kuendelea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

    Nimepokea sms ya AzamTv kuhusu kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 01/08/2023. Mkeka ni kama ifuatavyo;
  2. The Eric

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaogopa kupanga vyumba vya laki moja kuendelea au nyumba nzima?

    Salaam.... Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima. Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye chumba kimoja kwani atachelewa sana kwenye mafanikio na fikira za kimaisha. Wewe ni Graduate au...
  3. JITU BANDIA

    JamiiForums Tanzania Sioni umuhimu wa kuendelea kuwa mamlaka ya vitambulisho taifa(NIDA) ifutwe tu! Imeshindwa kazi!

    Inasikitisha, kama si kuchekesha!. Hivi kweli tuko serious kama TAIFA!? Ama kila kitu kinafanywa kwa mazoea? TAIFA lenye watu zaidi ya watu mil 60, tunashindwa kitu kidogo kama hichi? Hii ni aibu! Ama huu ni mradi endelevu wa mkubwa fulani!? Mbona tunapiga sana kelele kuhusu mamlaka ya NIDA...
  4. Afrocentric view

    JamiiForums Tanzania Muafrika hawezi kuendelea asipoachana na hizi dini za wageni

    Hello wakuu. Nyerere aliwahi kusema anashangaa wanyonge wanatengana wakati wenye nguvu wanaungana kumtawala mnyonge. Umoja ni nguvu, Afrika haiwezi kujitawala tusipokuwa wamoja. Huwa inaniuma sana kuona vijana kwa wazee wa kike kwa kiume wote wenye ngozi nyeusi wakitukanana, wakibaguana na...
  5. Njegele

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kulalamika kwenye social media kuhusu bandari kutawashitua watawala?

    Kwenye social media kwa kiwango kikubwa mijadala ni kuhusu mkataba wa bandari. Sasa najiuliza hizi kelele tunazopiga kwenye social media zitasaidia kweli? Au tunajadili Ili kuriwadha mioyo yetu? Ikiwa tayari Tulia na rafiki zake wameshaafiki.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Zanzibar kuendelea kunufaika na karafuu ya Morogoro, wakatazwa isiuzwe kwa ushindani, Waziri wa Kilimo, viwanda SMZ yuko Morogoro leo

    Juhudi za Mkoa wa Morogoro kuwakwamua wakulima wa karafuu kupata mnunuzi mwenye bei nzuri zimegonga mwamba baada ya kulazimishwa kuwa lazima karafuu inayozalishwa Morogoro basi iuzwe kwa SMZ ili wao wauze nje kwa bei kubwa zaidi. Kwa wasiojua, Morogoro vijijini wanazalisha karafuu nyingi kuliko...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2019, DP World iliripotiwa kutumia Rushwa ili kupata Udhibiti wa Bandari ya Walvis Namibia

    Mnamo mwaka wa 2019, DP World, mwendeshaji wa bandari inayomilikiwa na Dubai, chini ya uangalizi wa Sultan Bin Sulayem, kwa msaada kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa Uchukuzi, Willem Goeimann alipanga mpango wa kupata udhibiti wa kituo kipya cha kontena cha Walvis Bay kilichojengwa cha...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wagner apatwa na hasira baada ya Ukraine kuendelea kurejesha ardhi ya Bakhmut

    Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi...
  9. Kabula Hamis

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuendelea kwa teknolojia: Mabadiliko makubwa na athari zake

    Kichwa cha Habari: "Kuendelea Kwa Teknolojia: Mabadiliko Makubwa na Athari Zake" Teknolojia imekuwa mhimili muhimu katika maendeleo ya kisasa na imeathiri kila nyanja ya maisha yetu. Leo hii, tuko katika wakati ambapo mabadiliko makubwa yanachipuka katika teknolojia, na athari zake zinaonekana...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nanyamba Abdallah Chikota Ametaka Watu wa Mikoa ya Lindi na Mtwara Kuendelea Kushirikishwa Katika Mradi wa Gesi Asilia Iliyosindikwa (LNG)

    MBUNGE ABDALLAH CHIKOTA ATAKA USHIRIKISHWAJI MRADI WA GESI ASILIA WA LNG Mbunge wa Nanyamba (CCM) Abdallah Chikota ametaka watu wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuendelea kushirikishwa katika mradi wa Gesi asilia iliyosindikwa (LNG) kwasababu yapo mambo mengi yanayohitaji ushirikishwaji. Chikota...
  11. Lamisele

    JamiiForums Tanzania Baada ya miaka 20 na kuendelea tutakua na jamii ya hovyo sana na baadhi ya KOO hazitakuwepo.

    Habari za leo ndugu wana jukwaa,nimekaa hapa natafakari haya maisha ya Karne yetu sijui tunaenda wapi,kuna baadhi ya mambo yanatafakarisha sana hasa nikiwaangalia hawa wanangu na ulimwengu unavyo kwenda kasi. Moja; mtu tajiri duniani Bwana Musk yeye ana...
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kuendelea kuimba na kusifu maridhiano wakati viti maalumu waliojiweka wakiendelea kuwa bungeni. Anayewaelewa CHADEMA aje apa afafanue

    Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM. Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi...
  13. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Mahmoud Ahmadnejad: Rais aliyekataa mshahara mkubwa na kuendelea kupokea mshahara wa mwalimu na kurudi na kufundisha baada ya miaka 8 ya urais

    Mwanaume Aliyeitawala Iran kwa Miaka 8 akiingia kwenye Basi kwenda Kazini kama mwalimu, kazi yake kabla hajawa rais. Rais wa zamani wa Iran Mahmoud Ahmadinejad, ambaye aliongoza taifa la Iran kwa miaka 8, sasa anafanya kazi kama mwalimu. Picha ya Ahmadinejad akitumia usafiri wa umma ilionekana...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hatuwezi kuendelea kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani

    Mgogoro wa wafanyabiashara Kariakoo unatokana kwa kiasi flani na mazoea ya viongozi wetu kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani. Tangu lini tamko la kiongozi jukwaani likawa sheria? Jambo kubwa kama ukusanyaji wa kodi na msamaha wa kodi kwa miaka 3-5 linatamkwa tu jukwaani bila maandishi...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuendelea Kufanya Tathmini ya Maeneo Yaliyopata Athari za Mafuriko

    SERIKALI KUENDELEA KUFANYA TATHMINI YA KINA KATIKA MAENEO YALIYOPATA ATHARI ZA MAFURIKO Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akijibu maswali bungeni amesema Serikali kuendelea kufanya tathmini katika maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko. Serikali...
  16. K

    JamiiForums Tanzania WAGNER PMC kuendelea na Vita Ukraine!

    Habari za hivi punde ni kua mmiliki wa WAGNER PMC amesema ameahidiwa na serikali ya Urusi (Shoigu) kupatiwa silaha kadri atakavyo na wataendelea na operation zao za kijeshi nchini Ukraine. Haya yanajiri baada ya hivi karibuni bwana Prigozhin kutoa tamko la kuondoa wanajeshi wake kutokana na...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali sehemu za starehe Ma DJs kupiga nyimbo za hovy na mbaya watakavyo kisa wameweka ratiba mziki wenye vybez upigwe saa7;usiku na kuendelea?

    Tanzania ni nchi pekee ambayo mtoa huduma ni boss kwa mteja, na maboss wamiliki hawajali chochote kuhusu wateja. Arusha wako vizuri hapa hawasiki nawakubali 🙏🙏🙏 Mimi mpambanaji, mjasiliamali, niliejipambanua kutafuta pesa Kama kipaumbele changu kwa mawanda mapama kwa sekta mseyo, ambaye...
  18. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Tunapaswa kuendelea kuswali tukiangalia upande wa Qibla?

    Tunapaswa kuswali tukiangalia Qibla, Science ikithibitisha uwepo wa viumbe/binadamu kwenye nyota nyingine tutaswali tukiangalia wapi? Ni swali ambalo nilipata baada ya kuona uzi aliopost bwana mdukuzi alipofanya udukuzi ambao sijathibitisha ukweli wake kwamba "Waislam wa Bara Hawajui Qibla Iko...
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Kundi la NRA lakiri kumuua mwana-propaganda wa Urusi, na kuendelea kuwasaka wote

    Hili kundi la Warusi wanaompinga Putin limeapa kuwasaka propagandist wa Putin mmoja baada ya mwingine.... The National Republican Army has claimed responsibility for arranging the murder of propagandist Vladlen Tatarsky. Quote from the National Republican Army: "On 2 April 2023, we organised...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya CAG kuendelea kuibua upigaji wa pesa za umma tozo zisitishwe

    Habari wakuu wa JF, Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi hazitakuwa na msaada wowote kwao zaidi ya kuendelea kuwaneemesha wazee wa ku inflate invoice...
Back
Top Bottom