kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM inabidi itumie nguvu kubwa kuhakikisha matokeo makubwa uwekezaji wa bandari

    Mwanafilosofia na mwanahistoria Niccolo Machiavelli kutoka nchini Italia aliwahi kusema " the end will justify the means" ambapo tukipeleka Kwa tafsiri isiyo rasmi alimaanisha " hata jambo baya likiwa na matokeo mazuri basi jambo hilo "morally" linakuwa ni zuri". Kinachoangaliwa na kutazamiwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

    Waziri mkuu wa Sweden ameshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaoomba kila siku kibali cha kufanya maandamano na kuchoma Quran na kuidhalilisha. Waziri mkuu anasema idadi hiyo inaongezeka siku hadi siku na hivyo hajui nini kitatokea kama hii hali ikiendelea. Tukumbuke hivi karibuni kumekua na...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Dili la Mayele kwenda Pyramid lina asilimia kubwa ya kubuma, huenda akaungana na Feitoto Azam

    Kwa jinsi mambo yanavyokwenda inaonekana hao Pyramid hawana hata shida na Mayele kihivyo. Ni hivi za nyuma ya kapeti kutoka mitaa ya jangwani ni kwamba: 1. Mpaka sasa Pyramid bado hawajaingiza hata senti tano kwenye akaunti ya Yanga kwa ajili ya malipo ya kumnunua Mayele. 2. Yanga wamewapa...
  4. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga: Viingilio ni Sababu, ila kuna kubwa zaidi ya hilo

    Nianze kutoka credit kwa wadau wasoka, mpira wa miguu ni industry pekee yenye muamko na ushawishi mkubwa kwa jamii, nchini Tanzania. Lakini, kama hujaliona hili, basi angalia nyanja ya siasa mfano, watu wengi sasa wanahisi yanayotokea huko basi hayawahusu, ni kama mambo yanatokea kwa jirani...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Simba kuanzia Hatua ya 2 CAFCL, kukutana na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos na African Stars

    Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia) Yanga itaanzia Raundi ya Kwanza kwa kukipiga na ASAS ya Djibouti, timu itakayoshinda itaingia Raundi ya Pili na kukutana na...
  6. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mamlaka haziwaoni mateja kituo cha daladala Kawe? ni aibu kubwa sana

    Inatisha sana ukipita asubuhi eneo la Kawe Stand na kukuta makundi ya vijana wakivuta bangi na kujidunga sindano za dawa za kulevya huku wakisindikiza na pombe na energy. Inashangaza sana kwasababu kituo cha Polisi Kawe hakipo mbali na eneo lile, ni kama mita 250 hivi lakini vijana wale...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Vodacom yaendelea kuwa kinara idadi kubwa ya laini zilizosajiliwa, Airtel na Tigo mpambano wa kimya kimya!

    TCRA imetoa takwimu mpaka mwezi Juni 2023 ambapo jumla ya laini za simu zilizosajiliwa zimefikia 64,088,651 huku mtandao wa Vodacom ukiwa kinara. ORODHA 1. Vodacom - 19,116,166 2. Airtel - 17,505,139 3. Tigo - 17,484,387 4. Halotel - 8,410,029 5. TTCL - 1,559,090 6. Smile - 13,840
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC acheni kucheza na Akili zetu, kwa huyu Kipa Mbrazili Jefferson Luis mmetutukana Tusi Kubwa Sisi Mashabiki wenu

    Siyo kwamba kila Siku GENTAMYCINE nikiwa Nawachokoza, Nawananga na Nawatania mno Watani zetu Yanga SC basi Kwetu huku ( Simba SC ) mkikosea nitawanyamazia. Huwa sina Unafiki na Upumbavu na ndivyo hata nilivyo Kiuhalisia wangu. Kama Kipa Ally Salim ( japo ana Mapungufu kadhaa ) ameweza Kudaka...
  9. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Sitokuja kusahau kilichotokea katika chama changu CHADEMA. Je, tuamini hayatojirudia tena?

    Binafsi tangu nimejiunga CHADEMA zaidi ya miaka 10 iliyopita nlikuwa nina imani sana na chama changu na nliamini ipo siku tutakuja chukua dola. Muda na chaguzi zilipita lakini hakuna kitu kilichoniumiza kichwa kama ghafla kumuona Lowassa anapeperusha bendera ya CHADEMA. Nlikumbuka sana...
  10. benzemah

    JamiiForums Tanzania Faida sita kubwa za kula ndizi mbivu na angalizo la kutokuweka ndizi kwenye friji

    Ndizi ina aina tatu za kipekee za sukari zinazojulikana kitaalamu kama Sucrose, Fructose na Glucose na pia ina kiasi kingi cha ufumwele (fibre), ambacho husaidia sana katika usagaji wa chakula tumboni. Pia, ndizi ina uwezo mkubwa wa kuongeza na kuimarisha nishati ya mwili. Unaweza kupata...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Jambo kubwa la Nchi lipo Kondoa

    Jambo lipo Kondoa. Mkutano Mkuu wa Jimbo kondoa Mgeni Rasmi Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi ( Bara) Ndg. Abdulrahman Kinana. #VitendoVinaSauti #CCMImara #KaziIendelee
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini asilimia kubwa sana ya Waalimu hawamkubali Hayati Magufuli?

    Habari jf , Binafsi kwa nature ya kazi yangu ananifanya nakuwa karibu sana na watu wa aina mbalimbali lakini kuna kitu sijakuelewa. Asilimia kubwa ya Waalimu hawampendi hayati JPM Wanasheria na wanasiasa wanafuata Cha kushangaza wafanyabishara ambao ndio walibanwa sana ni wachache sana kuona...
  13. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Misiba mingi ya Wakristo ina gharama kubwa kuliko wengine

    Zama za leo ni tofauti kabisa na zama za mababu zetu. Ukisoma vitabu vya dini utagundua kuwa mazishi hayakuhitaji hata majeneza. Mfano Lazaro inaonesha alizikwa tu na sanda pasi na jeneza. Leo hii watu wanashindana hadi kwenye gharama za majeneza. Hivi kwanini basi majeneza yote yasiwe yenye...
  14. Ejolisi

    JamiiForums Tanzania Uelewa Mdogo wa Misingi na Maadili ya Uandishi wa Habari sababu kubwa ya kushuka kwa viwango vya tasnia hii

    Tasnia ya uandishi wa habari katika nchi zinazoendelea mfano Tanzania inakumbwa na changamoto nyingi ambazo zinatajwa kila siku mfano, citizen journalism ambayo imempa nafasi kila mtu kuweza kuhabarisha watu popote alipo kupitia simu yake ya mkononi. Ambapo kwa upande wangu Changamoto kubwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tume ya haki jinai kwanini inafanya vikao kwa speed kubwa hivi? Au ndio wanatekeleza mapendekezo?

    Tumewaona UDSM, jana walikuwa Ikulu na Kesho wapo Dodoma; wanawasilisha ripoti ile ile ambayo walitelekezwa wakae waweke utaratibu wa kuitekeleza. Je, ni kwamba Watanzania awakuielewa siku imewasilishwa? Je, kwa mfumo wa sasa katika joto la DP World wataielewa au tusubiri DP world ipate muafaka?
  16. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Picha: Reli ya gharama kubwa, ajabu, vichwa vya treni yenyewe vya ajabu ajabu

    Unajenga reli ya gharama kubwa, ajabu, unacholeta wala hakifanani! Haya, kichwa chenu hicho hapo.
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti TCRA: Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa huduma za Simu Tanzania

    Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi Watu Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watumiaji wa Huduma za Simu Tanzania Bara ni Dar es Salaam...
  18. chinchilla coat

    JamiiForums Tanzania Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

    Sijajua ilikuaje hadi mheshimiwa akawa over-come na emotions huko kwao, sijajua ni super V.I.P treatment na heroic welcome aliyopipata huko kwao ukilinganisha na alivyokuwa treated Dar na kupuuziwa na mkubwa wake wa kazi au au ni remorse na guilty ya aliyoyafanya zamani au ni vipi.
  19. Richard

    JamiiForums Tanzania Korea Kusini nchi yenye hifadhi kubwa ya silaha duniani wakataa kutoa silaha zaidi kwa Ukraine

    Raisi wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol ameondoka nchini Ukraine kurudi Seul baada ya kufanya ziara ya kustukiza akitokea Vilnius nchini Lithuania. Raisi huyo wa Korea Kaskazini alikuwa alihudhuria kikao cha NATO kilichokutana kujadili masuala mbaimbali likiwemo suala lla misaada zaidi kwa Ukraine...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa Maegesho na penati za Traffic imekuwa kero kubwa Dar es Salaam

    USHURU MAEGESHO + TRAFFIC PENALTY JIJINI DAR VIMEKUWA KERO KUBWA SANA Tunaomba wizara husika ziangalie upya hizi taratibu 1. Gari moja inaweza kuta ina madeni ya miaka hadi 3. 2. Kiwango ni kukubwa mno, madeni yasiolipika. 3. Inaturudisha kwenye tatizo la zamani la Motor Vehicle...
Back
Top Bottom