Hayati William "Le Mutuz" Malecela ni mfano wa kuigwa kwa watu wenye akili kubwa

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,432
11,103
Le Mutuz ulale kwa amani Kaka.

Kipekee kabisa niseme ulikuwa ni mtu wa tofauti hasa kwa mazoea na ufikiri wa watanzania wengi, uliuchukia umaskini, ujinga, uoga, unafiki, tangu utoto wako ulijijenga kwenye falsafa ya kujitegemea na kupambania ndoto zako.

Hukubweteka na hadhi ya Baba yako, hukuwa na ulafi, ulipenda logic na reasoning kwenye mijadala, Mara zote ulionesha akili kubwa katika uchumi, fikra, utawala, siasa, demokrasia na uliuweka pembeni ushabiki inapokuja misingi ya haki kitaifa, kikatiba, Uhuru binafsi wa kifikra au maoni.

Mimi ni mfano wa watu waliokaribia uwezo wako wa kuyatazama mambo katika ngazi binafsi, jamii, taifa na kidunia.

Maisha yako hasa interview zako zitakuwa maktaba kwa kizazi kinachopenda kuishi bila stress huku ukijua baya nq zuri, kamanda uliuchukia umaskini kwa dhati kila binaadamu hapendi taabu, hivyo maskini wa akili wana upofu kwamba ulipenda anasa, hao wenye mtazamo huo wana akili mfu.

Bro kwa awaye yeyote anaepambana kutafuta pesa wewe ulikuwa kioo na mwamba wa mfano.

Ulijua kujenga urafiki na marafiki, ulijua tofauti yq maisha ya mtandaoni na maisha ya mtaani.

Bro uliishi namna staajabishi kwa jamii na watu washamba wasiojua utambuka wa maisha na ulimwengu.

Nitaenzi falsafa ya kweli ya kuuchukia umaskini na kutafuta pesa, kula bata na kuwa mwema kwa jamii na mtiifu kwa jamii na serikali.

Kwa heri kaka wa mfano Le Mutuz
🙏🙏🙏

Nasherehekea maisha yako

Ni mimi mdogo wako Wadiz
 
"Bro uliishi namna staajabishi kwa jamii na watu washamba wasiojua utambuka wa maisha na ulimwengu."

Asingemuandama Marehemu Milembe namna ile, kama watakutana akamuombe msamaha.
 
Hapana umekosea hakuna mtu mwema na mwaminifu kwa Magu kama Le Mutuz, uhai wake hadi kufika hapo ni ndugu Magu ndio alimuwezesha, na qmekufa akimuenzi, mengine ni provocative survival mode ya kublend na wajinga wa nchi hii.

A very expressive and informative Le Mutuz ameondoka hakukosa kujibu swali, utulivu, no panic, akili kubwa and so squarely to say, what a great fighter he was. Nenda kwa amani Bro Le Mutuz.
 
Le Mutuz was exceptionally great and one among the unique and influentials to be iconically remembered.
 
Hapana umekosea hakuna mtu mwema na mwaminifu kwa Magu kama Le Mutuz, uhai wake hadi kufika hapo ni ndugu Magu ndio alimuwezesha, na qmekufa akimuenzi, mengine ni provocative survival mode ya kublend na wajinga wa nchi hii.

A very expressive and informative Le Mutuz ameondoka hakukosa kujibu swali, utulivu, no panic, akili kubwa and so squarely to say, what a great fighter he was. Nenda kwa amani Bro Le Mutuz.
Magu tena! Mimi nimesema Marehemu Milembe aliyeuwawa wiki 2 zilizopita na huyo Marehemu wako kufurahia kifo chake bila kujua wote ni njia moja.
 
Le Mutuz ulale kwa amani Kaka!
Kipekee kabisa niseme ulikuwa ni mtu wa tofauti hasa kwa mazoea na ufikiri wa watanzania wengi, uliuchukia umaskini, ujinga, uoga, unafiki, tangu utoto wako ulijijenga kwenye falsafa ya kujitegemea na kupambania ndoto zako.
Hukubweteka na hadhi ya Baba yako, hukuwa na ulafi, ulipenda logic na reasoning kwenye mijadala, Mara zote ulionesha akili kubwa katika uchumi, fikra, utawala, siasa, demokrasia na uliuweka pembeni ushabiki inapokuja misingi ya haki kitaifa, kikatiba, Uhuru binafsi wa kifikra au maoni.

Mimi ni mfano wa watu waliokaribia uwezo wako wa kuyatazama mambo katika ngazi binafsi, jamii, taifa na kidunia.

Maisha yako hasa interview zako zitakuwa maktaba kwa kizazi kinachopenda kuishi bila stress huku ukijua baya nq zuri, kamanda uliuchukia umaskini kwa dhati kila binaadamu hapendi taabu, hivyo maskini wa akili wana upofu kwamba ulipenda anasa, hao wenye mtazamo huo wana akili mfu.

Bro kwa awaye yeyote anaepambana kutafuta pesa wewe ulikuwa kioo na mwamba wa mfano.

Ulijua kujenga urafiki na marafiki, ulijua tofauti yq maisha ya mtandaoni na maisha ya mtaani.

Bro uliishi namna staajabishi kwa jamii na watu washamba wasiojua utambuka wa maisha na ulimwengu.

Nitaenzi falsafa ya kweli ya kuuchukia umaskini na kutafuta pesa, kula bata na kuwa mwema kwa jamii na mtiifu kwa jamii na serikali.

Kwa heri kaka wa mfano Le Mutuz

Nasherehekea maisha yako

Ni mimi mdogo wako Wadiz
Wengi wanamhukumu lemutuz wa Instagram lkn wengi hatumjui kabisa lemutuz, nimegundua wengi wenye chuki ďhidi yake ni wale wenye stress za maisha.

Kauli kama sipajui magomeni mapipa na sijawahi kufika huku akijinasibu sinza ni mbali sana na uswekeni wengi tunatafsiri kama jamaa anajionana lkn kumbe ni mambo ya mitandaoni tu
 
Sikuzote Sisi masikini tunachuki ambazo hazina maana
 
Back
Top Bottom