kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. radhiya

    JamiiForums Tanzania Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  2. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Nahitaji chaja yenye Output kubwa

    Wakuu, Nina Simu yangu ambayo power ya Betri yake ni mAh 6000 na Chaja yake ina output ya 5V=2A. Hivyo nimekuja kugundua kuwa betri ya simu ni kubwa sana ukilinganisha na output ya chaja, hii inapelekea kutojaza simu/betri kwa haraka.. Just imagine natumia masaa yasiyopungua 5 kujaza simu.!! Hii...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na vvu

    Hizi ni nchi 10 za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wanaoishi na VVU; 1. Afrika Kusini: 7,700,000 2. Msumbiji: 2,400,000 3. Nigeria: 1,700,000 4. Uganda: 1,500,000 5. Kenya: 1,400,000 6. Zambia: 1,300,000 7. Zimbabwe: 1,300,000 8. Malawi: 980,000 9. Ethiopia: 610,000 10. DRC: 520,000
  4. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaowachukia m23 asilimia kubwa ni wanaccm

    Kama mmefuatilia huu mjadala wa Hawa jamaa was huko congo kukinukisha asilimia kubwa naona wanaowachukia ni wanaccm naomba nijue hii ipoje aisee maana ukiwasifia Hawa wapigania haki za wananchi m23 Kwa uzalendo wao watu wa ccm wanakurupuka kama wametoka usingizini kuja kupiga mkwala wa miaka ya...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania NAFASI YA AJIRA: Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kijana Mwenzangu Chukua Mkopo wa Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia mijini na vijijini (Ni fursa kubwa sana hii)

    FURSA KUBWA KWA WAJASIRIAMALI NA WAFANYABIASHARA! Benki ya NMB imetenga Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya Mikopo ya Miradi na Biashara za kusambaza Nishati Safi ya Kupikia kwa Watanzania. SIFA ZA MKOPO: ✔ Riba nafuu ya 1% kwa mwezi (12% kwa mwaka, reducing balance hivyo effective interest...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kundi kubwa la WanaCHADEMA wanaompinga Lissu, kuhamia CCM

    Zipo taarifa 5/2/2025 kundi kubwa la wanachadema watahamia ccm kupinga uongozi wa lissu ambao wamesema umekosa mwelekeo
  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi kubwa kama DR Congo na Msumbiji hazipaswi kuwa na makao makuu ya nchi pembezoni

    Nchi kuwa kubwa, na dhaifu halafu kuwa na makao makuu pembezoni ni hatari sana kwa usalama wake. Kwa nchi zetu hizi kadri unavyozidi kuwa mbali na Capital City ndivyo unavyozidi kusahaulika. Na watu waliosahaulika ni rahisi kuasi. Hawa wameweka mji mkuu Kinshasa. Kilomita zaidi ya 2500 kufika...
  9. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Hivi tatizo la kutosikia vizuri ni tatizo kubwa zaidi duniani?

    Salaam, Imenibidi niulize Kwa maana Hali Halisi niionavyo na nikiwa kama mhanga mmojawapo inanifkirisha sana. Nasema hivi sababu Kuna baadhi ya watu jinsi wanavyotendea wenye matatizo ya usikivu ni kama kuwafanya vituko. Hugeuza tatizo lao kuwa utambulisho badala ya kumsaidia.unakuta uko eneo...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hima ni kabila kubwa ambalo historia yake inaweza kuwa kweli.

    Hima ni kundi la watu wa asili ya Kibantu na Nilo-Hamitic linalopatikana hasa katika maeneo ya Afrika Mashariki na Kati, hasa Uganda, Rwanda, Burundi, Tanzania, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Historia yao ya kuingia katika nchi hizi inahusiana na harakati za uhamaji wa makabila...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kisa hiki kina funzo kubwa sana hasa jinsi waafrika tunavyowaza

    Kuna mambo ambayo tunayafanya sisi Ngozi nyeusi yanatatiza sana hadi unabaki na maswali hivi hili limefanywa na binadamu mwenye akili sawasawa kweli? Kuna visa kadhaa wa kadhaa ambavyo nimewahi kusoma sehemu tofauti tofauti na vingine kuvisikia kwa watu hasa haw wahamasishaji. Moja kisa hii...
  12. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili wananchi

    Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Mubarak Batenga, amefanya ziara katika vijiji vya Matondo na Itumbi na kugundua changamoto kubwa zinazokabili jamii katika maeneo haya. Katika ziara hiyo, alikuta hali ya ukosefu wa maji safi na salama, jambo ambalo ni muhimu kwa afya na ustawi wa wananchi. Maji ni...
  13. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha, Kilimanjaro kuna ongezeko kubwa la viwanda bubu vya pombe

    Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini. Wanywaji wa Pombe hizo wamekuwa wakisema zinawapotezea kumbukumbu pindi wanywapo. Na wengine hupoteza fahamu hadi siku mbili ...
  14. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania UNABII: mwaka huu nchi itapigwa tetemeko kubwa la ardhi , pamoja na ulimwengu kwa ujumla

    Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia EARTHQUAKES EARTH POWER EE BWANA YESU KRISTO tusaidie AMINA SAYUNI BOY
  15. R

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuzuiwa kwa Press ya Chadema ikawa ajenda kubwa kuliko mkutano wa Nishati; Watu wanapenda mambo yasiyo na tija

    Mitandao ya kijamii imeanza kusambaza kwa kasi taarifa za kuzuiwa kwa mkutano wa Mnyika. Mjadala umeanza kupamba moto na taarifa za mkutano wa Nishati zimefifishwa. Je tunaamani na kizazi hiki kinachopenda kujadili na kusambaza taarifa ndogo ndogo kuliko taarifa za maendeleo ya bara la Afrika...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini, Watu wenye IQ kubwa ushindwa kueleweka kwenye kwenye jamii yenye IQ ndogo na mwisho wa siku utumika kama msaada mbeleni?

    Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele. Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza kitu ambacho utakubari ila kikifa utasema ni teknolojia imekuwa. Historia inasema kulikuwa na watu...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
  18. milele amina

    JamiiForums Tanzania Rushwa nimekubali ina nguvu kubwa sana, huyu ni mtu mmoja kwa masaa tofauti,ila kauli tofauti!

    Huyu ni mtu mmoja, kauli tofauti ila kwa tofauti ya masaa! Rushwa ina nguvu sana!
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bei ya tango sokoni imekuwa kubwa

    Dar hapa bei ya tango sio poa Tango 1 linaanzia 1000 kupanda juu Zamani tulinunua sh 100 tu Matango Yana kazi nyingine huko Dar Matango yanaadimika au be mkasi Matango hayapendwi na watoto na watu wengi Huwezi kula tango zaidi 1 Kwanini bei iwe kubwa hivi Namalizia utafiti wangu wa...
  20. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Hizi gharama za parking kwenye stations za SGR mbona kubwa sana?

    Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri. Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
Back
Top Bottom