kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Kuku Wako Wanakula Mayai na kudonoana? Hii Njia Rahisi Inazuia Hasara Kubwa (De-beaking)

    De-beaking kwa Kuku wa Kutaga (Layers) De-beaking ni kitendo cha kukata sehemu ndogo ya ncha ya mdomo wa kuku. Kwa nini hufanywa? ✔ Kuzuia kula mayai (egg eating) - kuku wengine huanza kuvunja na kula mayai. ✔ Kupunguza kudonoana (cannibalism) - kuku hushambulia wenzao wakipata msongamano...
  2. radhiya

    JamiiForums Tanzania Tunauza Khanga kubwa kutoka Zanzibar

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Contact/Mawasiliano: 0784 829565...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Neno "Kwa maslahi ya Taifa" ni joka kubwa linaweza kummeza hata anayelifuga

    Hili neno ni neno gumu sana, baya kwa watawala na zuri kwa wananchi wanyonge. Ndio msingi mama wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na almost katiba zote duniani. Neno hili pacha wake anaitwa "Kuilinda Katiba" Ni ngumu sana kumjua mtu hasa anayeilinda katiba. Walinda katiba ni kama...
  4. bob_fundi

    JamiiForums Tanzania Nauza asali ya nyuki wakubwa

    Habari wana JF Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu☝️. Nina asali ya nyuki wakubwa 80L Kwa anaye hitaji anaweza nicheki pm au kwa namba yangu cm tufanye biashara . ☎️0744355748 normal call &WhatsApp ✅️ Matajiri 250,000/= kwa lita 20
  5. Revolution

    JamiiForums Tanzania Foleni kubwa Kiluvya Madukani na Mpiji

    Foleni ya kwenda kibaha imeanzia eneo linaitwa kwa Komba ni ndefu inaweza kufika urefu wa kilometa 2 au 3. Wahusika wasaidieni hawa wananchi waendelee na mishe mishe zao
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha Florent Ibenge umefanya kosa kubwa sana na la Kiufundi kuja Kufundisha Soka Tanzania ambayo Ligi Kuu yake ina Makandokando mengi yasiyoelezeka

    Na nina uhakika CV yako kubwa na nzuri uliyoijenga huko Kwingineko inaenda Kuharibika rasmi hapa Tanzania. Mimi GENTAMYCINE ninayeandika hivi naijua Michezo michafu yote ya Simba na Yanga na ya Ligi Kuu ya Tanzania na ndiyo maana unaona nasema tena kwa Masikitiko makubwa kuwa nakuonea Huruma na...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini mikoa ya pwani inaoenakana kuwa ni hub kubwa ya vidume walio chapati?

    LINDA MTOTO WAKO DHIDI YA USODOMA Sawa unaweza kubeza au kutukana huku ukisema kuwa we ulijuaje bila ya kwenda kuwatafuta? Ila ndugu yangu hauwezi ijua hii east africa kama umekaa kwenye kochi la shemeji 24/hrs ukisibiria kuangalia marudio ya jua kali na pia kidume chapati anajulikana tu hata...
  8. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump asema hakuna makubaliano lakini 'wamepiga hatua kubwa' baada ya mazungumzo na Putin

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema yeye na Putin wamekuwa na mkutano wenye tija na kwamba wamepiga "hatua kubwa". Trump na Putin walizungumza kwa pamoja jukwaani kwa takriban dakika 10. Wote wawili walionyesha ishara ya mazungumzo mema waliokuwa nayo wakati wa mkutano wao wa faragha, ingawa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Uhamiaji kuna tatizo gani? System ya Emergency Passports Haifanyi Kazi na Passport kubwa zinachelewa

    Wasalaam ndugu zangu, KUna mambo yanayoendelea kwenye nchi yetu , unajiuliza kwa kukosa userious kwenye mambo ya msingi kweli hii nchi itapiga hatua ya kimaendeleo tunaoitamani kuiona? Mfumo wa utoaji wa document za dharura kwa ajili kusafiri ( Emergency Travel Document) haufanyi kazi toka...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CCM jengeni Chuo kikuu Mwanza na Hospital kubwa yenye hadhi ya nyota tano muziite CCM MEDICAL UNIVERSITY and Teaching Hospitali

    Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wachina Kuichangia CCM ni Ukiukaji wa Wazi wa Mwongozo wa Makampuni ya Kigeni Yanayowekeza Nchini. CCM ni Chanzo Cha Huu Uchafu Wote.

    Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla. Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China imeichangia CCM. Hiyo tayari ni ukiukaji dhahiri wa mwongozo mkuu wa makampuni yanayowekeza nchini. Lakini...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja akini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa

    Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja—Lakini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa Kwenye viwanja vya ndege, hoteli, au café—Wi-Fi ya bure imekuwa kama msaada wa haraka kwa wanaosafiri au wanaofanya kazi nje ya ofisi. Ni rahisi kujiunga, haraka, na hakuna malipo. Lakini uzembe mdogo unaweza...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  14. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania kuku anayeuzwa Tsh 700,000 bei kubwa kuliko ng'ombe

    kuku anayeuzwa bei zaidi ya ng'ombe angalia kuku anayeuzwa bei kubwa
  15. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mke wa Ndugai hayupo sawa asaidiwe naona amepata hofu kubwa sana .

    Nimetazama Clip ya Mke wa Ndugai . Nimeona anahitaji msaada wa karibu wa kiroho na kisaikolojia. Msipuuze ujumbe huu watu ambao mpo Karibu na huyo mama. Kuna kitu anapitia ambacho either kinampa fear of unknown na kumpa guilty.
  16. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Huku Yanga Vs Esperance de Tunis kule Simba vs Al hilal, Yupi ana nafasi kubwa kupita?

    Mfano ikitokea hivyo itakuwaje?
  17. Knock life

    JamiiForums Tanzania Jumanne Kaseja ni akili kubwa na hakuna mtu anamuweza hapa Bongo

    Kelele ni nyingi Ila Jumanne Kaseja hakuna MTU anamuweza hapa Tanzania.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Madereva wa gari za Abiria Mbeya - Kyela wadai Maafisa wa LATRA wamekuwa kero kubwa kwao

    Usafiri wa gari za kutoka Jiji la Mbeya kuelekea Wilayani Kyela uliyumba kwa saa kadhaa jana Agosti 7, 2025 baada ya madereva wa magari ya abiria kugoma, wakilalamikia kero, usumbufu na faini kubwa zisizoendana na uhalisia na hali ya kipato chao kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini...
  19. VENKO

    JamiiForums Tanzania FREM KUBWA YENYE MOVIE LIBRARY NA KLA KITU INAUZWA MBEYA[NZOVWE],TANZANIA

    Sold
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Bila Shaka wajumbe wa CCM wamefanya kazi kubwa kwa niaba ya watanzania!

    Nikiri katika mwaka huu wa kiuchaguzi wajumbe wa CCM wenye mamlaka ya kuchuja na kupendekeza majina ya wagombea ambao hatimaye ndio huchaguliwa kuwa wawakilishi wetu wamefanya kazi kubwa sana na ya kizalendo mno. Nawashukuru!
Back
Top Bottom