BAADHI YA VIFUNGU VILIVYOPO KATIKA MKATABA HUU.
1. TANZANIA HAIRUHUSIWI KUJITOA KWENYE MKATABA
Ibara ya 23(4) ya mkataba huo inakataza wahusika wa mkataba ambao ni serikali ya Tanzania na Kampuni mwekezaji DPW kujitoa(Denounce) katika mkataba, Kuvunja, Kuahirisha(suspend), au...
Tumetukanwa mno na Kudhihakiwa sana hapa JamiiForums kwakuwa tu akina GENTAMYCINE walipenda aina ya Utawala (Uongozi) wa Hayati Magufuli.
Nakiri kama Binadamu Hayati Magufuli nae alikuwa na Mapungufu yake (ambayo hata Mimi na Wewe tunayo yetu) ila kwanini GENTAMYCINE nilimpenda na namkumbuka...
Rushwa na adui wa taifa. Nitoe mifano miwili
1. Undeshaji wa mabasi ya mwendo kasi una rushwa kiasi cha viongozi kuharibu mfumo wa kununua card za ticket.
2. Bandari nayo ufanisi mdogo ni hawa hawa viongozi wetu kupitisha mizigo ya marafiki bure.
Hawa waarabu wanakuja na kutumia mifumo ile...
Mataifa tano yenye jeshi lenye nguvu duniani:
1. USA
2. Israel
3. Russia
4. China
5. India
https://healthygeorge.com/trending/a-list-of-the-worlds-strongest-military-powers-strongestmilitaries-misha-gemini-3/38
Kama kichwa cha Uzi huu kinavoeleza hapo juuu. Vijana wengi wenye ndoto KUBWA za kimaisha kwa asilimia KUBWA wanatokea familia ambazo zina kipato cha Hali ya chini
Ninze na mimi mwenyewe ndoto YANGU ILIKUWA kuja kuwa daktari lakini ilipotea tu pale nilipofika kidato cha nne je sababu ILIKUWA...
Kuna uteuzi na kuhamishwa vituo kwa makatibu na wakurugenzi wa halmashauri mbalimbali nchini. Watanzania tusipotezwe maboya, tupeleke mbele mjadala wa kubinafsishwa kwa bandari ya Dar es Salaam. Hili ndio lango kuu la Tanzania, tukikosea hapa ndio tumeharibu kila kitu humu ndani. Uteuzi wa...
Man City have been named the most valuable football club brand in the world, after topping the Brand Finance Football 50 report for the first time 🥇
Five other English clubs appear in the top 10: Man Utd (4th), Liverpool (5th), Arsenal (8th), Tottenham (9th), Chelsea (10th) 💪📊
Source: Sky sport
Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA), imetoa angalizo ya siku mbili ya kunyesha kwa mvua kubwa kwa baadhi ya maeneo machache ya mikoa ya Dar es Salaam na Pwani (Visiwa vya Mafia ,Tanga, visiwa vya Unguja na Pemba).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Juni 5, 2023 jijini Dar...
Shirika la kutetea haki za Binadamu la Amnesty International limelaani mamlaka nchini Tanzania kwa kuwaondoa kwa nguvu watu wa jamii ya kiasili ya Kimasai kutoka katika ardhi ya mababu zao ya Ngorongoro.
Shirika hilo la kutetea haki za binadamu limesema Juni 2022, vikosi vya ulinzi na usalama...
Anaandika Robert Heriel.
Wanawake wengi waliokosa malezi na kufundwa wameingia katika tabu na madhila makubwa kutokana na kujilinganisha na mwanaume. Hilo ni kosa kubwa mno. Kosa ambalo wengi limewaacha kwenye matatizo makubwa.
Taikon ninawalea mabinti zangu kwa kuwafundisha kuwa wao ni sawa...
Wanasema unaweza ukamtoa mtu kijijini lakini ukashindwa kutoa kijiji kichwani mwake
Maana yake nini, watu wetu wengi bado ni washamba sana (wapori-porii), bado wanatambaa na mawazo ya kale vichwani mwao.
Haijalishi huyo mtu amesoma shule mpaka levels gani, au amekuwa exposed kiasi gani au...
Sio rahisi ofisi aya rahisi ikaandaa mualiko maalamu pasi na kuwa na sababu ya msingi. Ni dhahiri mafanikio ya Klabu ya Yanga SC katika michuano ya CAFCC yanatambulika kama mafanikio makubwa zaidi katika historia ya mpira wa miguu Tanzania.
Kwa kulitambua hilo, serikali imeona ni vyema kuialika...
Kukosa mtu sahihi wa kurekebisha tatizo la gari lako.
Moja kati ya makosa ambayo nimeyaona kwa kipindi kirefu ni hili.
Mtu anakuwa na mawazo kichwani kwamba Fundi mmoja anaweza kufix matatizo yote kwenye gari yake. (Sisemi kwamba hili haliwezekani, ila linawezekana kwa wale wenye magereji...
Mwanzo mwanzoni nitamke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga tangu utoto wangu. Lakini, kila ninapotazama mechi ya mpira(nilianza kufuatilia tangu miaka ya 90), huwa nauweka ushabiki wangu pembeni.
Daima huwa naitazama mechi kiufundi na kunasa cha kuondoka nacho, achilia mbali matokeo. Huwa...
Kuna jirani yangu mmoja hapa alifariki mwaka jana.
Yeye na mkewe wa ndoa wanawatoto 3. Mtaani tulikuwa tunajua wote hawa ni watoto wake wa kuwazaa kabisa. Hata marafiki zake walikuwa wanajua hivyo kabisa na watu wanaofanya kazi moja.
Na ndugu wa mkewe na ndugu wa mume. Wote walikuwa wanajua...
Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson
January Makamba ameandika historia.
Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru.
Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri
Je, ndoto yake ya kuwa Rais...
Ndege kubwa ya C919 hivi karibuni iliruka kutoka Shanghai hadi Beijing ikiwa na abiria, ikiashiria kuwa ndege hiyo kubwa ya abiria iliyotengenezwa China kwa kujitegemea imeingia katika katika soko la safari za anga.
Utengenezaji wa ndege kubwa unajulikana kama kilele cha kiwango cha viwanda...
Sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na nguvu. Unahitajika kuwa na nguvu kubwa Ili ukatatute ridhiki, siku hizi maarufu kama hela, ndio ridhiki yanyewe.
Ukiwa na nguvu utafanya kazi Kwa umakini na kwa muda unaotakiwa. Ukiwa dhaifu hutamaliza majukumu yako sawasawa.
Familia inakutegemea utumie nyuvu...
Nimekuwa na madudu mengi katika idara ya elimu Ubungo baadhi kwa kutaja ni kama;
1. Kucheleweshwa kwa watumishi kupandishwa madaraja.
2. Kila mara kutolipwa au kukopwa posho kwa wasimamizi wa mitihani ya utamilifu (mock).
3. Kutokuwa na utaratibu mzuri wa mawasiliano na kutoa maagizo ya zima...
GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai.
Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.