Wananchi Wavamia maeneo ya Maji, Mgomo wa Maji waendelea na maji kuendelea kwenye mkondo wake

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411

WhatsApp Image 2024-01-21 at 15.40.35.jpeg

Watu wakiwa wamefurika katika makazi ya maji eneo la Boko Basiaya kutokana na kungangania maeneo ya Dar es salaam na kuacha fursa na mashamba mikoani.

Mvua zilizonyesha mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam zimejielekeza kwenye mikondo yake na kusafisha baadhi ya mikpndo yake ikiwa ni mito na mitaro na kuvunja kuta ambazo wanadamu walijaribu kuharibu kwa kubadilisha uelekeo.

Ikumbikwe Mungu aliumba nchi na bahari, wanadamu walipewa nchi kavu na maji yakapewa bahari, ukigeuza makazi yake, maji yakaelekezwa kwenye mabonde na mito iwe njia ya kwendea baharini ila uchu wa SErikali na watendaji wake toka 1961 wamekuwa wakivamia maji, kuyanyima pumzi na kuyaelekeza uelekeo mwengine.
Mtu mmoja alisikika akiomba maji yaheshimu njia yakiyopangiwa na Mungu na kuja kwa woingi na kupita njia zake za asili.

Wakazi wa maeneo hayo wamelazimika kuhama nyumba zao na kuomba hifadhi kwa majirani.
 
View attachment 2881164

Basiaya, tusikubali yaishe.
 
Ila watu wa Dar buana. Hizo nyumba zilizozingirwa wenyewe wakija huku mikoani utasikia anatamba eti ana nyumba Dar. Kumbe dalali alipokuwa anawauzia hivyo viwanja wanunuzi waliambiwa maji hapa ni ya uhakika. Nao wanunuzi hawamuelewa dalali vizuri kuwa nia maji yapi.
 
Back
Top Bottom