VIDEO: Dereva wa Mwendokasi agoma kuendesha bus akidai katukanwa

Bora ye aligoma mwingine angeua mtu
Tuache kudhalauliana kujifanya wewe bora kuliko mwenzako
 
Muwe nao makini tu mnapowatukana hivyo kwani 90% ni Wajeda ( JWTZ ) na kuna Mmoja ni Dereva wa Basi za Morocco Kivukoni huko Jeshini ametokea Kikosi cha Mabondia na anapiga zile Ngumi za Kijeshi ( za Kuua ) tu na siyo hizi za huyu Mpuuzi wenu Mandonga ambazo zake zimekaa Kikomediani zaidi.

Msije kusema sikuwaonyeni mapema.
 
Hakuna tusi duniani,kilaneno unalotamkiwa ni wewe tu vile unalichukulia uzito....hata utamkiwe vipi always be u
 
Kuna mmoja alirudisha gari gerezani tulikuwa tumeshafika fire tunaenda kimara kisa eti watu wamezuia mlango kufungukaa..?? hao madereva sijui wanajikutaga kina nanii yani ni moja wa wafanyakazi wapuuzi sana hii nchi utadhani magari ni yaooo.... wanajikuta na vihasira uchwaroo na kuzira kama wanawake.
 
Wengi wao watakuwa hawafiki kileleni ndio chanzo za hizo hasira zao.
 
Back
Top Bottom