kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ujinga ni kizingiti kikuu kwa Hatma ya hili nchi

    Anasema mwanazuoni: Karibu Tanzania ambako wajinga ndiyo werevu na werevu ndiyo wajinga.
  2. JamiiForums Tanzania Taja Wimbo utakaosindikiza Furaha yangu Kubwa ya Ushindi wa USM Alger FC leo kwa Mkapa

    Nazisubiria mzitaje tu ili Nikeshe nazo.
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo siyo kuroga Mvua kubwa inyeshe Mwarabu afe. Je, una Wachezaji wa kucheza katika Madimbwi na Matope?

    Kama jibu ni ndiyo basi GENTAMYCINE nichukue nafasi hii kuwatakia kila la kheri ila kama Kawaida (kwa Unafiki Wetu tuliobarikiwa nao) Mdomoni naungana nanyi Waswahil, ila Moyoni nipo na Mwarabu ninayemuamini.
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

    Mwanamke anayeomba pesa kwa jamaa ake ni kosa kubwa. STORI YA KWELI. Ilikuwa hivi huyu Binti nilikutana name kwenye daladala. Tukiwa wote safari ya makumbusho, saa 2 usiku yeye anaelekea kwao huko. Kwangu more nilikiwa naingia kiwanja. Mdada akaniomba tuonhee kama ninamuda. Nikasema sawa...
  5. JamiiForums Tanzania Dada zangu, mtatoboa kweli?

    Ukiachilia mbali kwamba idadi ya wanaume duniani inazidi kuporomoka, na kwamba katika hiyo hiyo idadi ndogo iliyopo bado kunawengine wengi wameamua kujikataa na kujifanya wanawake, Lakini bado yanamwagwa haya maroboti. Tena yametengenezwa special kabisa kuwa mke. 'Robot wife' . Huko mbeleni...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini USHIRIKINA ni dhambi kubwa kuliko zote kuwahi kufanyika hapa duniani?

    Habari zenu Hivi ulishawahi kukaa chini na kujiuliza kwanini amri ya kwanza ya Mungu kwenye Torati imekemea suala la Ushirikina kabla ya kukemea uuaji, uongo, ushoga, uzinzi, wizi n.k? Kwanini iwe ni suala la Ushirikina? Kwanini vilevile kitabu cha Quran kikaja tena kupigilia msumari ww Moto...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha magumu ni sababu kubwa inayofanya watu waanzishe dini

    Ukiangalia kwa unfdani utaona kuwa dini nyingi ni matokeo ya maisha magumu. Kisaikolojia mtu akiwa frustrated na ugumu wa maisha huanza kuota ndoto za mchana na kufantasize maisha yasiyo na taabu. mifano mingi inaonyesha hivyo. 1. Kuanzishwa kwa dini ya kiyahudi: Kuna mtaalamu anasema kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Uahirishwaji wa Kesi katika Mahakama za Tanzania ni tatizo kubwa linalochelewesha utoaji wa Haki

    Kuahirishwa mara kwa mara kwa kesi ni moja ya sababu kubwa za kuchelewa kwa kesi za jinai nchini Tanzania. Hii pia ni moja ya sababu za kuwepo kwa idadi kubwa ya kesi zilizokwama mahakamani, ambazo husababisha watu kucheleweshewa haki zao. Uhairishaji huo unaweza kusababishwa na sababu kama...
  9. JamiiForums Tanzania Mbowe azidi kukubalika kwa wananchi, apewa zawadi ya kuku na mtoto mdogo huko Kigoma

  10. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usipoangalia mambo mengi ktk Serikali yako kwa jicho la tatu njia itakuwa na miiba mingi sana...

    Mh Rais Samia Shikamoo. Hongera kwa kazi ya ujenzi wa Taifa la Tanzania. Pia Hongera kwa kuwa Rais wa kwanza Mwanamke sisi kama watanzania tunajivunia kwa kuwa hii inadhihirisha Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama pamoja na katiba yetu vipo imara. Rais sijasomea kutoa ushauri kwa viongozi...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Biteko asema Tanzania ipo tayari kwa kongamano kubwa la Madini, aelezea kinachokwamisha biashara ya Chumvi

    Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kuelekea Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Madini Mwaka 2023 linalojulikana kwa jina la Tanzania Mining & Investment Forum 2023, Waziri wa Madini, Doto Biteko amesema wamepanga kutoa elimu kubwa zaidi kuelekea shughuli hiyo itakayofanyika baadaye mwaka huu...
  12. JamiiForums Tanzania Tambua Faida Kubwa Za Kujiamini Mbele Ya Mwanamke

    Kujiamini katika unachokifanya. Kujiamini katika ukisemacho. Kujiamini huku kutokee ndani yako. Sio iwe kwa ajili kumpata mwanamke fulani. Wengi hujiamini wakiwa na wanaume wengine. Ila akiwa na mwanamke anapoteana. Sababu kubwa ni kumkweza mwanamke juu yako. Unaweza kuwa na maneno/ mistari...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia, kama unaona mbali, legacy kubwa ya kipekee na ya kudumu ni Katiba Mpya. Majengo na vitu vingine vinasahaulika hasa kwa vizazi vijavyo

    Katika uzinduzi wa Ikulu ya Chamwiono leo hii tarehe 20/05/2023, imejitokeza hali ya kila mmoja kutaka kuonekana ana legacy katika ujenzi wa Ikulu hiyo, lengo ni kila mtu aingie kwenye kumbukumbuku ya waliohusika kufanikisha ujenzi wa Ofisi hizo za Raisi hapa mkoani Dodoma. Katika hili...
  14. JamiiForums Tanzania Vita kubwa inayoendelea ni ya AI, Ukraine na Russia wanajichoresha

    Achana na hii vita ya magobole inayoendelea (Russia vs Ukraine), huko Marekani kuna wakubwa wawili wanaonyeshana umwamba. Baada ya ChatGPT kutoka toleo la 4, basi akazani tayari amemshinda Bwana Mkubwa Google. Kumbe Google anamchora - kumbe ana maajabu yake kayaficha hanaga papara. Cheki...
  15. JamiiForums Tanzania Wananchi mna imani kubwa na Chadema. Itaendelea kuwatetea japokuwa sasa asali ni kigingi

  16. M

    JamiiForums Tanzania Kilimo kutofundishwa shule ya msingi ni kasoro kubwa kwa rasimu ya mtaala

    Bado hali ya uchumi wa nchi yetu ktk sehemu kubwa ya taifa letu Wananchi hujishughulisha na kilimo na bado inasemekana uchumi wetu hutegemea kilimo. Kwa kutofundishwa somo la kilimo ni tafsiri halisi kuwa hata Wananchi huko wanakolima hawatathamini kilimo na baadae wageni wawekezaji watakuja...
  17. JamiiForums Tanzania Wauguzi wanafanya kazi kubwa sana

    Kazi ya uuguzi ni ngumu sana Wauguzi waongezewe mshahara Nawasilisha
  18. K

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji katika maeneo muhimu na ya kimkakati ya biashara yawe chini ya udhibiti wa Serikali. Ya Kariakoo yanaweza kujirudia kwingineko.

    Nianze kwa kusema kwamba kama Serikali ingekuwa na umiliki wa moja kwa moja wa eneo la Kariakoo ,hakika tusishuhudia mgomo wenye kuumiza walaji kama inavyoshuhudiwa. Huu ndio ushauri wangu kwa serikali yangu sikivu, sekta binafsi zinasaidia kwa kiasi kusaidia kukua kwa uchumi lakini sekta...
  19. JamiiForums Tanzania Hayati William "Le Mutuz" Malecela ni mfano wa kuigwa kwa watu wenye akili kubwa

    Le Mutuz ulale kwa amani Kaka. Kipekee kabisa niseme ulikuwa ni mtu wa tofauti hasa kwa mazoea na ufikiri wa watanzania wengi, uliuchukia umaskini, ujinga, uoga, unafiki, tangu utoto wako ulijijenga kwenye falsafa ya kujitegemea na kupambania ndoto zako. Hukubweteka na hadhi ya Baba yako...
  20. JamiiForums Tanzania Kitendo walichonifanyia mwaka jana pale Cinemax. Kweli hawataenda Mbinguni mpaka leo nina jeraha kubwa sana

    Wale jamaa wahuni sana , nawachukia kiroho mbaya. Nliwahi fikiria hata kuwaroga. Basi tu ila nikiona hata jina lao tu napaliwa na chakula, pumzi inakata nahema kwa shida na macho yanakuwa mekundu. Yaani wale jamaa wakunilisha mimi pop corn tsh 8,000? Pamoja na mademu 4 jumla 40,000 pop corn...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…