ndo tiketi ya kuingiza pesa. Maana ingekua hivyi isingekua inauzwa.

Jaribu kuanza mwenyewe, ili audience yako ikupatie toka mwanzo na sio otherwise. Ukiwa na kitu cha kuongezea, maswali, sehemu ya kunikosoa feel free.

In the meantime, nawasilisha.
Kainetics

Ngoji nianzishe na mimi,,nitaleta mrejesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom