Vita kubwa inayoendelea ni ya AI, Ukraine na Russia wanajichoresha

Internet-Money

JF-Expert Member
Apr 20, 2021
493
1,121
Achana na hii vita ya magobole inayoendelea (Russia vs Ukraine), huko Marekani kuna wakubwa wawili wanaonyeshana umwamba.

Baada ya ChatGPT kutoka toleo la 4, basi akazani tayari amemshinda Bwana Mkubwa Google.

Kumbe Google anamchora - kumbe ana maajabu yake kayaficha hanaga papara. Cheki video, utazame mwenyewe muendelezo wa season yetu bora.

Bard bado sana kwa bwana chatgpt4. Elon anajilaumu kwa kujiondoa kwenye kampuni aliyoianzisha ya open Ai. Meta kadump mataverse baada ya kushutuka alikuwa mbio anakimbiza upepo kumbe dunia inaelekea kwenye AI naye kaamua kuwekeza huko
 
Back
Top Bottom