kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia ingilia kati rushwa zinazofanywa na hakimu wa wilaya Chato. Mkurugenzi wa PCCB amefeli kuchukua hatua. Ni juu ya uvuvi haramu Rubondo

    Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote. Rushwa zinafanyika hadharani. Kaburu ndio wakala wa huyu hakimu mfawidhi. Wavuvi haramu wanaoingia...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali Yaahidi Kuchukua Hatua Kali za Kisheria kwa Mabaraza Yanayofanya Maamuzi ya Migogoro ya Ardhi kwa Mienendo ya Rushwa

    SERIKALI YAAHIDI KUCHUKUA HATUA KALI ZA KISHERIA KWA MABARAZA YANAYOFANYA MAAMUZI YA MIGOGORO YA ARDHI KWA MIENENDO YA RUSHWA "Lini Serikali itahamisha Mabaraza ya Ardhi kwenda kwenye mfuko wa Mahakama?" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya "Katika jitihada za kuboresha mfumo...
  3. JamiiForums Tanzania Tunaishukuru Bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuchukua hatua

    Thank you very much World Bank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania. Tunaishukuru bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuzuia mkopo...
  4. JamiiForums Tanzania Bashungwa kuchukua hatua kwa Mameneja wazembe TEMESA, ataka majina kubainishwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi ili waweze kuchukuliwa hatua. Bashungwa ametoa agizo...
  5. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa taarifa huweza kufanyika kwa kuchukua tukio la zamani na kulifanya lionekane la sasa

    Upotoshaji wa taarifa huweza kufanyika kwa kuleta tukio la lililotokea zamani na kulitangaza au kuliunda ili lionekane kama limetokea leo. Wapotoshaji huweza kutumia mbinu hii kwa namna mbalimbali. Katika mjadala huu tutagusia mbinu tatu zifuatazo: Kubadilisha Tarehe au Muktadha: Mtu anaweza...
  6. JamiiForums Tanzania Je, kuchukua pesa ya Serikali ni wizi?

    Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Amos Makalla anaweza kuchukua nafasi ya Makonda

    Heri ya pasaka kwa wanajukwaa na waumini wote. Waliofunga nawatakia swaum njema Kutokana na kuondolewa Makonda kwenye nafasi yake ya Itikadi na Uenezi ndani ya chama na kwenda kuwa RC Arusha, ninaweza kusema Amosi Makalla anaweza kupewa nafasi hiyo. Amekua mtulivu kisiasa hana siasa za...
  8. JamiiForums Tanzania DPP, IGP, DG TISS, DG- PCCB nyie ndiyo mnapaswa kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

    Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara. Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri nini kuchukua hatua sitahiki dhidi ya watumishi ambao wametajwa kwenye hizo tuhuma?
  9. JamiiForums Tanzania TCRA na TCU wachukue hatua kali kwa Wasafi TV kutokana na 'kiki' ya mapacha kufanyiana mtihani

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kuna hiki kipande cha video kinachobamba mtandaoni kuhusu mapacha wawili ‘wanaokiri’ hadhrani kufanyiani mtihani ‘chuoni’. Ukisikiliza kwa makini na kwa utulivu wa hali ya juu, utagundua kuwa hawa watu wanaigiza tu. Haiingii akilini watu...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu solar itakayoweza kuchukua nafasi ya TANESCO nyumbani

    Hali ni tete, joto kali umeme hakuna, Naomba kufahamu badget inayotosha kupata umeme wa solar ambao unaweza kuchukua majukumu yote ya TANESCO 1. Taa 2. Feni tatu na AC 1, 3. Fridge 4. TV mbili 5. Computer mbili za desktop 6. Oven ila haitumik mara nyingi Yaweza ni cost kiasi gani?
  11. JamiiForums Tanzania Nchi inatakiwa kudeal vipi na uhaba wa dola?

    Njia ya hakika ya kuwa na dola za kutosha ni kuwa na trade surplus. Yaani uuze kuliko unavyonunua. Lakini hili halipo karibu kwa nchi zote za Afrika. Sasa mbinu iliyobaki ni kukabiliana/kumanage uhaba wa dola. Nchi hufanyaje hivyo?
  12. JamiiForums Tanzania Nchi kadhaa duniani zaanza kuchukua hatua dhidi ya Israeli juu ya operesheni yake ya kijeshi huko Rafah ambayo yaua wapestina wengi

    Israeli bado yaendelea na operesheni yake katika mji wa Rafah ulioko shemu ya Khan Younis ambayo ipo sehemu ya kusini mwa mji wa Gaza yenye wapestina wapatao milioni 1.4 Operesheni hiyo imeanza kutoa idadi kubwa ya vifo vya wapalestina pamoja ya idadi ingine ya vifo inotokea katika Ukanda wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wahindi wafurika Israel kuchukua kazi zilizokua zinafanywa na Wapalestina

    Wapalestina takriban 90,000 walikua wameajiriwa Israel, ila baada ya HAMAS kuwaponza wakafurushwa, sasa hivi Wahindi wanafurika Israel kuchukua hizo nafasi. =================== ROHTAK, India -- When Israeli and Indian officials ran six days of skill tests for workers in the state of Haryana...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Gervais Milton kuchukua Nafasi ya Chongolo CCM

    Gervais Milton anatarajiwa kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Chongolo. Pamoja na exposure yake akiwa mwana Diaspora bado hana nguvu nje ya mfumo wa siasa. Nguvu kubwa aliyonayo ni utaalam wa masuala ya utawala, lobbying, negotiations na mikakati. Pamoja na umahiri wake bado...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Diplomasia ya Ping-Pong ni ukumbusho kwa Marekani kuchukua hatua kuondoa mvutano katika uhusiano na China

    Ubalozi wa China nchini Marekani umefanya hafla ya kumbukumbu ya miaka 52 ya Diplomasia ya Ping-Pong, ambapo Balozi wa China nchini Marekani Xie Feng, alitoa wito kwa pande hizo mbili kutumia busara na msukumo wa tukio hilo la miongo kadhaa. Wataalamu wa China wanaamini kuwa, tukio hilo sio tu...
  16. JamiiForums Tanzania Simba inaweza kufuzu Kombe la Dunia la Vilabu 2025 bila kuchukua ubingwa wa CAF

    Baada ya ripoti ya FIFA kutoka kuhusiana na ushiriki wa Simba katika Kombe la Dunia la Vilabu 2025, kumezuka malumbano mbalimbali. Kuna upande umekuwa unasema Simba hawezi kwenda kushirki mashindano yale bila kuchukua Ubingwa wa Klabu Bingwa Africa msimu huu na kwa mtazamo wao ana nafasi sawa na...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa upuuzi wa Viongozi wa Simba. Yanga inajipenyeza na kuchukua kilakitu alichokipigania Mo kwa Miaka mingi

    Waache waendelee tu kujenga majungu huku watani wanajenga timu. Madhaifu ya yanga yanatibika na Siku wakisimama Africa watahodhi vitu vingi sana. Uongozi wa kutafutana na Akina Chama, Phiri na Okra. Wa kijinga sana. Wachezaji sio gari kwamba utaliuza utanunua lingine zuri. Uongozi utafukuza...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Leo ndo siku ya watu kuchukua UTI sugu na mimba zisizotarajiwa sababu ya ngono zembe

    Hakika leo ndo siku ambayo wazinzi wengi wanaamini kwamba sikukuu kwao haiwezi ikaisha hivi hivi bila kudaka malaya na kwenda kujipigia Leo ndo siku ambayo wengi wanaenda kubeba UTI sugu na mimba sizizotarajiwa Fanya ngono uwezavyo lakini kumbuka kwamba watu wanatumia vidonge vya kufubaza...
  19. JamiiForums Tanzania Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

    Wanaukumbi. Waziri wa Ulinzi wa Yemen Meja Jenerali Mohammad al-Atifi: Amesema kuwa Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen vitageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo muungano huo utaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen. ====== 🇾🇪🇺🇸 Yemeni Defense Minister...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi wa HAMAS waliokuwa wanaishi Qatar waenda kusikojulikana. Netanyahu awataka Mossad kuchukua hatua

    Viongozi kadhaa wa Hamas wameondoka Qatar kuelekea kusikojulikana, na wamezima simu zao. Kulingana na idhaa ya lugha ya Kiarabu ya KAN, Saleh al-Arouri, mwanachama mkuu wa Hamas, pia aliondoka katika makazi yake ya kawaida huko Beirut kuelekea Uturuki. Netanyahu amewambia Mossad kuchukua hatua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…