NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,853
Mwezi huu nataka nijipe kalikizo kidogo baada ya kuchoshwa na kazi ngumu za useremala kwa miezi 11 iliyopita, Ni muda wa kuchill atleast
Najua wengi mtakimbilia kuniambia nishushe series kwa torrennts lakini amini usiamini si kila kitu kipo kwenye torrents, kuna series kibao kama za netflix na prime hazipo torrents.
Pia season unaweza kuikuta kwa torrent ila size yake ni gb 40, kwa sisi tuliozoea season nzima imeminywa iwe GB 2 ili kupunguza bili za mabando, hapa ni mtihani.
Huduma zenye uhakika huwa angalau kuna malipo kidogo ili watu wawe tayari kuwashughulikia kupandisha muvi / series, kupunguza ukubwa wa GB, n.k kama huku plex na febbox, sasa kabla sijaendelea ningependa mnipe maoni yenu ni huduma zipi ni mbaala na ipi ina uhakika pamoja na library kubwa ya series ?