Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo akiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika, yaliyofanyika Jijini Arusha, Tanzania amesema vijana wanaongoza katika mapambano ya rushwa na ni vema vijana wakashirikishwa katika maamuzi
Akieleze mchango wa Vijana katika...
Mwalimu Nyerere Foundation wakati inaanzishwa, ilikuwa na malengo makubwa sana. Ilivutia wafadhili, ilivutia serikali kuweka fedha. Na Kila mtu alitarajia kwamba itakuwa ndio kisima Cha mawazo ya kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidiplomasia kwa Kila namna.
Mwanzoni ilianza vizuri, kabla haijawekwa...
Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.
Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
Kenya imejiunga na ligi ya nchi zinazokusanya ushuru wa juu zaidi wa mafuta na kuyapita mataifa makubwa kiuchumi kama vile Marekani na Afrika Kusini.
Uchambuzi wa gazeti la Business Daily unaonesha kuwa ushuru nchini Kenya sasa unachukua asilimia 40 ya gharama ya kila lita ya Petroli ya juu na...
Hali ya usalama katika vijiji vilivyoripotiwa kuvamiwa na Simba Bado ni tete, hiyo ni kwa mujibu wa kazi wa vijiji husika kuishi kwa hofu na kuogopa hata kutembea mida ya jioni kwa wale wenye mashamba mbali imekuwa changamoto kubwa! Taarifa mahsusi itolewe kama usalama umerejea na hao Simba...
Mzee Butiku anasema kwa namna kelele zilivyo nyingi kuhusu suala la bandari serikali Ina namna mbili tu..
1. Kiheshimu hofu na maoni ya wananchi kwamba hawajaridhika na suala hili, au
2. Kuwapuuza wananchi na kuendeleza na suala hili.
Lakini wapime madhara ya kila uamuzi watakaoifanya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo amesema vijana wana nafasi kubwa ya kupambana na vitendo vya rushwa kwa kupitia mitandao ya kijamii ambayo inakutanisha kundi kubwa la vijana.
Melo amesema hayo wakati akichangia mada kwenye Kongamano la Mapambano dhidi ya Rushwa linalofanyika...
Mdau wa Jamii Forums anaeleza...
Mimi ni mtumishi wa Umma kuna jambo ambalo limekuwa kero kwa Watumishi wengi, ni kuhusu kuomba uhamisho kutoka Taasisi moja kwenda nyingine au kuomba kwenda kufanya ‘interview’ ya kazi.
Kuna mambo kadhaa ambayo yanafanya kuwe na ugumu katika kufanikisha hilo...
Wakuu naona mnahangaika na huduma za vifurushi mimi ni DIRECT SALES AGENT toka tigo. Kuna huduma nimekuwa nikiwapatia wateja wetu Muda mrefu leo acha niwapatie wadau humu mwenye uhitaji ili tuokoe gharama za vifurushi visivyokidhi mahitaji yetu ambavyo tumekuwa tukijiunga kila siku.
Tigo...
Tumekuwa tukisikia migogoro ya mara kwa mara baina ya viongozi wa walimu kama vile Wakuu wa Shule, Waratibu Elimu, Maafisa Elimu nk, na Walimu, hii yote nikutokana kuwa either kiongozi ana Elimu ndogo kuliko anaye muongoza au mwenye Elimu kubwa ameachwa ameteuliwa mtu mwenye Elimu ndogo, aisee...
Shule zilizipo tabora wilaya Uyui Zina shida kubwa sanaya kiongozi kutokana walipoewa uongozi kutokuwajibika jinsi inavyotakiwa, Kuna shule za upande wa uelekeo wa ulyankuru Kuna shida kubwa sana kitaaluma na za kiongozi Kuna wakuu wa shule wapya wanawake wamehongwa nafasi za ukuuu wa...
Ukiona Chama au selikali, huwa inatumia nguvu kubwa kupendwa basi jua kwamba imejaa madhaifu makubwa
Na ndiyo stairi inayotumi chama cha CCM na selikali yake, wamechoka hawana mbinu mbadala tena zaidi ya kutetea ujinga na matumbo yao,
Nauona mwisho mbaya kwa inchi ya Tanzania, sababu viongozi...
Utengenezaji wa Meli inayotajwa kuwa kubwa zaidi duniani umekamilika nchini Finland na tayari imefanya majaribio ya kwanza ya safari ndogo kabla ya kukabidhiwa rasmi Oktoba mwaka huu ili mwaka January 2024 ianze safari zake.
Meli hii yenye ukubwa wa mita 365 (wastani wa viwanja 3.5) itakuwa...
1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu.
Mwanzo 18:14
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA?
2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana...
Inakera, inaudhi na inauma sana kuona katiba yetu inawafanya wananchi kuwa wanyonge. Hawana sauti, hawana maamuzi na wala hawawezi kupindua chochote kilichoamuliwa na viongozi (serikali).
Chanzo cha upuuzwaji huu wa sauti za wananchi, uvizwaji wa nguvu ya wananchi na viongozi kutoogopa/...
Hi
Mwanza ni jiji nzuri sana na lina muongiliano mkubwa wa watu kwa maana ya watu kutoka mikoa tofauti iko pale lakini watu wake bado wana ushamba sana licha ya kuwa na muingiliano mkubwa kwanini hawataki kubadilika?
Pia mwaza biashara kila kona iz ndogo ndogo sijajua kama mwaza mzungu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.