Dream za baadhi ya wanawake ni kufanya sherehe/harusi kubwa na si kuishi maisha ya ndoa.

kamba0719

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
804
1,904
Unakuta dada anafunga ,anaomba apewe mume ,Mungu anampa mume baada ya ndoa anarudi kwa ex wake ,hapo ndipo unajua shida yake ilukuwa ni SHEREHE/HARUSI nae wamwone kaolewa na si MUME wala NDOA.

Hapo utajua kuna wanawake wanaopenda SHEREHE/HARUSI ila hawapendi maisha ya NDOA wala mume,kwani anaye mchepuko wake anao upenda kutoka moyoni ambao kila siku unamtenda,haumjali ila still yupo tu kakomaa nae.

Sometimes wanasemaga ukitaka kuingia kwenye ndoa husifikirie sana kwani unaweza ukagaili,kuna wanawake michepuko yao ya nyuma hawawezi kuiacha sijui wana mikataba gani.

Tushukuru DNA kwa Tanzania kidogo kipimo chake wamefanya process zake ziwe ngumu, ila kama ingekuwa simple kama wenzetu ndoa nyingi zingevunjika,ndio maana wazee wetu walikubali unyonge kwa kujipa moyo "kitanda hakizai haramu".
 
Hivi mie sio mwanamke nini?mbona mambo mengi yanayosemekana yanapendwa na wanawake mie ni kinyume chake

Uzi mwingine ule wanasema wanawake wanapenda kifo cha mende,mie hata sio mdau wa kifo cha mende

Binafsi sipendi harusi wala harakati zake,ikitokea nikafunga ndoa mume wangu itabidi anielewe tu kwamba sitaweza zile harakati za kufanya party kuuuuuubwa

Kwanza ni heri tutoke kanisani turudi zetu nyumbani tukamalizane chumbani
 
so wewe unapenda nini?
 
Ungekuwa Muslim ningekutafuta
 
Hongera mpo wachache sana wenye mitizamo hiyo.
 
Hivi mie sio mwanamke nini?mbona mambo mengi yanayosemekana yanapendwa na wanawake mie ni kinyume chake

Uzi mwingine ule wanasema wanawake wanapenda kifo cha mende,mie hata sio mdau wa kifo cha mende

Binafsi sipendi harusi wala harakati zake,ikitokea nikafunga ndoa mume wangu itabidi anielewe tu kwamba sitaweza zile harakati za kufanya party kuuuuuubwa

Kwanza ni heri tutoke kanisani turudi zetu nyumbani tukamalizane chumbani
Sasa upendi sherehe za harusi, umesha ona megi una jipya la kuona kwenye ndoa wewe ni veteran
 
Ulitaka kuamini hilo yapite matarumbeta ya harusi mtaani mabibi wazee, magumrgume yalioshindikana kuoleka au yaliyoachika kwa sababu ya tabia chafu Sana lazima yaache Kila wanachokiganya , wakaangalie huku udenda unawatoka. Kifupi wanawake wanaamini kuvaa shela ndio ndoa kumbe ndoa ni majukumu na mateso
 
Hivi mie sio mwanamke nini?mbona mambo mengi yanayosemekana yanapendwa na wanawake mie ni kinyume chake

Uzi mwingine ule wanasema wanawake wanapenda kifo cha mende,mie hata sio mdau wa kifo cha mende

Binafsi sipendi harusi wala harakati zake,ikitokea nikafunga ndoa mume wangu itabidi anielewe tu kwamba sitaweza zile harakati za kufanya party kuuuuuubwa

Kwanza ni heri tutoke kanisani turudi zetu nyumbani tukamalizane chumbani
😋🥰🥰 Sawa ze purodakti ofu yudizim
 
That's my Jojo
 
Ova
 
Harusi kubwa Haina maana Sana japo ndio mapenzi ya wengi na kinachotutesa ni social media tupost tuonekane harusi ikiisha madeni yanabaki na ndoa ndo inakuwa imeshaisha
 
Hivi mie sio mwanamke nini?mbona mambo mengi yanayosemekana yanapendwa na wanawake mie ni kinyume chake

Uzi mwingine ule wanasema wanawake wanapenda kifo cha mende,mie hata sio mdau wa kifo cha mende

Binafsi sipendi harusi wala harakati zake,ikitokea nikafunga ndoa mume wangu itabidi anielewe tu kwamba sitaweza zile harakati za kufanya party kuuuuuubwa

Kwanza ni heri tutoke kanisani turudi zetu nyumbani tukamalizane chumbani
Haya mambo ya harus achana nayo kwanza Dogo umesema sio mdau wa kifo cha mende we ni mdau wa kifo cha nan sasa?
 
Back
Top Bottom