Majaliwa & Kinana: Washauri CCM itoe Fomu 1 ya Mgombea Urais 2025.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili.

View: https://www.instagram.com/p/C1mxNWoAY4d/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake
Screenshot_20240102-195853.jpg
 
Hahahhaha safi sana, kuna watu humu walikua wanapiga kelele sijui the State imeanda mgombea, sijui Samia hawezi chukua fomu, sijui kuna wazee wameshauri jina la mgombea. Hii precedence aliifanya JPM 2020 kwa kufukuza wote waliotaka kugombea 2020 sasa wembe ule ule unatumika kwa sukuma gang wataotaka fomu 2025
 
Rais ndio the State ,hizo zingine ni porojo za kufanya siku iende
 
Kwa Mujibu wa Kinana na Majaliwa mwaka 2025 CCM itatoa fomu Moja tuu ya mgombea Urais Kwa sababu ni utamaduni wa ccm mgombea Rais lazima aendelee kuwa mgombea Kwa awamu ya Pili.

View: https://www.instagram.com/p/C1mxNWoAY4d/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

My Take
Utaratibu wa fomu Moja alianzisha Mwendazake
View attachment 2860314

Hii nzuri sana ila pia atambue hata asipokuwa next PM asikonde, sio kama hakuwa mchapakazi la hasha ni mchapakazi kweli kweli ila tu ni maono ya dereva ambaye yeye anaona mbele na ndio mwenye jukumu la kutufikisha nchi inapotaka
 
PM ameshakuwa Kwa miaka 10,chance aliyonayo in future ni kuwa VP au kuwa Mwenyekiti wa Bodi au Mkuu wa Chuo ambayo ndio nzuri Kwa Cheo chake kuliko kuwa Mwenyekiti wa Board ambayo Rais anaweza ijenga.

Pia Rais anaweza unda jopo analoona yeye linafaa akawa Mwenyekiti kama ilivyo Kwa Katibu Mkuu mstaafu Sefue.
 
Back
Top Bottom