Muda si mrefu kampuni ya ujenzi inakabidhi bwawa la umeme.
Ujenzi wa bwawa hilo ndio biggest engineering project kuwai kufanyika Tanzania na Africa mashariki yote.
1. idadi ya watu 11856 wamefika rufiji na kushiriki kulijenga
2. Raia wa mataifa 56 tofauti wamefika rufiji kushiriki kulijenga...
Habari za mda huu , JIna langu naitwa Geofrey ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya uhandisi .Pamoja na masomo yangu nimejitengenezea msingi imara wa uelewa wa biashara kwa kusoma vitabu tofauti vinavyoelezea mbinu bora za ujasiriamali, usimamizi wa biashara na mkakati wa soko.
kwa kipindi cha...
Ukiwa kwenye chombo cha usafiri hasa haic za mijini na bajaji kwenye matuta wanakuwa wavivu kupunguza mwendo na kupanguwa gia.wanapita kama wamebeba roba za mahindi huo si udereva muone aibu tena mkiitwa madereva kataeni hili jina haliwafai.
Tutajitahidi angalau yasifike magoli 10. Tunajua tutafungwa magoli mengi sana. Hatuna wasiwasi tunaenda kucheza na wachezaji ambao tunawasikia tu kwenye radio na tv.
Kocha wetu katushauri tu relax tu tu enjoy ball na tujifunze kutoka kwa mabingwa. Issue hapo si kutafuta point. Sisi...
Wadau hamjamboni nyote?
Serikali ya urusi imeshtukia mchezo mchafu baada ya kugundua vifaa vya mawasiliano walivyouziwa/ kupewa na kampuni ya kichina kukutwa vimetegeshwa vilipuzi
Kama vile walivyopewa magaidi ya Hamas na Hezbollah
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel...
Bila kupoteza muda yafuatayo ni mapungufu ya club ya Yanga yanayopelekea ipate wakati mgumu uwanjani hasa inapocheza na timu zinazojitambua na zenye kutumia mfumo wa kujilinda.
1. Beki za pembeni zina mapungufu kwenye kushambulia. Mtazame Zimbwe halaafu linganisha na Boka utagundua Zimbwe is...
Lissu kulingana na ujasiri aliobarikiwa na Mungu pamoja na uzoefu wake mkubwa wa kushughulika na migogoro mbalimbali nchini ikiwemo wa Kuwaondoa Wamasai wa ngorongoro katika eneo lao la asili ingempa kete ya juu katika mkutano wa usuluishi wa mgogoro wa Congo uliotoka kumalizika siku hizi...
Si mara kwa mara huwa napitia Jamii Forums, lakini mara nilipokuja kuvutiwa na mijadala kwenye jukwaa hili, nilikutana na kundi la vijana wanaojiita “Kataa Ndoa.” Vijana hawa wanazua mjadala mkubwa, na maoni juu yao yanatofautiana sana – kuna wale wanaowaona kama wanaokwepa majukumu, wengine...
afya
afya ya akili
afya ya uzazi
akili
gen z
kataa
kataa ndoa
kubwa
kundi
matatizo
members
mfumuko wa bei ya vyakula
ndoa
tatizo
uchumi duni
uzazi
wanaokataa ndoa
wengi
Mwanzoni tulimlaumu hayati Magufuli kwamba ndiye anawatetea na kukandamiza mihimili mingine .
Baada ya Muda tukagundua kuna Mkono wa Mwenyekiti Mbowe pia kwenye hili suala .
Kwa ujumla wanasheria wameonesha udhaifu mkubwa sana , lakini mamlaka zimeonesha udhaifu.
Hawa wabunge 19 wanamaliza...
Wapotoshaji uwa wanawai sana kupost habari zao walizonazo mfukoni kwa maslai yao lakini kwa hili naipongeza idara ya habari ya yanga kulitolea ufafanuzi haraka sana baada ya kuanza kusambaa kwa habari ya Ramovich kuondoka!
Nimeona post nyingine zilikuwa zishapost kuwa kafukuzwa na pale kilikuwa...
Habari wakuu.
Katika haya Maisha vitu vyenye thamani kubwa ni UWAMINIFU na HESHIMA.
Kama wewe ni bosi na una mtu huyo katika ofisi yako au usimamizi wa miradi yako basi mzingatie sana huyo mtu.
I salute you kinsmen
Sajili tofauti tofauti tumeziona wakiwemo Ken gold walioleta macro wengi tu
Ila kuna maharaja yameletwa ligi kuu yanatia mashaka sana uwezo wao na ubaya ni kuwa team zao zinaona aibu kuwavunjia mkataba.
Huyu Mpanzu ndiyo garasa kuu kuliko mengine maana ameletwa kwa...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Contact/Mawasiliano: 0784...
Ikulu ya Kinshasa DRC, Rais Felix Tsheked baada ya kushika kiti aliwahi kuwaalika Wachawi maarifu wote Nchini DRC kufika Ikulu na kusaidia kuongeza nguvu kuwakabili M23 muhula wake wa pili!
Wachawi hawa kwa pamoja waliahidi kushinda Vita na walisema wako pamoja na Rais Tsheked.
Usilolijua...
Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5
Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011
Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
Inashangaza vikampuni ushuzi vya mabasi vimejaa shekilango. Kila baada ya miezi 6 ukirudi unakuta kishafungwa. Unganisheni Nguvu Undeni kampuni kubwa ya Mabasi yenye tija na weledi ( professional).
NB: uswahili umezidi
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana.
Material: Cotton
Bei ya Khanga: sh 20,000/=
Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3.
Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Contact/Mawasiliano: 0784...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.