Moja ya kosa kubwa nililowahi fanya alibaba nakuomba usithubutu next time

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
3,956
Reaction score
6,044
Huenda ikawa coincidence tu lakini ni ni muhimu kuwa makini ni sana watu wanaingia kununua vitu bila kujua kuwa supplier anavyo kwenye stock au Hana au ni dalali au non technical anaefungasha tu limzigo na iukuletea kisha kikikushinda anawasumbua wale jamaa wakupe majibu ya msaada unaona hayuko seriously

Sio wote waliopo mule Wana maduka na biashara wengine ni winga tu.

Unaweza ukachat na supplier kuhusu bidhaa falani akaona unauhitaji sana. Akajaribu kukupa discount ukaingia kingi ndugu zako wachina wanaenda kutengenezewa hicho unachotaka kwenye vi workshop alafu unaletewa na video kinafanya kazi ngoja kikufikie ndo utalia na kusaga meno.

Machine ya millioni 6 na ushee ikafika ata manually book hakuna, unaanza kuuliza seller vipi naanzia wapi ana kudirect kwa technical team hapo hata hayajui kingereza ni kichina tu , wewe translate kwenye app kisha fuata ushawahi nunua machine alafu setup ya inakuchukua mwezi na nusus na bado Ngoma droooooo, Nilikata rufaa kucraim lakini seller alionekana kupendelewa na hapo nimeapaniki kila ushaidi naotuma unapingwa kwa sababu ile ile kwamba upload evidence inayoonesha ulifata maelekezo yote mana seller na KASEMA Ali assign team ya kukusaidia hapo unachanganyikiwa team inakusaidia kwa kurudia rudia maelekezo ambayo tayari umefanya inabidi urekodi ulivyoanza MPAKA ullipo kwama dispute team inaniambia hii ni complicated case kwa sababu machine ni technical hivyo hawawezi mfosi seller alifund pesa.

Alafu unakumbila kuwa huyu seller nilipokipa pesa haukutuma mzigo kesho yake zilipita siku kama 15 au 20 ndo naona message mzigo umefika kwa agent after 20 days of payment *****.

So mzigo naleta kwa meli na hapo coincidence ikatokea meli ya kusubiri kama wiki moja kifupi nilipokea mzigo baada ya miezi miwili na kama wiki ukiongeza zile siku za kuclear na foward.

nikogundua Alibaba wanafever muuzaji wakaishia kunipa gift card ya nusu bei mimi nikasema.nakomaa nanyie mafala aiseh nilitaabika sana japo pesa ilirudi ila nilikonda ghafla kama mtu alieoa na kumpa mimba binti bila kujiandaa

Unapoagiza kitu kule zingatia sana kuchunguza seller wengi hawajui wanavyoviuza na kwa sababu wanabebwa huna unalojua unaweza kosa haKi yako.

Unaweza Kuta manually na kuifuta yote kwenye baadhi ya machine lakini machine ikakwama hapo ndo utajua hujui .

Kuna vitu hatakama unajua kuvioperate lakini unaambiwa hii ni complicated case hivyo wanadhindwa kumfosi seller a refund sababu watakuwa wanachukulia ni normal failure mpaka uwe strong kweli kweli kwenye kujieleza.

Bidhaa zingine za kawaida hazina shida kwenye refund ila hapa kwenye machine ndo maana watu WANAENDAGA CHINA DIRECT.

ILA UKIWA HUNA PESA NI NGUMU

HIVYO JITAHIZD KAMA UMEWEZA KUPATA MILIONI 15 NA KUENDELEA JARIBU KWENDA DIRECT KUNUNUA HIZO MACHINE UZIKAGUE HAPO HAPO.

Liko hapa naliangaliaga kwa machozi na damu.

Sijui kama nimeeleweka modi edit Uzi si mwandishi nzuri.

UPDATEEEE.

NITAWEKA UPDATED HAPA KUKUELEKEZA HATUA KWA HATUA KUHUSU REFUND
 
Unatoaje milion 15 kununua bidhaa Kwa kutazama kwenye picha
Yaani unatumiwa picha ya machine wewe unatuma pesa, na unatumiwa fake
unayoina kwenye picha tu bila kuikumagua na ki test..
Huo ni ujuaji na ushamba wako.
Acha utapeliwe
 
Unatoaje milion 15 kununua bidhaa
Yaani unatumiwa picha ya machine wewe unatuma pesa, na unatumiwa fake
unayoina kwenye picha tu bila kuikumagua na ki test..
Huo ni ujuaji na ushamba wako.
Acha utapeliwe
Soma uelewe, sio wote ila Kuna watu wanaagiza machine nzima na nzuri zinafika sema LABDA niliangukia kwenye MIKONO ya wachina wenye halufu za kimbuzi mbuzi
 
Huenda ikawa coincidence tu lakini ni ni muhimu kuwa makini ni sana watu wanaingia kununua vitu bila kujua kuwa supplier anavyo kwenye stock au Hana au ni dalali au non technical anaefungasha tu limzigo na iukuletea kisha kikikushinda anawasumbua wale jamaa wakupe majibu ya msaada unaona hayuko seriously

Sio wote waliopo mule Wana maduka na biashara wengine ni winga tu.

Unaweza ukachat na supplier kuhusu bidhaa falani akaona unauhitaji sana. Akajaribu kukupa discount ukaingia kingi ndugu zako wachina wanaenda kutengenezewa hicho unachotaka kwenye vi workshop alafu unaletewa na video kinafanya kazi ngoja kikufikie ndo utalia na kusaga meno.

Machine ya millioni 6 na ushee ikafika ata manually book hakuna, unaanza kuuliza seller vipi naanzia wapi ana kudirect kwa technical team hapo hata hayajui kingereza ni kichina tu , wewe translate kwenye app kisha fuata ushawahi nunua machine alafu setup ya inakuchukua mwezi na nusus na bado Ngoma droooooo, Nilikata rufaa kucraim lakini seller alionekana kupendelewa na hapo nimeapaniki kila ushaidi naotuma unapingwa kwa sababu ile ile kwamba upload evidence inayoonesha ulifata maelekezo yote mana seller na KASEMA Ali assign team ya kukusaidia hapo unachanganyikiwa team inakusaidia kwa kurudia rudia maelekezo ambayo tayari umefanya inabidi urekodi ulivyoanza MPAKA ullipo kwama dispute team inaniambia hii ni complicated case kwa sababu machine ni technical hivyo hawawezi mfosi seller alifund pesa.

Alafu unakumbila kuwa huyu seller nilipokipa pesa haukutuma mzigo kesho yake zilipita siku kama 15 au 20 ndo naona message mzigo umefika kwa agent after 20 days of payment *****.

So mzigo naleta kwa meli na hapo coincidence ikatokea meli ya kusubiri kama wiki moja kifupi nilipokea mzigo baada ya miezi miwili na kama wiki ukiongeza zile siku za kuclear na foward.

nikogundua Alibaba wanafever muuzaji wakaishia kunipa gift card ya nusu bei mimi nikasema.nakomaa nanyie mafala aiseh nilitaabika sana japo pesa ilirudi ila nilikonda ghafla kama mtu alieoa na kumpa mimba binti bila kujiandaa

Unapoagiza kitu kule zingatia sana kuchunguza seller wengi hawajui wanavyoviuza na kwa sababu wanabebwa huna unalojua unaweza kosa haKi yako.

Unaweza Kuta manually na kuifuta yote kwenye baadhi ya machine lakini machine ikakwama hapo ndo utajua hujui .

Kuna vitu hatakama unajua kuvioperate lakini unaambiwa hii ni complicated case hivyo wanadhindwa kumfosi seller a refund sababu watakuwa wanachukulia ni normal failure mpaka uwe strong kweli kweli kwenye kujieleza.

Bidhaa zingine za kawaida hazina shida kwenye refund ila hapa kwenye machine ndo maana watu WANAENDAGA CHINA DIRECT.

ILA UKIWA HUNA PESA NI NGUMU

HIVYO JITAHIZD KAMA UMEWEZA KUPATA MILIONI 15 NA KUENDELEA JARIBU KWENDA DIRECT KUNUNUA HIZO MACHINE UZIKAGUE HAPO HAPO.

Liko hapa naliangaliaga kwa machozi na damu.

Sijui kama nimeeleweka modi edit Uzi si mwandishi nzuri.
Tungependa kufahamu mchakato mzima hadi ukawa refunded, vinginevyo hii ni hadithi tu ya kutunga
 
Back
Top Bottom