kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya:Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani njia ya Mbeya Tunduma wamezidi kuchukua Rushwa

    Habari waungwana,Kuna hawa Askari wa kikosi Cha usalama Barabarani mkoa wa Mbeya wamezidi kuchukua Rushwa. Muda huu Niko safarini kutoka Mbeya kuelekea mkoa wa Songwe tumekutana na Askari maeneo ya Ifisi na Songwe viwandani wao kazi Yao ni kuchukua Rushwa tu. Wanasimamisha Magari lakini hakuna...
  2. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa shekh Yahya - "baada ya Raisi mwanamke upinzani kuchukua nchi"

    Nimeikuta hii mahali wakuu, ni kweli hii au wanazengo wamejiongeza?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Malaika mikaeli alifanikiwa kuchukua mwili wa Musa shetani alipougombea, ukifa mwili wako utachukuliwa na nani? Amua sasa!!

    Salaam, shalom!! MADA hii ni fundisho Kwa wale wasioamini kwamba mtu afapo, mwili wake hupelekwa either Kuzimu au Mbinguni. Na mwili unaopelekwa kuzimu ni mwili upi? Ni huu wa Damu na nyama? Jibu ni Rahisi tu, Mtu ni ROHO, anayo NAFSI, anaishi ndani ya MWILI. Na ikiwa mtu ni ROHO, uwe na...
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Labda miaka 40 mbele ndio upinzani wanaweza kupata mpenyo wa kuchukua Dola kama ilivyotaka kutokea 2015

    Wengine hapa nchini hatuna majina lakini tuna macho ya rohoni (third eye) . Tangu nipate akili timamu za kiutu uzima na kujitegemea Mimi sijawahi kuwa mdau wa CCM. Nina kadi ya CCM na CHADEMA ndani. Ya CHADEMA niliikata mwenyewe 2015 na CCM nimeletewa tu mwaka huu. Kwa ufupi Mimi sina chama...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar: Acheni kuchukua fedha ili muwafiche wanaowafanyia ukatili Watoto na Wanawake

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema hatua zaidi zinatakiwa kuchukuliwa dhidi ya matukio ya Ukatili hasa kwa Watoto na Wanawake na pia Jamii imetakiwa kutoa ushirikiano zaidi kwa Mamlaka zinazohusika kukabiliana na changamoto hiyo. Hayo yameleza wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Taifa ya...
  6. N

    JamiiForums Tanzania NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu

    Kufuatia tukio la mama mjamzito aliyejulikana kwa jina la Bi. Sophia Shabarula, mfugaji jamii ya kimasai, kupoteza maisha wakati akijifungua katika Hospitali ya Wilaya ya Kilosa, ndugu na jamaa wa familia ya marehemu huyo wamegoma kuchukua mwili wa marehemu wakishinikiza kupatiwa sababu za...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Baada utawala wa Syria kuanguka Israel wamekimbilia kuchukua maeneo katika miji mitano katika milima ya Golan ya Syria wanazidi kuongeza mgogoro

    Wanaukumbi. 🚨#BREAKING: Israel imezidisha uchokozi wake kwa kuingia katika miji mitano katika Milima ya Golan ya Syria. Miji mitatu kati ya hii iko ndani ya eneo la buffer lililosimamiwa na UN la 1974, eneo ambalo Israeli ilitekwa kinyume cha sheria katika vita vya 1973 na kulazimishwa kurejea...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nyambura Moremi anatosha kuchukua kiti WHO

    Dkt. Nyambura Moremi mkurugenzi wa maabara ya taifa anastahili kuchukua nafasi iliyo achwa wazi kufuatia kifo cha Dr Faustine Ndugulile. Tuungane kumpigia kampeni aweze kuchukua hiyo nafasi muhimu. Soma Pia: Dkt. Nyambura Moremi ateuliwa tena kuwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa. Aliondolewa...
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ngara: Rais Samia & Mbunge Ndaisaba Ruhoro Wachangiwa Fedha za Kuchukua Fomu 2025

    Kikundi cha Umoja wa Wanawake Maendeleo katika mkutano waliouandaa wamechangia jumla ya shilingi 513,400 kwaajili ya Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuchukua fomu ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025...
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sasa hapa nchini hakuna kiungo fundi wa mpira kumzidi Gerson Gwalala wa Coastal Union

    Anaitwa Greyson sijui Grayson Gwalala kiungo mkatashombo wa Coastal Union ya Tanga, jana amekuwa man of the match kwenye mechi dhidi ys Singida Big Stars yenye viungo wa kimataifa waliooonyesha ufundi wa hali ya juu wakati wa mechi dhidi ya Yanga, dogo huyu wala hastahili kukosa national team...
  12. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hata soka lina siasa, ilianza ya Messi kuchukua tuzo ya Erling, leo ni Rodri kuchukua ya Vini

    Hizi ni tuzo za mihemuko tu. Kuna wakati ribery ndio alipaswa kushinda ila ghafla tukaona ronaldo anapewa Kuna ronaldo ndio alitakiwa kushinda ila ghafla akapewa messi
  13. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wa Jimbo la Hai wamchangia Kijana Msomi Professor Urassa fedha kwa ajili ya kuchukua fomu ya ubunge kupitia CCM 2025

    Wakazi wa Hai wameonyesha uzalendo wa hali ya juu kwa kumchangia Professor Urassa kiasi cha Tsh milioni 500, ikiwa ni pamoja na gharama za kuchukua fomu ya kuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Wananchi kutoka maeneo mbalimbali kama Rundugai, Weruweru, Nronga, Mnada, Kia, Masama...
  14. bending moment

    JamiiForums Tanzania Nataka kuchukua mazda cx 5 2015

    Wakuu habari ya jumapili,nataka kuchukua hiyo chuma kutokana na muonekano wake comfortability, pia fuel consumption ipo vzuri. Ushauri: nmekuta malalamiko sehemu baadhi ya hzo gari mara dpf, pipe but wanadai 2015,2016 haina hzo shida Wajuzi wa mambo msaada wenu je ni kweli hzi sio sumbufu kama...
  15. bending moment

    JamiiForums Tanzania Ushauri nataka kuchukua subaru SJG 2014

    wakuu habari za muda huu, nmejichaga sasa nahitaji gari ya juu na katika pita pita zangu hii chuma nmeielewa sana sasa wataalamu naomba mnifahamishe vitu hivi upatikanaji wa spare ( nipo mbeya) changamoto zake ni zpi ulaji wa mafuta na ipo bora yenye turbo au isiyo na turbo( mizungiko yangu ni...
  16. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Lissu angekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA ingekuwa vizuri, Mbowe akae pembeni

    Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama...
  17. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania TLS yathibitisha kutishiwa maisha kwa wakili Tito Magoti, Peter Madeleka pamoja na Ole Nguruma. Yaitaka Serikali Kuchukua Hatua Kali!

    https://youtu.be/3DxH0NUxzRY?si=xZRKgw9HtibCALQv Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimeibua taharuki kubwa baada ya kupokea taarifa za kutishiwa maisha kwa mawakili watatu maarufu nchini Tanzania, Tito Magoti, Peter Madeleka, na Onesmo Ole Ngurumwa. Kwa mujibu wa taarifa rasmi iliyotolewa na...
  18. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baada ya CCM kuchukua manispaa ya Moshi (umeya) na ubunge 2020 maeneo karibia yote ya wazi yamechukuliwa

    Mwaka 2020 baada ya CCM kushinda madiwani wengi na hatimaye kutoa meya na ubunge 2020 maeneo yawazi karibia yote yaliota mbawa yaani yalichukuliwa Moshi nimeishi kipindi cha nyuma mda mrefu sana ila sahivi siishi kulikua na maeneo ya wazi mengi sana ila nilienda mwaka jana December nilishangaa...
  19. Makirita Amani

    JamiiForums Tanzania Hatua Za Kuchukua Pale Unapojiona Umechelewa Kuanza Uwekezaji.

    Habari njema Matajiri Wawekezaji, Karibuni kwenye mfululizo wa masomo yetu ya programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo na kujenga utajiri kwa uhakika. Kauli mbiu yetu kwenye NGUVU YA BUKU, ambayo pia ndiyo imani yetu ni KILA MTU ANAWEZA KUWA...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Cyber crime: Msaada wa ushauri wa Kisheria na Hatua za Kuchukua

    Kuna utapeli unaoendelea mitandaoni, unaohusisha baadhi ya watu fungua kurasa/pages/Accounts za Instagram kwa kutumia picha za watu wengine (innocent) huku pages hizo zikiwa na maudhui ya kudhalilisha. Kama kuna yeyote ambaye anaweza kushauri njia nzuri ya kisheria ya kuchukua against watu kama...
Back
Top Bottom