kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tujihadhari tunapoendelea kujaza uwanja wa Mkapa kuzidi uwezo wake

    Mainjinia waliochora na kuujenga uwanja wa Ben Mkapa walijenga uwanja huo kwa uwezo wa kuchukua uwezo siyo tu wa idadi ya mashabiki wanaotajwa wa 60,000 lakini pia makadirio ya uzito fulani. Ni kawaida kwenye mechi kubwa, mfano kama shughuli ya jana ya Simba Day kwa watu kuingizwa kuzidi idadi...
  2. Daktari: Kama una Kilo kuanzia 80 na kuendelea unatakiwa kuwekewa Puto la Kupunguza Uzito

    Madaktari Bingwa Dr. Eliasa Mkongo , Dr. Edwin Muhondezi. pamoja na Dr. Eric Muhumba (Surgeon) ambao ni Madaktari Bingwa wazawa Wakizungumzia Namna Uwekaji Puto Ndani Ya Tumbo unavtofanyika, watu gani wapaswa kuwekewa na Faida na Hasara Zake.
  3. Kuendelea kuungua kwa magari aina ya Nissan Dualis nchini Tanzania

    Mtu mmoja Mwajuma Mohamed mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Veta Jijini Mbeya amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo Julai 31 baada ya gari alilokuwa akiendesha aina ya Nissan Dualis kuteketea kwa moto katika eneo la Kabwe kata ya Iyela Jijini Mbeya Afisa habari wa Jeshi la Zimamoto na uokoaji...
  4. Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

    Nimepokea sms ya AzamTv kuhusu kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 01/08/2023. Mkeka ni kama ifuatavyo;
  5. Kwanini unaogopa kupanga vyumba vya laki moja kuendelea au nyumba nzima?

    Salaam.... Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima. Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha. Wewe ni Graduate au...
  6. Sioni umuhimu wa kuendelea kuwa mamlaka ya vitambulisho taifa(NIDA) ifutwe tu! Imeshindwa kazi!

    Inasikitisha, kama si kuchekesha!. Hivi kweli tuko serious kama TAIFA!? Ama kila kitu kinafanywa kwa mazoea? TAIFA lenye watu zaidi ya watu mil 60, tunashindwa kitu kidogo kama hichi? Hii ni aibu! Ama huu ni mradi endelevu wa mkubwa fulani!? Mbona tunapiga sana kelele kuhusu mamlaka ya NIDA...
  7. Muafrika hawezi kuendelea asipoachana na hizi dini za wageni

    Hello wakuu. Nyerere aliwahi kusema anashangaa wanyonge wanatengana wakati wenye nguvu wanaungana kumtawala mnyonge. Umoja ni nguvu, Afrika haiwezi kujitawala tusipokuwa wamoja. Huwa inaniuma sana kuona vijana kwa wazee wa kike kwa kiume wote wenye ngozi nyeusi wakitukanana, wakibaguana na...
  8. Kuendelea kulalamika kwenye social media kuhusu bandari kutawashitua watawala?

    Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli? Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
  9. N

    Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  10. Mwaka 2019, DP World iliripotiwa kutumia Rushwa ili kupata Udhibiti wa Bandari ya Walvis Namibia

    Mnamo mwaka wa 2019, DP World, mwendeshaji wa bandari inayomilikiwa na Dubai, chini ya uangalizi wa Sultan Bin Sulayem, kwa msaada kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uchukuzi, Willem Goeimann alipanga mpango wa kupata udhibiti wa kituo kipya cha kontena cha Walvis Bay kilichojengwa cha...
  11. Kiongozi wa Wagner apatwa na hasira baada ya Ukraine kuendelea kurejesha ardhi ya Bakhmut

    Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi...
  12. SoC03 Kuendelea kwa teknolojia: Mabadiliko makubwa na athari zake

    Kichwa cha Habari: "Kuendelea Kwa Teknolojia: Mabadiliko Makubwa na Athari Zake" Teknolojia imekuwa mhimili muhimu katika maendeleo ya kisasa na imeathiri kila nyanja ya maisha yetu. Leo hii, tuko katika wakati ambapo mabadiliko makubwa yanachipuka katika teknolojia, na athari zake zinaonekana...
  13. Mbunge wa Nanyamba Abdallah Chikota Ametaka Watu wa Mikoa ya Lindi na Mtwara Kuendelea Kushirikishwa Katika Mradi wa Gesi Asilia Iliyosindikwa (LNG)

    MBUNGE ABDALLAH CHIKOTA ATAKA USHIRIKISHWAJI MRADI WA GESI ASILIA WA LNG Mbunge wa Nanyamba (CCM) Abdallah Chikota ametaka watu wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuendelea kushirikishwa katika mradi wa Gesi asilia iliyosindikwa (LNG) kwasababu yapo mambo mengi yanayohitaji ushirikishwaji. Chikota...
  14. Baada ya miaka 20 na kuendelea tutakua na jamii ya hovyo sana na baadhi ya KOO hazitakuwepo.

    Habari za leo ndugu wana jukwaa,nimekaa hapa natafakari haya maisha ya Karne yetu sijui tunaenda wapi,kuna baadhi ya mambo yanatafakarisha sana hasa nikiwaangalia hawa wanangu na ulimwengu unavyo kwenda kasi. Moja; mtu tajiri duniani Bwana Musk yeye ana...
  15. Kuendelea kuimba na kusifu maridhiano wakati viti maalumu waliojiweka wakiendelea kuwa bungeni. Anayewaelewa CHADEMA aje apa afafanue

    Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM. Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi...
  16. Mahmoud Ahmadnejad: Rais aliyekataa mshahara mkubwa na kuendelea kupokea mshahara wa mwalimu na kurudi na kufundisha baada ya miaka 8 ya urais

    Mwanaume Aliyeitawala Iran kwa Miaka 8 akiingia kwenye Basi kwenda Kazini kama mwalimu, kazi yake kabla hajawa rais. Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, ambaye aliongoza taifa la Iran kwa miaka 8, sasa anafanya kazi kama mwalimu. Picha ya Ahmadinejad akitumia usafiri wa umma ilionekana...
  17. F

    Hatuwezi kuendelea kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani

    Mgogoro wa wafanyabiashara Kariakoo unatokana kwa kiasi flani na mazoea ya viongozi wetu kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani. Tangu lini tamko la kiongozi jukwaani likawa sheria? Jambo kubwa kama ukusanyaji wa kodi na msamaha wa kodi kwa miaka 3-5 linatamkwa tu jukwaani bila maandishi...
  18. Serikali Kuendelea Kufanya Tathmini ya Maeneo Yaliyopata Athari za Mafuriko

    SERIKALI KUENDELEA KUFANYA TATHMINI YA KINA KATIKA MAENEO YALIYOPATA ATHARI ZA MAFURIKO Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali bungeni amesema Serikali kuendelea kufanya tathmini katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko. Serikali...
  19. K

    WAGNER PMC kuendelea na Vita Ukraine!

    Habari za hivi punde ni kua mmiliki wa WAGNER PMC amesema ameahidiwa na serikali ya Urusi (Shoigu) kupatiwa silaha kadri atakavyo na wataendelea na operation zao za kijeshi nchini Ukraine. Haya yanajiri baada ya hivi karibuni bwana Prigozhin kutoa tamko la kuondoa wanajeshi wake kutokana na...
  20. Je, ni halali sehemu za starehe Ma DJs kupiga nyimbo za hovy na mbaya watakavyo kisa wameweka ratiba mziki wenye vybez upigwe saa7;usiku na kuendelea?

    Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja. Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏 Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…