kuchukua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuchukua kumsaidia mtu aliyeanza kupoteza uwezo wa kusikia na kupata ukiziwi

    Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia. Matumizi ya Mashine ya masikio: Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nani anaestahili kuchukua nafasi ya IGP kumrithi Sirro endapo mabadiliko yakitokea?

    Iwapo Raisi Samia ataridhia kufanya mabadiliko katika Jeshi la Polisi kwa kumuondoa IGP Sirro, unadhani ni nani atafaa kukabidhiwa mikobo ya Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini? Inawezekana tunaona wengi wao ni tatizo, ila ukweli ni kwamba kuna mmoja,wawili au watatu miongoni mwao wanaweza kuwa na...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye Bachelor, Masters na PhD kwa ajili ya kuchukua nchi 2025

    Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye bachelor, masters na PhD kwaajili ya kuchukua nchi 2025. Tafuteni wachumi, wanasheria, wanasayansi, mainjinia, wahasibu, watu wasiasa, wanahistoria wenye bachelor, masters, PhD, waandikisheni, jazeni kwenye chama. Fanyeni hivyo, nendeni vyuoni andikisheni...
  4. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Huenda kosa lingine ni kuteua na kuchukua darasa la saba wengi kwenye majeshi

    Siamini kabisa mambo yanayofanywa na polisi wetu kama kuna weledi wowote wa kiufundi unaozingatia taaluma zao. Naona kabisa shida kubwa zamani tukikosa wasomi recruitment ikawa inachukua darasa la 7 na huenda hawa ndio Ma-RPCs na OCDs wengi na baadhi ya Waandamizi pale HQ. Hii ndio shida...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hawana uwezo wa kuchukua nchi. Wakikamiwa wanapoa Kama uji wa dundi

    Salama Wakuu! Kwa jinsi mambo nilivyoyakuta na yalivyosasa kuhusiana na Siasa za nchi hii, nadiriki kusema kuwa CHADEMA bado Sana katika kuchukua nchi. Nimeanza kufuatilia Siasa mwaka 2005, mpaka sasa ni miaka 16. Sio miaka mingi ila pia sio michache Sana. Inatosha Kueleza Jambo...
  6. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Mbinu na jitihada muhimu za kuchukua pale unapopatwa na mafuriko

    Hivi karibuni tumeshuhudia nchi mbalimbali ziiathirika na majanga ya mafuriko na mioto ya msituni. Je ushajiuliza kama janga kama hilo likitokea eno lako hatua za kuchukua na hatua gani ya kuanza nayo? Nchi ambazo zina miundombinu bora lakini bado zimeathiriwa na mafuriko kama Ujerumani...
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA watoe tamko na kuchukua hatua hii

    Habari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili kuonesha umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kwa wapo serious na kile wanachokisema. Lakini pia hii...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Chelsea ya Tuchel na kuchukua makombe ya klabu bingwa ulaya Back to Back nini maoni yako katika hili

    Chelsea hawakubahatisha kubeba ubingwa wa UEFA, kwa maana hiyo watabeba tena back to back, kiuhalisia ulaya nzima hakuna kocha world class wa kubattle na Tuchel kimbinu, hilo limedhihirika last season, sababu alifungwa na makocha wenye cv ndogo wasio na tictics yaan makocha wanaofundisha soka la...
  9. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania ZINDUKA: Hatua za kuchukua Wakala na mteja ili kukabiliana na Utapeli mpya

    Ni siku nyingine tena nakuja kivingine, Natumai mko powa wasomaji. Leo nataka kuwapa mbinu za kukabiliana na matapeli sababu hawaishi na kila siku wana mbinu mpya. Kwa sasa mawakala ndio wanaongoza kwa kutapeliwa kupitia wateja wao kivipi? Twende pamoja kwenye makala hii. Kwanza kabisa kuna...
  10. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anapaswa kuchukua mazuri yote katika hotuba ya Mbowe ya Mwanza

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania akila kiapo cha kuilinda katiba ya Tanzania Hapo awali nimefupisha hotuba ya Mbowe kama ilivyotolewa kwa waandishi wa habari pale Mwanza jana. Sasa niko tayari kuifanyia uchambuzi kulingana na taarifa za ziada nilizozikusanya kutokana na wadatishaji wangu...
  11. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Je, kesi ya kuchukua mlungula inayomkabili Mwanasheria Kishenyi haki itatendeka au ni yale yale?

    Je, kesi ya kuchukua Mlungula inayomkabili Mutalemwa Kishenyi Haki itatendeka au yale yale? Mnamo tarehe 23/4/2021 majira ya saa mbili usiku mwnasheria Mwandamizi katika ofisi ya mashtaka ya wilayani Babati mkoani Manyara alikamatwa akipokea rushwa ya shilingi milioni tano (5,000,000)...
  12. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kuliko kuajiri mfanyakazi wa ndani tuwe na utaratibu wa kuchukua watoto wa ndugu kwa nia ya kuwaendeleza

    Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya. Akihitimu mafunzo...
  13. Ritz

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo mtaji mpya wa CHADEMA kuelekea kuchukua dola

    Wanabodi, Lazima tuwe watu wapya, watu wapya wenye maono mapya, watu wapya wenye mtazamo mpya, watu wapya walio na hamu mpya ya usawa, haki na ujumuishaji, watu wapya wanaobeba Mwenge wa Tanzania mpya, ambayo haki na uhuru kwa wananchi unaheshimiwa na kulindwa tusikubali kuogozwa na wahuni...
Back
Top Bottom